Sababu za kisayansi kwanini Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa wanawake wengi wakali kuliko mwenye gari

Yan mm nikiona mkaka msafi yan napagawa, afu anukie ndo kabisa nahis kucum [emoji23], Gari mtu anaweza kupata bhn (artificial)lakin usafi na kuvaa vzur n natural jmn.

Sasa imagine umempata mkaka flan haalf msafi tuu naturally halaf anakuja kuwa na ndinga lake pia huko mbelen, nyie acheni tuu
 
Sikupingi Mkuu Kaulimbiu Jipende kwanza mwenyewe haya mengine naturally huwa yanaflow tu yenyewe ..Ila unapokuwa tu na gari ni ulimbo kabisa haukatai ni added advantage
 
Ukiwa unajua kuvaa then una gari, mvuto unaongezeka mara dufu.
Trust me, ukiwa unavaa tu halafu hauna gari unaonekana kasharobalo tu[emoji28]
 

This is what I am talking about
 
Mwanamke anaweza kukutana na wewe kabla ya kuona na gari. The way you look ndio itakupa marks. Mfano kwenye party au club.
Enzi za ujana kuna siku niko club(nililipuka sana). Sasa kuna Jamaa alikuwa anamsumbua mtoto mmoja mkali sana. Yule mtoto bila mimi kujua akamwambia yule jamaa niache nitakuita BF wangu Moto utawaka hapa akanipoint Mimi.
Jamaa (alikuwa tipsy kidogo) akanifuata ananiomba msamaha Kwa kumsumbua 'GF' wangu Mimi nashangaa nani? Akanionesha Yule demu na yeye akaangalia upande wetu huku anatabasamu. No prize for guessing what happened next!
 
Si utakuwa unajikojolea kila ukimuona huyo mkaka[emoji849][emoji849]
 
Hiyo inaitwa " the power of dressing nicely"

Kuvaa vizuri ni uchawi mkubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…