Sababu za ndani kabisa 'nilizopenyezewa' ambazo ndizo 'zimemfukuzisha' Kazi Kocha wa Yanga SC Zlatko ni hizi hapa....

Ha ha ha ha hA, wewe anaekuzidi tambi hapa JF ni Kidukulilo tu.
 
Wachezaji ‘Mizigo’ ile, lawama anaangushiwa Mwalimu..!
Uongozi ulikosea sana kuwaaminisha mashabiki kuwa wamesajili ‘Top players’ wakati ni wachezaji wa kawaida mno
Wachezaji ni average players kama walivyo wa Simba, ndio maana hatujapoteza game na timu zinazotukaziaga tushazipiga karibia zote. Shida ni tunataka tuone timu inacheza mpira wa kufundishwa ulio na pattern, malengo yetu siyo kumfunga simba, tunataka time ya kushiriki na kufanya vizuri kwenye michuano ya vilabu Afrika.
 
Umeongea football na hivi ndivyo sisi mashabiki tunapaswa kuongea.ila wengi wanaletaga unazi tu.Simba fan
 

Aliyekuwa Kocha wa Yanga Aliyewanoa Hazard na Benteke aliwahi kunukuliwa akisema "Mashabiki ya Yanga ni Uneducated hayajui chochote kuhusu Mpira, Yanapiga makelele tu kama Manyani na Kubweka kama Mambwa".
 
Acha upopoma wewe mikia fc.
 
hivi hawa Vyura FC wapo position gani kwenye msimamo wa ligi?

na wenzao Mbumbumbu SC wapo nafasi gani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi wamevunjaa mkataba au injiniaaa alimletaaa mshikaji wake ajishikizeee kwa mda ?
 
Unafikiri pattern inapatikana ndani ya mwezi? Kwanza sio kaliba ya Yanga kucheza soka la chini lenye pasi nyingi..!
 
Nonsense.
 
Nyani daima hawezi kuwa na AKILI
 
Kila mwaka ndio zenu. Toka zama za Zahra. Always Minyani ni minyan tu
 
"Mashabiki ya Yanga ni Uneducated hayajui chochote kuhusu Mpira, Yanapiga makelele tu kama Manyani na Kubweka kama Mambwa".
Sawa kabisa msomi, lakini elewa kuwa Mwenyekiti ana PhD original, jinyonge.
 
Mbumbumbu VS Minyani? Yule coach ALIWAPATIA
Mtu mweusi kushangilia neno hilo ni ujuha ws hali ya juu. Hili ni tudi la kibaguzi kwa WATU WEUSI, kwa sababu ya umbumbumbu wako unadhani wametukanwa wanayanga tu. Hivyo kabisa
 
"Mashabiki ya Yanga ni Uneducated hayajui chochote kuhusu Mpira, Yanapiga makelele tu kama Manyani na Kubweka kama Mambwa".
The most uneducated ni mambumbumbu yamikiani hayajui watu weupe huwaitanani kuwa nyani. Very uneducated
 
Mtu mweusi kushangilia neno hilo ni ujuha ws hali ya juu. Hili ni tudi la kibaguzi kwa WATU WEUSI, kwa sababu ya umbumbumbu wako unadhani wametukanwa wanayanga tu. Hivyo kabisa
Sio tu minyani pia aliwaita mi mbwa. Kaz yenu kubwekabweka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…