Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

wala usihangaike naye kujibizana naye. Huyu ndg yuko kwa project maalumu ya kudanganya WATANZANIA kuwa katiba ni nzuri wakati anajua inahujumu uchumi wa nchi yetu.
Mbona unachanganya changanya IDs zako.

Halafu, we mwenyewe ukiangalia posts zangu na majibu yako unajigundua kuwa upo very weak ktk uelewa, kujitambua na kujieleza, very weak and poor.

Hutoshi kuwa mwana JF
 
Swala la katiba pendekezwa ni nzuri halitatajwa kabisa sasa hivi na hata kwenye kampeni.Mwenye kujiamini azungumzie hilo au hata katika safari ya kujitambulisha.Katiba Pendekezwa ni bao la cross na siku zote mnajuwa cross haina offside.
 
Kazi ya Katiba imeshaisha sasa hivi tnawaza mengine aisee!maana bado kuipush tu then inakua kama moyo!
 
Kwa hiyo Zanzibar ni nchi ?
 
Ndiyo yako inakubaliana na hoja yangu na ile ya Pinda.
Kama Zanzibar ni nchi then what about Tanganyika ?
Kama Zanzibar ni nchi imeungana na nani ?
Kama Zanzibar ni nchi then Watanganyika utaifa wao ni upi ? ...etc
...mwisho wa siku utarudi kwenye ukweli kuwa ilipaswa tuwe na serikali moja, nchi moja, Rais mmoja.
Na hilo likishindikana basi Tanganyika irudi tuwe na serikali 3.
 


Imeungana Tanganyika,Unguja na Pemba = Tanzania! Uliza swali lingine!
 
Mkuu Martinez,
Hawawezi kujibu hilo swali hao makada.
Wao ni bendera fuata upepo.
Kimsingi muundo wa muungano unahitaji marekebisho ya kuivunja serikali ya Zanzibar au kuongeza ya Tanganyika
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wengi wanapenda kusikia habari za Lowassa, Dr Slaa, Magufuli, Tundu Lissu nk.

Issue muhimu km hizi hawapo kabisa.

Wangejua, ..tatizo letu ni mfumo (ie Katiba) na sio watu.

Mwisho wanatarudi palepale, ...afadhali ya mkapa, afadhali mwinyi, ...tatizo ni mfumo na sio watu !
 

wewe na mimi tuko pamoja!!!!!!!!
 

Serikali mbili zimeshaprove failure, na pia ni gharama sana.

Serikali tatu ni nzuri, lakini pia ni gharama sana.

Ni wakati muafaka sasa tuwe na serikali moja.

Zanzibar iwe mkoa au jimbo la uchaguzi.
 

Ni kweli kabisa, tatizo letu ni mfumo na sio watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…