Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa


Mkuu mchakato wa kupata Katiba mpya kwa maoni yangu umewekwa akiba kwa muda tu "PAUSE" na ukirejea utakuja na kasi ya ajabu mpaka tutashangaa, kama unakumbuka vizuri BMK lilishamaliza kazi yake ilibakia tu kuipigia kura, na hapa katikati kama unavyojua taifa letu limekua na mambo kibao likiwemo suala la uandikishaji wa wapiga kura kwenye daftari la kudumu ili kuhakikisha kuwa wote wenye sifa za kupiga kura wanatumia haki yao kikatiba kuamua mustakabali wa taifa lao, isingekua busara kuharakisha upigaji wa kura kabla ya kundi kubwa la vijana ambao nao wametimiza umri wa kupiga kura wangeachwa eti kwa sababu tu ya kukosekana kuwepo kwenye daftari la wapiga kura!

Mungu ni mkuu, Zoezi hili linaendelea naamini kura itapigwa Tu maadam kazi imebaki kwetu kuipa ridhaa!
 
Kwako wewe ndo unaona kuwa umekwama lakn sisi wenzako pamoja na Watanzania wengine kwa ujumla tunaona kuwa uko pale pale na Katiba hii itapatikana tuu wewe kuwa tu na kijiba roho chako hiko lkn mwisho wa siku majibu utayapata tuu
 
Kwako wewe ndo unaona kuwa umekwama lakn sisi wenzako pamoja na Watanzania wengine kwa ujumla tunaona kuwa uko pale pale na Katiba hii itapatikana tuu wewe kuwa tu na kijiba roho chako hiko lkn mwisho wa siku majibu utayapata tuu

Vipi hasira zimeisha ?
 

Ufafanuzi mzuri.
Umesomeka mkuu.
Japo bado kuna changamoto
 

Hayo ni maeneo mawili ya muhimu sana.
Kutenganisha mihimili ya Dola ambayo ni Bunge, Mahakama na Serikali, ambapo Tume ya uchaguzi inaweza kuwa idara chini ya mhimili wa mahakama km ilivyo marekani.

Lakini pia ikataze watumishi wa umma kuwa na fedha nje ya nchi. NB: Watumishi wa umma sio km wale wahindi aliowataja zito, ie wafanyabiashara wanaruhusiwa kuwa na fedha nje (MNIs)
 

Kama huna hela huna tu, acha walionazo wakaziweke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…