Gamba la Chuma
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,243
- 342
Kisa Ukawa wamekupa kazi ya kuingia humu ndani kwa jero jero basi ndo unaongea huo upuuzi, hahaha umechemsha kweli bwana Kobe mzee, naona umeishiwa hoja, na umekataa kuweka hoja ya maana sasa umejifanya kuongelea mambo ya separayion of powers, acha umbeya wewe wa kupotosha watu humu, Ukawa wameshafulia kitambo waone sasahv wanavyotangatanga wakigombea majimbo na vyeo.
Tatizo lako jazba tu, basi !
Tume huru ya uchaguzi ni jina tu, lakini sio huru - viongozi wake wote wanateuliwa na Rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm - Ibara 217(2) na 222(1).
Kumbe ccm Itatawala hata kwa katiba hii
Tume huru ya uchaguzi ni jina tu, lakini sio huru - viongozi wake wote wanateuliwa na Rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm - Ibara 217(2) na 222(1).
Kumbe ccm Itatawala hata kwa katiba hii
ndo mnavyojidanganya hivyo nyie Ukawa, lol umekurupuka tu kuweka lihoja lako la ajabu ajabu pasipo kufikiri, pooe kwa kuwa na uelewa mdogo juu ya katiba, nakushauri uisoem vema na kuielewa kisha utajua kama ni ya wananchi au ya ccm.Tume huru ya uchaguzi ni jina tu, lakini sio huru - viongozi wake wote wanateuliwa na Rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm - Ibara 217(2) na 222(1).
Kumbe ccm Itatawala hata kwa katiba hii
Mbowe, Mbatia na Lipumba ndo wale wale wasaka matongi na wachumia matumbo wanaowalaghai wananchi na kuleta chuki na vurugu nchini, maana wameishiwa sera lkn wanachokifanya sasa ni kuforce king kitu ambacho ni kigumu na kamwe hawatafanikiwa ng'ooooMara nyingi watu hujiangalia kwenye kioo kisha husahau jinsi walivyo afu wanarudi tena kujiangalia haya check hii kitu hapa chini nimeipata sehemu ndo useme separation of power ndo hii Je hawa wakipewa nchi utawala wao utakua wa aina gani????? Nataka utoe jibu!!.
UTAWALA - TOKA KUANZA KWA MFUMO WA VYAMA VINGI VYA SIASA TANZANIA.
CHADEMA.
1992-1998. M/ kiti Edwin Mtei
1988-2003. M/kiti Bob Makani
2003-2008. Mkiti Freeman Mbowe
2009-2014. M/ kiti Freeman Mbowe
2014-2019. M/ kiti Freeman Mbowe
CCM ( Chama cha Mapinduzi)
1990-1996. M/ kiti Ali Hassan Mwinyi
1996-2006. M/ kiti Benjamin Mkapa
2006-2016. Mkiti Jakaya Kikwete
CUF (Civic United Front).
1995-2000. Mkiti Ibrahim Lipumba
2000-2005. mkiti Ibrahimu Lipumba
2005 -2011. mkiti Ibrahim Lipumba
2011-2017 . mkiti Ibrahim Lipumba
NCCR MAGEUZI
1992-1995. Mkiti Mabere Marando
1995-1999. Mkiti Augustin Mrema
2000-2010. Mkiti James Mbatia
2005-2010. Mkiti James Mbatia
2010-2014. Mkiti James Mbatia
2015-2020. Mkiti James Mbatia.
Hapo kuna jazba gani, kwani ni uwongo kwamba wewe ni kibaraka ulotumwa na ukawa kwa malipo ya jero jero plus bando ya mb8 kwa siku? Njaa itakuua wewe, kuwa mzalendo usipende kutumwa tumwa kama jini.Tatizo lako jazba tu, basi !
Hapo kuna jazba gani, kwani ni uwongo kwamba wewe ni kibaraka ulotumwa na ukawa kwa malipo ya jero jero plus bando ya mb8 kwa siku? Njaa itakuua wewe, kuwa mzalendo usipende kutumwa tumwa kama jini.
Tatizo lako jazba tu, basi !
umemsahau BABU YAKO MZEE AMBILIKI aka JULIUS alikuwa mwenyekiti wa zidumu fikra za mwenyekiti wa tanu/ccm kwa miaka mingapiiiii?Mara nyingi watu hujiangalia kwenye kioo kisha husahau jinsi walivyo afu wanarudi tena kujiangalia haya check hii kitu hapa chini nimeipata sehemu ndo useme separation of power ndo hii Je hawa wakipewa nchi utawala wao utakua wa aina gani????? Nataka utoe jibu!!.
UTAWALA - TOKA KUANZA KWA MFUMO WA VYAMA VINGI VYA SIASA TANZANIA.
CHADEMA.
1992-1998. M/ kiti Edwin Mtei
1988-2003. M/kiti Bob Makani
2003-2008. Mkiti Freeman Mbowe
2009-2014. M/ kiti Freeman Mbowe
2014-2019. M/ kiti Freeman Mbowe
CCM ( Chama cha Mapinduzi)
1990-1996. M/ kiti Ali Hassan Mwinyi
1996-2006. M/ kiti Benjamin Mkapa
2006-2016. Mkiti Jakaya Kikwete
CUF (Civic United Front).
