Sababu za kisayansi kwanini Mwanaume anayevaa vizuri hung'oa wanawake wengi wakali kuliko mwenye gari

Mwanamke anaweza kukutana na wewe kabla ya kuona na gari. The way you look ndio itakupa marks. Mfano kwenye party au club.
Enzi za ujana kuna siku niko club(nililipuka sana). Sasa kuna Jamaa alikuwa anamsumbua mtoto mmoja mkali sana. Yule mtoto bila mimi kujua akamwambia yule jamaa niache nitakuita BF wangu Moto utawaka hapa akanipoint Mimi.
Jamaa (alikuwa tipsy kidogo) akanifuata ananiomba msamaha Kwa kumsumbua 'GF' wangu Mimi nashangaa nani? Akanionesha Yule demu na yeye akaangalia upande wetu huku anatabasamu. No prize for guessing what happened next!
Msukuma
Umeeleweka....

Sio mtu kuvaa hujui,kunukia hunukiii Bado sio handsomee[emoji87][emoji85][emoji85]
Gari la mchongo[emoji2960][emoji38]
Khaaa
 
Mkuu hujakosea wanawake wanapenda wanaume wanao jipenda sana.
Tofauti na watu wanavyowachukulia mademu wa kaskazini wanapenda utanashati sana. Nilibahatika kumkamata Mmasai pisiii kali sana alinieleza shida yake kuu sio pesa bali kuvutiwa na utanashatii. Nikapiga sana pale hadi nikaacha na mpaka leo utanashati sijaacha na gari sina ila nawatungua sana.
 
This is what I am talking about
 
Yani nikujibu tu kwa ufupi mpaka dunia inaisha anachotaka mwanamke duniani hakipo. Umeongea point moja ya unadhifu lakini kuna mengi umeyaacha naweza kuwa rough, once nikafight nikampata uyo aliyekupenda kwakuwa nadhifu na nikampa penzi la haja bro unaweza kuja kurudi hapa kuomba ushauri ufanye nini tena usishangae wote tukawekwa pamoja ila siku akitaka kuhang out with her baby atakutafuta wewe, akitaka matumizi usishangae kukawa na kibabu kilichochukua pension yake hakijui kifanyie nini na akitaka kukunwa chini akaja kwangu, je mwanaume gani anakuwa na vyote hivyo mana mwanaume mwenye pesa uwa wengi hawanaga time yakumridhisha mwanamke anachotazama yeye karidhika basi same as to hao mahandsome boys. TUISHI NAO KWA AKILI.
 
" Anacho taka mwanamke duniani akipo" hiyo ni sentensi kutoka kwa mwanaume aliye shindwa kuwa control wanawake. Usijifunze kwa walio shindwa.
 
Upo rough,hilo penzi la haja utampa vipi?..labda kama huyo demu yupo rough na mchafu kama wewe.

Mtu ukishakuwa rough na unanuka tayari hiyo inam-turn off mwenzako..huko kumpa penzi la haja utawezaje?
 
Yan mm nikiona mkaka msafi yan napagawa, afu anukie ndo kabisa nahis kucum [emoji23], Gari mtu anaweza kupata bhn (artificial)lakin usafi na kuvaa vzur n natural jmn.

Sasa imagine umempata mkaka flan haalf msafi tuu naturally halaf anakuja kuwa na ndinga lake pia huko mbelen, nyie acheni tuu
Kwahio unawapenda matozi au sio 😂😂😂
 
I used to be like you Jody!
Utozi tumefanya sana to get laid ila sasa kitu nimejifunza mahitaji ya mwanamke ni Dynamic.

At a certain age mwanamke anapenda looks au kuwa na
partner wa kuuza nae sura akitoka out asifiwe tu na kuwatambia mashosti. She only mates with nice looking guys and handsome clean dudes. Hapa wazee wa bling ndio wanatamba. Hili ni common kwa ages 18-24.

At some age atahitaji kuwa na matured guys cause she matured anaona enough with wapiga pamba tu anahitaji partner ambaye anaweza kuwa baba wa watoto wake. Focus ina shift kutoka kwa matozi kwenda kwa working class dudes, wafanyabiashara na Entrepreneurs. Kwa maana ingine uwe smart ila una earn na una muelekeo flani na maisha yako. Hawa ndio wale mademu wa age 25-3O. Hapa wenye mishe zao na ndinga wanatafuna sana nyuchi.

Kuna time mademu inafika wanaamua tu kuwa na partner yeyote anaekuwa available regardless si mtanashati au hana hela. Huenda yuko bored au ame exit uhusiano ambao ni dissapointing. She decides to try something new tu bila kujali criteria hizo za awali. Wengi wa hili kundi ni aidha amejikatia tamaa au single maza na age imesonga likely ashatoboa 31 huku mambo ni bila bila.

