Lilambalyakwilole
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 1,100
- 649
tetete, umefanya nicheke, huyu jamaa haelewi kucheza na fursaKMKM ni kikosi tu mkuu.
Ila katika biashara lazima utumbuize kidogo mteja akuelewe, sio unaonaga wale jamaa wa forever Living wanavyofanyaga?
Hilo ndiyo tatizo ketu la kujifanya wajuvi wa kuijua ZNZ kumbe hata hamna idea... ZNZ ina vikosi vyake na viko for decadesNilikuwa sijui, kumbe Zanzibar wana Jeshi lao!!
Mkuu inabidi uelewe kuwa tozo ya kupitisha pipa moja kwa katika ardhi ya nchi nyingine ni $14 na Uganda inapitisha mapipa 200,000 kwa siku maana yake kwa mwaka serikali inaingiza zaidi ya Trillioni 2, na hio ni fedha ya kigeni kwa haraka haraka ni US Dollars.
Pia ukumbuke pato la ndani kwa mwaka kwa serikali kwa sasa ni almost Trillioni 4 maana yake pato la ndani litakua limeongezeka kwa 50%, sasa hapo huoni hio faida??
Kumbuka pia kama tukipwa dollar hizo maana yake shillingi ya Tanzania dhidi ya Dollar ya mmarekani itaimarika sana na hivyo kutupa advantage katika maununuzi ya nje.
Kiuchumi hii kitu ina faida sana.
Nimeongelea pato la ndani mkuu, mana yake kodi za ndani na ushuru wa sigara na makato ya mishahara na fujo zote tunazofanyiwa fanyiwa humu ndaniAngalau sasa unaanza kuongea kitu, unaweza kufanya refference ya hiyo 14usd per barrel, nammanisha umepata wapi hiyo source. Halafu pato la Tanzania sio Trilion 4.
Hatuzungumzii vikosi bali tulikuwa tunazungumzia Jeshi!! Ulitakiwa kwanza ujue kinachojadiliwa kabla ya kuchangia. Yaani mimi kwa mfano nisijue kwamba Zanzibar kuna KMKM, Valantia (Volunteers) na siku hizi wameongezeka na Mazombie!?Hilo ndiyo tatizo ketu la kujifanya wajuvi wa kuijua ZNZ kumbe hata hamna idea... ZNZ ina vikosi vyake na viko for decades
Bado ni zaidi ya hapo, kama ulimaanisha Domestic revenue, kwa mwezi tu karibia 1.5Tril. Refe (Wazir wa Fedha)Kama ulimaanisha GDP ni karibu Trilion 100. (IMF)Nimeongelea pato la ndani mkuu, mana yake kodi za ndani na ushuru wa sigara na makato ya mishahara na fujo zote tunazofanyiwa fanyiwa humu ndani
Nilikuwa sijui, kumbe Zanzibar wana Jeshi lao!!
Basi tunakuomba sana ujadili mada, upuuzi wa siasa bakini nao huko ufipa na lumumba...Hatuzungumzii vikosi bali tulikuwa tunazungumzia Jeshi!! Ulitakiwa kwanza ujue kinachojadiliwa kabla ya kuchangia. Yaani mimi kwa mfano nisijue kwamba Zanzibar kuna KMKM, Valantia (Volunteers) na siku hizi wameongezeka na Mazombie!?
Hivi unajua majukumu ya KMKM na hivi unajua ya kuwa KMKM wa rada yao na ambayo haina uhusiano kabisa na ya Jeshi la TZ? na hivi unajua ya kuwa KMKM wana manuwari pia?Hatuzungumzii vikosi bali tulikuwa tunazungumzia Jeshi!! Ulitakiwa kwanza ujue kinachojadiliwa kabla ya kuchangia. Yaani mimi kwa mfano nisijue kwamba Zanzibar kuna KMKM, Valantia (Volunteers) na siku hizi wameongezeka na Mazombie!?
