Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baadhi ya wadada wanasheria ni vichwa ngumu na pasua kichwa kweli kweli...ila wachache ni wanyenyekevu.Nachojiwa wanawake wanasheria wanyenyekevu sana kwenye mahusiano. Hili na wewe unalijua ukianzia kwa kiongozi utapata jibu
Wewe Luckyline ni mwanasheria? Asking for a friend [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Nachojiwa wanawake wanasheria wanyenyekevu sana kwenye mahusiano. Hili na wewe unalijua ukianzia kwa kiongozi utapata jibu
Stay at home corona inauaWewe Luckyline ni mwanasheria? Asking for a friend [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Don't be too hard on yourself....Stay at home corona inaua
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtu unaangalia nae movie za kutisha mwanzo mwisho kakodoa tu macho. Hata haogopi na kujificha mgongoni kwako.
Ukigoma kubaki nyumbani ntakuchapa kwa mikono yangu mwenyewe.Don't be too hard on yourself....
Matani, kucheka na kufurahi kunaimarisha immune system na ni mojawapo ya silaha muhimu katika kupambana na Korona pia [emoji16][emoji16][emoji16]
Kawaida tuu,ili mradi awe anatambua wewe ni mme na unahitaji heshima, ujuaji wa Mambo unatokana na Ari ya mtu husika kupenda kujua kitu husika,Demu anajua vitu vingi hatari . Mpaka mtu mzima nakosa pozi. Kila kitu anajua yeye.
Demu anamjua Hadi Styles P? Nilikuwa sijui kama mama ake na Styles P ni Mzulu WA South Africa demu ndo kanichana yeye kupitia story.
Demu anamjua mpaka Craig Mack WA New Flavour in Ya Ear.
Demu anamjua mpaka Sylvain Wiltord?
Demu anamjua hadi Dennis Edwin. Unamjua Dennis Edwin wewe? Dennis Edwin ni kipa namba mbili wa Prison ya Mbeya msimu wa 2008/2009 or something.
Demu anamfahamu Hadi Anwar Awadh Yule shombe shombe Half Back WA kushoto wa Dar Es Young Africans way back in 1995.
Demu anajua kwanini Said Mwamba aliitwa Kizota.
Demu anamjua Hadi Mohamed Nyalusi. Unamkumbuka Mohamed Nyalusi wewe?
Demu anamjua Hadi Bruce Seldon.
Demu anamjua Hadi Soko Sugi.
Demu anamjua Hadi Mithun Chakrabothy.
Demu anajua Hadi how Madam Agathe Uwiyilingimana was assassinated in 1994.
Demu anajua Hadi picha la Tridev.
When did u know that lions are nuctornal? She knew it since the days of Pontius of Pilates.
Funny enough she was born in 1994.
Kwenye Mambo ya dini nako hayupo nyuma. She can recite Suratul Yaseen or Ayatul Qursy in as much as she can recite the Lord's Prayer which was taught by Jesus Christ of Nazareth.
She is a much know I say. Kwenye ulozi sasa ndo usiseme. Kuna siku alikuwa anaongea na.mtu kwenye simu akamwambia " mbona unanichimba kama mzizi wa muharaka!!???"
Nikamuuliza, baby unaujua Hadi Muharaka?
After that ndo nikagundua demu yupo conscious Hadi kwenye mambo ya ulozi.
Demu anajua Mambo ya ulozi utafikiri Mjukuu WA Binti Ameer.
Wife material hatakiwagi kuwa mjuaji saaana. She has to be the kind of a lady who will ask you when watching football with her " BABY HIVI HUYO NI CHRIS BROWN EEH ?"
Unamjibu nope baby, huyo anaitwa Theo Walcott.
And she replies: OOH REALLY???
Demu unajua mpaka mistari ya KR
This is too much
Hahahahaaa, kwa mtu Kama Mimi nitagundua tuu ya kwamba upo vizuri au laa,huwezi nificha🤣🤣🤣🤣🤣
And that’s why we pretend not to know a lot! Ili mutuwowe!!
🤣🤣🤣🤣🤣
And that’s why we pretend not to know a lot! Ili mutuwowe!!
Kuna wanawake ni waigizaji haswa mkuu, tembea uone.Hahahahaaa, kwa mtu Kama Mimi nitagundua tuu ya kwamba upo vizuri au laa,huwezi nificha
Ndiooo.........na..ikiwa ni mbele za watu ..msee ..anaongea kitu najua kabisa kakosea lakini naminya..siongei kabisa🤣🤣🤣🤣🤣
And that’s why we pretend not to know a lot! Ili mutuwowe!!
🤣🤣🤣🤣🤣
And that’s why we pretend not to know a lot! Ili mutuwowe!!
Much know ,,wana ubishi wa ajabu haijawahi tokea,,hawakubali kurekebishwa....
Kweli wanaume mtachomwa na moto wa petrol , juzi tu mlisema mnataka wanawake kwenye matako makubwa.
Mkalala usingizi kuamka mkasema wanawake kwenye matako makubwa hawana akili, wana probability kubwa ya kuzaa watoto vilaza.
Leo wanawake wanasheria wajuaji sana hawafai kwa kuoa.
Rafiki yangu alinambia ukifika wakati wa kuoa ni lazima ataoa mwanasheria, akikosekana atalazimika kula doctor.
Nikamuuliza sababu akajibu hawa ndo wanawake wenye akili ambao wana uwezo mkubwa wa Ku argue. Anasema anataka akiongea kitu sometimes apate challenge.
Wewe umepata mwanamke kichwa unafanya kazi unamkataa
Wewe ni nani kumkataa mdada wa hivyo😂😂😂
Nilisikia wakisema kuwa jinsi mwanamke unavoongeza elimu ndivo unavyojipunguzia chansi ya kuolewa. .sijui kwanini
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Nachojiwa wanawake wanasheria wanyenyekevu sana kwenye mahusiano. Hili na wewe unalijua ukianzia kwa kiongozi utapata jibu