Getting laid has nothing to do na kuwa mtanashati ama kuwa na hela na gari. Itategemea unakutana na mwanamke kwenye stage gani ya maisha yake. Ndio maana hata mla kush anaweza kula maini ya pisi kali. Gym trainer anawaromba wake za watu kwani anavaaga suti gym😀😀😀! Fundi gereji na suti yakd chafu chafu ila anaweza kutafuna pisi iliompelekea subaru forester yake.
 
Real talk
 
Mtoa mada yani unataka useme mimi niwe naendesha hii then na wewe uvaa vipamba vyako vya Boss kalewa vya elf10 alafu mbele ya macho ya wanawake attention upewe wewe...ure kidding man[emoji848]
1658221231206.jpg
 
When I was a lil bow wow (a very young boy) I was thinking just like you.

Nilikuwa nafikiri kwamba ukitaka kung'oa mademu wakali lazima umiliki gari.

So tangu enzi hizo dream yangu kuu ilikuwaga nikija kupata mkwanja basi kitu cha KWANZA kununua nitanunua gari ili niwa vutie mademu.

But meanwhile tangu kipindi hicho nilikuwaga naroga sana (kuroga is a slang for KUPENDEZA) So nilikuwa mwenye kuvaa mavazi mavazi ya KUPENDEZA.

Kitu ambacho nime ki experience kwa kipindi chote hicho kuanzia nikiwa teenager mpaka nafika chuo ni kwamba kwa sababu ya kuroga (kuvaa mavazi mazuri ya KUPENDEZA) mademu wengi sana wakali walikuwa wakini shobokea na KUNIPA. Infact nime wang'oa mademu wengi sana wakali with almost no effort courtesy of dressing nicely.

Interestingly, miongoni mwa mademu hao walikuwa wana watoa jasho jamaa wenye magari.

Katika kipindi chote ambacho sikuwa na gari sikuwahi ku experience any kind of inferiority to a guy who drives a car in as far as the issue of getting girls is concerned.

Hata baada ya kuanza kumiliki magari sijawahi kabisa kuacha kuroga (kuvaa mavazi mazuri/ya thamani)

Hata baada ya kuanza kumiliki magari, mademu wengi sana wakali wamekuwa wakinishobokea but am sure as hell wana nishobokea kwa sababu ya kuroga (kuvaa vizuri) na sio kwa sababu ya kuendesha gari kali.

Nataka nikupe sababu ya kisayansi kwanini wanawake wazuri huwakubali na kuwashobokea wanaume wanao vaa vizuri (based on my personal experience)

Attraction is something natural and never was it being an artificial thing.

Ukiwa unavaa vizuri na KUPENDEZA that's a natural attraction so women will just be attracted to you naturally.

Gari sio something natural.

A car is something artificial.

Driving a car no matter how nice it is can never make you look good before women kwa sababu that is an artificial thing and it has nothing to do with the law of attraction.

Kama una fikiri kuendesha gari ndio kuna wafanya wanawake wawe attracted to you jiulize kuhusu babu zetu walio ishi enzi za Pontyo wa Pilato wao wali endesha kitu gani kuwavutia wanawake?

But Likud, what are u talking about mbona hata mavazi sio natural?

Swali hili nimesha lijibu mara nyingi sana hapa JF, or u want me to repeat?

Okay it is like this one, ukiona mtu anavaa mavazi mazuri tafsiri yake ni kwamba mtu huyo ANAJIPENDA, na kujithamini.

Wanawake wanampenda mwanaume ambae yeye mwenyewe ANAJIPENDA. Mind set ya mwanamke imekuwa designed kuamini kwamba yeye mwanamke is a natural receiver of which she is (mwanamke ni wa kupewa) in addition to that mind set ya mwanamke imekuwa intuitively designed kuamini kwamba mtu ambae hana kitu hawezi kukupa kitu (Nemo Dat quod None Habet/he who doesn't have can't give )

Kwa hiyo kama wewe mwenyewe hujipendi, mwanamke ana amini huwezi kumpenda yeye cause you yourself you lack self love so u can't give her love something which u have not.

Apostle kuna muujiza huku. Tangia nianze kuroga hata salamu napewa
 
Kama alomzaa tu inafika stage anamshindwa kumcontrol wewe nani uje uweze halafu baki na hiyo imani nahisi hata umri wako bado unachangia kuzungumza ulichozungumza ila kwakuwa bado unakua utaja elewa tu my point somedays.

Mkuu naomba connection ya kazi yoyote halali na mimi nipendeze
 
Back
Top Bottom