Sababu za kura ya HAPANA kwa Katiba Inayopendekezwa

wala usihangaike naye kujibizana naye. Huyu ndg yuko kwa project maalumu ya kudanganya WATANZANIA kuwa katiba ni nzuri wakati anajua inahujumu uchumi wa nchi yetu.
Mbona unachanganya changanya IDs zako.

Halafu, we mwenyewe ukiangalia posts zangu na majibu yako unajigundua kuwa upo very weak ktk uelewa, kujitambua na kujieleza, very weak and poor.

Hutoshi kuwa mwana JF
 
Swala la katiba pendekezwa ni nzuri halitatajwa kabisa sasa hivi na hata kwenye kampeni.Mwenye kujiamini azungumzie hilo au hata katika safari ya kujitambulisha.Katiba Pendekezwa ni bao la cross na siku zote mnajuwa cross haina offside.
 
Kazi ya Katiba imeshaisha sasa hivi tnawaza mengine aisee!maana bado kuipush tu then inakua kama moyo!
 
Nenda kasome ARTICLE OF UNION vizuri kamanda la sivyo utaehuka bure! ukimaliza nenda UN uone kama kuna kiti cha Zanzibar, ukimaliza rudi hapa uniambie Rais wa Jamhuri ya Muungano anatoka huku bara au ZnZ! Huwezi kuwa na Muungano wa nchi 1 ila unakua na muungano wa nchi 2 au zaidi!
Kwa hiyo Zanzibar ni nchi ?
 
Ndiyo yako inakubaliana na hoja yangu na ile ya Pinda.
Kama Zanzibar ni nchi then what about Tanganyika ?
Kama Zanzibar ni nchi imeungana na nani ?
Kama Zanzibar ni nchi then Watanganyika utaifa wao ni upi ? ...etc
...mwisho wa siku utarudi kwenye ukweli kuwa ilipaswa tuwe na serikali moja, nchi moja, Rais mmoja.
Na hilo likishindikana basi Tanganyika irudi tuwe na serikali 3.
 
Imeungana Tanganyika,Unguja na Pemba = Tanzania! Uliza swali lingine!
 
Ndiyo yako inakubaliana na hoja yangu na ile ya Pinda.
Kama Zanzibar ni nchi then what about Tanganyika ?
Kama Zanzibar ni nchi imeungana na nani ?
Kama Zanzibar ni nchi then Watanganyika utaifa wao ni upi ? ...etc
...mwisho wa siku utarudi kwenye ukweli kuwa ilipaswa tuwe na serikali moja, nchi moja, Rais mmoja.
Na hilo likishindikana basi Tanganyika irudi tuwe na serikali 3.
Mkuu Martinez,
Hawawezi kujibu hilo swali hao makada.
Wao ni bendera fuata upepo.
Kimsingi muundo wa muungano unahitaji marekebisho ya kuivunja serikali ya Zanzibar au kuongeza ya Tanganyika
 
Last edited by a moderator:
Watanzania wengi wanapenda kusikia habari za Lowassa, Dr Slaa, Magufuli, Tundu Lissu nk.

Issue muhimu km hizi hawapo kabisa.

Wangejua, ..tatizo letu ni mfumo (ie Katiba) na sio watu.

Mwisho wanatarudi palepale, ...afadhali ya mkapa, afadhali mwinyi, ...tatizo ni mfumo na sio watu !
 
ndiyo yako inakubaliana na hoja yangu na ile ya pinda.
Kama zanzibar ni nchi then what about tanganyika ?
Kama zanzibar ni nchi imeungana na nani ?
Kama zanzibar ni nchi then watanganyika utaifa wao ni upi ? ...etc
...mwisho wa siku utarudi kwenye ukweli kuwa ilipaswa tuwe na serikali moja, nchi moja, rais mmoja.
na hilo likishindikana basi tanganyika irudi tuwe na serikali 3.

wewe na mimi tuko pamoja!!!!!!!!
 
Ndiyo yako inakubaliana na hoja yangu na ile ya Pinda.
Kama Zanzibar ni nchi then what about Tanganyika ?
Kama Zanzibar ni nchi imeungana na nani ?
Kama Zanzibar ni nchi then Watanganyika utaifa wao ni upi ? ...etc
...mwisho wa siku utarudi kwenye ukweli kuwa ilipaswa tuwe na serikali moja, nchi moja, Rais mmoja.
Na hilo likishindikana basi Tanganyika irudi tuwe na serikali 3.

Serikali mbili zimeshaprove failure, na pia ni gharama sana.

Serikali tatu ni nzuri, lakini pia ni gharama sana.

Ni wakati muafaka sasa tuwe na serikali moja.

Zanzibar iwe mkoa au jimbo la uchaguzi.
 
Watanzania wengi wanapenda kusikia habari za Lowassa, Dr Slaa, Magufuli, Tundu Lissu nk.

Issue muhimu km hizi hawapo kabisa.

Wangejua, ..tatizo letu ni mfumo (ie Katiba) na sio watu.

Mwisho wanatarudi palepale, ...afadhali ya mkapa, afadhali mwinyi, ...tatizo ni mfumo na sio watu !

Ni kweli kabisa, tatizo letu ni mfumo na sio watu
 
Back
Top Bottom