GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo
2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo
3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma Mwambusi hana mbinu za Kumsaidia
4. Zlatko hamtaki Kiungo Haruna Niyonzima akisema haendani na Kasi yake ila Uongozi unamlazimisha aendelee Kumpanga
5. Zlatko mara kwa mara amekuwa akiisifia Klabu ya Simba na kuutaka Uongozi uige Jinsi Simba SC inavyowajali Wachezaji wake
6. Zlatko amekataa Yanga SC kucheza Mechi za Kirafiki katikati ya Wiki huku Ligi ikiendelea kwa Kudai huo ni Ushamba wa Karne
7. Zlatko bila Uwoga kawaambia Viongozi kuwa atakachoweza kufanya akicheza na Simba Oktoba 18 ni Kupunguza tu Magoli ila Watafungwa
Kuna wale Watu wenye sijui 'Viblogu' na 'Vitovuti' vyenu mpaka na baadhi ya Vyombo vya Habari huwa mna tabia ya 'Kukopi' haya 'Mabandiko' yangu hapa na 'Kuyaweka' huko mkijifanya ni yenu na mmeyatafuta nyie. Chonde chonde leo 'mkiikopi' hii tafadhali tajeni 'Source' wenu kuwa ni GENTAMYCINE na Mtandao huu huu wa JamiiForums.