Hivi unajua majukumu ya KMKM na hivi unajua ya kuwa KMKM wa rada yao na ambayo haina uhusiano kabisa na ya Jeshi la TZ? na hivi unajua ya kuwa KMKM wana manuwari pia?
Na chekingi liko pia JKU maana yake ni Jeshi la kujenga Uchumi ni sawa na Jeshi la kujenga Taifa la MainlandHatuzungumzii vikosi bali tulikuwa tunazungumzia Jeshi!! Ulitakiwa kwanza ujue kinachojadiliwa kabla ya kuchangia. Yaani mimi kwa mfano nisijue kwamba Zanzibar kuna KMKM, Valantia (Volunteers) na siku hizi wameongezeka na Mazombie!?
1.4tr usd? Tsh?Bado ni zaidi ya hapo, kama ulimaanisha Domestic revenue, kwa mwezi tu karibia 1.5Tril. Refe (Wazir wa Fedha)Kama ulimaanisha GDP ni karibu Trilion 100. (IMF)
Nakubaliana na wewe kuhusu KMKM lakini siyo jeshi ni vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar!!Na chekingi liko pia JKU maana yake ni Jeshi la kujenga Uchumi ni sawa na Jeshi la kujenga Taifa la Mainland
Tanzania italipwa ushuru wa UD$14 kwa pipa, kwa siku yatapitishwa mapipa laki mbili hivyo kwa mwaka Tanzania itavuna US$ bilioni moja, kumbuka mauzo ya nje ya Tanzania ni US$ bilioni tano, hivyo itaongeza mapato yetu ya kigeni kwa 25% na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya uchumi wa kati.Swala sio technical analysis kwa nin bomba lipite kwetu,issue ni economic benefit gani tutapata kama nchi? hii issue imebebewa bango sana sasa cjui ni kusahaulisha watu mambo ya zanzibar au kuna ukweli wowote.
kmkm ni kikosi cha jeshi linalotambulika kama ilivyo jkt ilivyo chini ya JW.Nakubaliana na wewe kuhusu KMKM lakini siyo jeshi ni vikosi vya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar!!
Kwahiyo watu wanatoana jasho kwa mradi ambao hautatulipa?? Wakenya mpaka wanashusha propaganda kibao na kutuma mashushushu kwa mradi ambao hauna faida yeyote??? Duuuhh angefanya Lowassa au Ukawa haya yangesifiwa..Kuna watu wanafurahisha sana, kwamba watu wapitishe bomba wapige export za hatari halaf nyie wawalipe port charges, na mulipe walinzi wenu, mseme mmecreate ajira. Yan hapa japokuwa cjui makubaliano ya jumuiya ya Africa mashariki kuhusu bandari, lakin ilibidi angalau tupate hata 1 or 2% per barrel halaf upuuz mwingine wote watuachie, sio fixed price manake bei za mafuta zinabadilika kila cku.
Naongelea Exports sio GDP mkuu, ndio maana watu hawalali kuna ulaji mkuu, na hivi yule fisadi keshatupwa nje ya system hizi pesa hazitaishia uswis zitawanaufaisha watanzania wote.Angalau sasa unaanza kuongea kitu, unaweza kufanya refference ya hiyo 14usd per barrel, nammanisha umepata wapi hiyo source. Halafu pato la Tanzania sio Trilion 4.
Mkuu, kuna trip down effect chungu mzima, na buckward linkage za kutosha labda tuanzishe topic nyingine ya kukuelewesha faida ya huu mradi ila najua wakenya wanaweza wakafa kwa kihoro.Ndo uniambie ww sasa, nachojua mm Uganda ni land locked kwa vyovyote lazima atumie Kenya au Tanzania kufanya export zake, usiniambie vitu vidogo vidogo nataka nijue faida kubwa na risk za sis kukubali kufacilitate potential export za Uganda