1995-2000. Mkiti Ibrahim Lipumba
2000-2005. mkiti Ibrahimu Lipumba
2005 -2011. mkiti Ibrahim Lipumba
2011-2017 . mkiti Ibrahim Lipumba
NCCR MAGEUZI
1992-1995. Mkiti Mabere Marando
1995-1999. Mkiti Augustin Mrema
2000-2010. Mkiti James Mbatia
2005-2010. Mkiti James Mbatia
2010-2014. Mkiti James Mbatia
2015-2020. Mkiti James Mbatia.
Pole Gamba umekutana na kamanda aka Gamba la Chuma cha pua unaanza kupumulia mashine, ha ha ha ha!
ndo mnavyojidanganya hivyo nyie Ukawa, lol umekurupuka tu kuweka lihoja lako la ajabu ajabu pasipo kufikiri, pooe kwa kuwa na uelewa mdogo juu ya katiba, nakushauri uisoem vema na kuielewa kisha utajua kama ni ya wananchi au ya ccm.
Gamba la chuma au la Plastiki haha acha uoga Jaymillion amekukimbiza mpaka umetia akili,kura yako ya NDIYO ni muhimu kwa taifa lako!Ua welcome!
Usipende san kusikia bila kufuatilia mambo. Sikia, fuatilia na soma yaliyoandikwa kwnye Katiba Inayopendekezwa imeeleza utaratibu mzima utakavyokuwa. Wapo Wabunge wa kuchaguliwa na wa kuteuliwa. Idadi ya Wabunge wa kuchaguliwa itatokana na majimbo ya uchaguzi yatakayotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi. Maneno yasikusumbue soma katiba hiyo ili upate majibu sahihi nakuondokana na nasikia, nasikia, nasikia. Chukua hatua soma ndg yangu wasikupelekepeleke bila ridhaa yako.
ninamashaka na na hizi ID zenu/zako. vipi kwani umekula pini auuuu??Nkesh aka Nkeshimana isome tena na tena na kama huelewi omba msaada hapa JF, Bunge linafanya kazi kwa utaratibu na kuna taarifa rasmi za bunge hakuna namna yoyote ya majadiliano ya BMK kutoingizwa kwenye Katiba inayopendekezwa, sio sawa! Hao wanaosoma gazeti la udaku wanaelewa wanachokisoma na ndo maana wananunua wape heshima yao, na taarifa zinazoandikwa zimefanyiwa kazi na ndio maana wahusika wanaoandikwa hawaendi mahakamani jifunze kutafakari kwa makini usikurupuke!
umemsahau BABU YAKO MZEE AMBILIKI aka JULIUS alikuwa mwenyekiti wa zidumu fikra za mwenyekiti wa tanu/ccm kwa miaka mingapiiiii?
ninamashaka na na hizi ID zenu/zako. vipi kwani umekula pini auuuu??
umemsahau BABU YAKO MZEE AMBILIKI aka JULIUS alikuwa mwenyekiti wa zidumu fikra za mwenyekiti wa tanu/ccm kwa miaka mingapiiiii?
ninamashaka na na hizi ID zenu/zako. vipi kwani umekula pini auuuu??
Pole Gamba umekutana na kamanda aka Gamba la Chuma cha pua unaanza kupumulia mashine, ha ha ha ha!
ndo mnavyojidanganya hivyo nyie Ukawa, lol umekurupuka tu kuweka lihoja lako la ajabu ajabu pasipo kufikiri, pooe kwa kuwa na uelewa mdogo juu ya katiba, nakushauri uisoem vema na kuielewa kisha utajua kama ni ya wananchi au ya ccm.
Gamba la chuma au la Plastiki haha acha uoga Jaymillion amekukimbiza mpaka umetia akili,kura yako ya NDIYO ni muhimu kwa taifa lako!Ua welcome!
Usipende san kusikia bila kufuatilia mambo. Sikia, fuatilia na soma yaliyoandikwa kwnye Katiba Inayopendekezwa imeeleza utaratibu mzima utakavyokuwa. Wapo Wabunge wa kuchaguliwa na wa kuteuliwa. Idadi ya Wabunge wa kuchaguliwa itatokana na majimbo ya uchaguzi yatakayotangazwa na Tume Huru ya Uchaguzi. Maneno yasikusumbue soma katiba hiyo ili upate majibu sahihi nakuondokana na nasikia, nasikia, nasikia. Chukua hatua soma ndg yangu wasikupelekepeleke bila ridhaa yako.
Nkesh aka Nkeshimana isome tena na tena na kama huelewi omba msaada hapa JF, Bunge linafanya kazi kwa utaratibu na kuna taarifa rasmi za bunge hakuna namna yoyote ya majadiliano ya BMK kutoingizwa kwenye Katiba inayopendekezwa, sio sawa! Hao wanaosoma gazeti la udaku wanaelewa wanachokisoma na ndo maana wananunua wape heshima yao, na taarifa zinazoandikwa zimefanyiwa kazi na ndio maana wahusika wanaoandikwa hawaendi mahakamani jifunze kutafakari kwa makini usikurupuke!
Mwanaume hapigi kelele pambana ufe kishujaa kama umeshindwa nyosha mikono!!!
walewaleeee.. yuleyuleee unabadili jina tu halafu unaleta mada za kitoto mwisho wako 0CT 15