Sababu za ndani kabisa 'nilizopenyezewa' ambazo ndizo 'zimemfukuzisha' Kazi Kocha wa Yanga SC Zlatko ni hizi hapa....

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo
2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo
3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma Mwambusi hana mbinu za Kumsaidia
4. Zlatko hamtaki Kiungo Haruna Niyonzima akisema haendani na Kasi yake ila Uongozi unamlazimisha aendelee Kumpanga
5. Zlatko mara kwa mara amekuwa akiisifia Klabu ya Simba na kuutaka Uongozi uige Jinsi Simba SC inavyowajali Wachezaji wake
6. Zlatko amekataa Yanga SC kucheza Mechi za Kirafiki katikati ya Wiki huku Ligi ikiendelea kwa Kudai huo ni Ushamba wa Karne
7. Zlatko bila Uwoga kawaambia Viongozi kuwa atakachoweza kufanya akicheza na Simba Oktoba 18 ni Kupunguza tu Magoli ila Watafungwa

Kuna wale Watu wenye sijui 'Viblogu' na 'Vitovuti' vyenu mpaka na baadhi ya Vyombo vya Habari huwa mna tabia ya 'Kukopi' haya 'Mabandiko' yangu hapa na 'Kuyaweka' huko mkijifanya ni yenu na mmeyatafuta nyie. Chonde chonde leo 'mkiikopi' hii tafadhali tajeni 'Source' wenu kuwa ni GENTAMYCINE na Mtandao huu huu wa JamiiForums.
 
Uto kama Uto 🐸🐸🐸🐸 Wanaanza upya tena kujenga kikosi.. Coach mpya anakuja kuanza upya tena. Wangesubiri angalau mechi na 🐯🐯🐯 ipite ndio wamfanyie tathimini. Utopoloni
kazi ipo....
 
Daah Ila we jamaa unapenda sifa sijapata kuona ,Ila all in all mm nakubali Sana Tambo zako hapa jf maana muda mwingine Ni burudani Sana.

Kitu kingine umeongea sahihi yanga Wana Mambo ya kizaman Sana na hawatak kuambiwa ukwel ,bahat mbaya wazungu sio wanafk
 
Rekodi ya kocha inajieleza, mule hakuna kocha. Tunahitaji kocha mwenye mbinu nzuri za ushindi
 
Hii ni club kubwa, tunataka kuanza kufunga 6 na kuendelea, timu haichezi kwa pattern nzuri, umaliziaji ni tatizo sana.
Wachezaji ‘Mizigo’ ile, lawama anaangushiwa Mwalimu..!
Uongozi ulikosea sana kuwaaminisha mashabiki kuwa wamesajili ‘Top players’ wakati ni wachezaji wa kawaida mno
 
1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo
2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo
3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma Mwambusi hana mbinu za Kumsaidia
4. Zlatko hamtaki Kiungo Haruna Niyonzima akisema haendani na Kasi yake ila Uongozi unamlazimisha aendelee Kumpanga
5. Zlatko mara kwa mara amekuwa akiisifia Klabu ya Simba na kuutaka Uongozi uige Jinsi Simba SC inavyowajali Wachezaji wake
6. Zlatko amekataa Yanga SC kucheza Mechi za Kirafiki katikati ya Wiki huku Ligi ikiendelea kwa Kudai huo ni Ushamba wa Karne
7. Zlatko bila Uwoga kawaambia Viongozi kuwa atakachoweza kufanya akicheza na Simba Oktoba 18 ni Kupunguza tu Magoli ila Watafungwa

Kuna wale Watu wenye sijui 'Viblogu' na 'Vitovuti' vyenu mpaka na baadhi ya Vyombo vya Habari huwa mna tabia ya 'Kukopi' haya 'Mabandiko' yangu hapa na 'Kuyaweka' huko mkijifanya ni yenu na mmeyatafuta nyie. Chonde chonde leo 'mkiikopi' hii tafadhali tajeni 'Source' wenu kuwa ni GENTAMYCINE na Mtandao huu huu wa JamiiForums.
Akopi nani uharo huu? Labda mbumbumbu Kama wewe.
 
Rage alimaliza kazi. Mbumbumbu fc
 
Ushaanza ule utabiri wako uchwara eeeh???Mwite Mshana Jr akusaidie ili aibu ije iwapate wote kama msimu uliopita.
 
Uchebe: Simba ili ifanikiwe inahitaji iachane na un educated and liars, lage : Mashabiki wa simba ni mbumbumbu,
Kibadeni akiwa kocha wa mtibwa: Kuna klabu kubwa(simba)inanunua mechi baada ya ulimboka mwakingwe kumpelekea fedha shahani kado kipa wa mtibwa ili Simba ishinde.
Aliye wani kuwa kocha wasimba mzambia Patrick fili : tulihonga mechi ili kuchukua ubingwa bila kufungwa.
Iddi pazi (father) akiwa kipa wa prisner:ilibidi nikubali kufungisha ili Simba isishuke daraja.
Ramadhani kabwili: Simba walitaka nifanye makosa nipewe kadi ya njano dhidi ya JKT Tanzania ili nisicheze mechi dhidi yao.
Simba kwa kushilikiana na Fat :alishawahi kuibadilisha kadinyekundu aliyopewa husen Marsha isomeke kapewa Bakari iddi licha ya Bakari kulalamikia aliambiwa atulie si a napata posho.
 
Uchebe: Simba ili ifanikiwe inahitaji iachane na un educated and liars, lage : Mashabiki wa simba ni mbumbumbu,
Kibadeni akiwa kocha wa mtibwa: Kuna klabu kubwa(simba)inanunua mechi baada ya ulimboka mwakingwe kumpelekea fedha shahani kado kipa wa mtibwa ili Simba ishinde.
Aliye wani kuwa kocha wasimba mzambia Patrick fili : tulihonga mechi ili kuchukua ubingwa bila kufungwa.
Iddi pazi (father) akiwa kipa wa prisner:ilibidi nikubali kufungisha ili Simba isishuke daraja.
Ramadhani kabwili: Simba walitaka nifanye makosa nipewe kadi ya njano dhidi ya JKT Tanzania ili nisicheze mechi dhidi yao.
Simba kwa kushilikiana na Fat :alishawahi kuibadilisha kadinyekundu aliyopewa husen Marsha isomeke kapewa Bakari iddi licha ya Bakari kulalamikia aliambiwa atulie ke si napata posho.
Maneno ya Eymael mbona hujayaandika
 
Daah Ila we jamaa unapenda sifa sijapata kuona ,Ila all in all mm nakubali Sana Tambo zako hapa jf maana muda mwingine Ni burudani Sana.

Kitu kingine umeongea sahihi yanga Wana Mambo ya kizaman Sana na hawatak kuambiwa ukwel ,bahat mbaya wazungu sio wanafk
Morrison anaendeleaje huko??
 
Back
Top Bottom