Jay Milionea
JF-Expert Member
- Apr 19, 2015
- 1,185
- 154
Huna akili wewe mchumia tu,bo wa Ukawa, kazi yako ni kupist mambo yalopitwa na wakati humu ndani, jipange tena wewe na mmeo MwallaPole cmwelewi mi nimefanya nae mambo kibao ww c umezaliwa akiwa hosptali uingereza akafia huko hujawahi mwona akiwa ahi
Wewe na mwenzio Mwalla wote ni mafala mlotumwa na Ukawa, mtatumika sana mwaka huu kama mifagio ya chooni kisa jero jero
Huna akili wewe mchumia tu,bo wa Ukawa, kazi yako ni kupist mambo yalopitwa na wakati humu ndani, jipange tena wewe na mmeo Mwalla
Post hujaianza ww ila umeikomalia kama yako povu la nn ww unayo maamuzi ya kijinga unashauri na wenzako wawe ww pole sn
Post hujaianza ww ila umeikomalia kama yako povu la nn ww unayo maamuzi ya kijinga unashauri na wenzako wawe ww pole sn
Huyu naye! Kuchangia hoja ni haki ya kila mwana JF siyo lazima uanzishe hoja. Someka wewe! Pilipili usiyoila inakuwashia nini?
Kuna sababu nyingi za kuipigia kura ya hapana katiba inayopendekezwa.
Kati ya sababu hizo ni ubatili wa mchakato wenyewe ambao ulihodhiwa na ccm, kutokuwa na sifa za msingi za katiba, kutokuwa na muafaka wa kitaifa zaidi ya kulinda maslahi ya ccm na baadhi ya wabunge hasa wasio na elimu na uwezo, kuacha mambo yote ya msingi yaliyopendekezwa na wananchi nk.
Haijaweka mfumo wa kutenganisha mamlaka (separation of powers) na hivyo inatoa fursa kwa matumizi mabaya ya madaraka (abuse of powers).
Lakini pia katika kuipitia katiba yenyewe inayopendekezwa nimeona mapungufu mengi, hasa katika muundo wa serikali ambao una mikanganyiko mingi ibara za 1(1), 75, 76, 77 na 163.
Inaruhusu viongozi wa umma kuwa na fedha nje ya nchi ( ie issue km ya vijisenti vya chenge haitokuwa kashfa tena) ibara 29(2)(b).
Katiba hii pia bado inapingana katika maeneo mengi na Katiba ya Zanzibar ya mwaka (1984) toleo la 2010.
Tume huru ya uchaguzi ni jina tu, lakini sio huru - viongozi wake wote wanateuliwa na Rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm - Ibara 217(2) na 222(1).
Nadhani ilikuwa vema kwa Bunge Maalumu kuzingatia maoni ya Tume ya Jaji Warioba.
N.B
Separation of powers is a political system in which Legislative, Executive, and Judicial are kept distinct in order to prevent abuse of power and promote a system of checks and balances.
View attachment 248635
Umeelewa kweli ulichojibu ama ndio kaswaida chchte popite sawa????
Nenda kajifunZe kuandika kwanza ili siku ya kupiga kura usikosee kuweka NDIYO.
Umeelewa kweli ulichojibu ama ndio kaswaida chchte popite sawa????
Naona unahitajika kurudi kujifunza kuandika. Nanda usiogope. Tunajua unahitajika kujifunza. Unasemaje maana hujaeleweka hata kidogo. Au ndiyo kuweweseka?
Pole ngoja nikunyamazie maana ndio dawa ya watu kama ww~
Asante kwa kunielewa
Cshindwi kumwelewa mtu hata kama mjinga kama ww ucjali
Ungeweka na sababu za kupiga kura ya ndio kama mtoa mada alivyoweka sababu za kura ya HAPANA ambazo ni za msingi sana na zinakubalika
Mada hapa ni wewe kwenda kujiandikisha siku ikifika afu ukapigie kura ya NDIYO KAtiba inayopendekezwa!!!nadhani umenisoma!
Ctaweza kamwe kuipigia ndio rasm ambayo imekataliwa hata na cta pamoja na magengeza walioiandaa bada ww unakuwa wa mwisho kila ck
Ungeweka na sababu za kupiga kura ya ndio kama mtoa mada alivyoweka sababu za kura ya HAPANA ambazo ni za msingi sana na zinakubalika
Hizo sababu zako za hapana hazina mashiko, maana wengi mnafata mkumbo hamtaki kuukubali ukweli kwamba katiba hii ni nzuri, mmekuwa wavivu wa kuisoma mmekalia kupinga tuu, ni sheedah watu wenye utindio wa ubongo kama nyie, pole sana you must be abnormal wala sio bure.Ungeweka na sababu za kupiga kura ya ndio kama mtoa mada alivyoweka sababu za kura ya HAPANA ambazo ni za msingi sana na zinakubalika
Hizo sababu zako za hapana hazina mashiko, maana wengi mnafata mkumbo hamtaki kuukubali ukweli kwamba katiba hii ni nzuri, mmekuwa wavivu wa kuisoma mmekalia kupinga tuu, ni sheedah watu wenye utindio wa ubongo kama nyie, pole sana you must be abnormal wala sio bure.
Tatizo lako jazba !