Da Gladiator
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 1,641
- 2,646
Ha ha ha ha hA, wewe anaekuzidi tambi hapa JF ni Kidukulilo tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wachezaji ni average players kama walivyo wa Simba, ndio maana hatujapoteza game na timu zinazotukaziaga tushazipiga karibia zote. Shida ni tunataka tuone timu inacheza mpira wa kufundishwa ulio na pattern, malengo yetu siyo kumfunga simba, tunataka time ya kushiriki na kufanya vizuri kwenye michuano ya vilabu Afrika.Wachezaji ‘Mizigo’ ile, lawama anaangushiwa Mwalimu..!
Uongozi ulikosea sana kuwaaminisha mashabiki kuwa wamesajili ‘Top players’ wakati ni wachezaji wa kawaida mno
Umeongea football na hivi ndivyo sisi mashabiki tunapaswa kuongea.ila wengi wanaletaga unazi tu.Simba fanWachezaji ni average players kama walivyo wa Simba, ndio maana hatujapoteza game na timu zinazotukaziaga tushazipiga karibia zote. Shida ni tunataka tuone timu inacheza mpira wa kufundishwa ulio na pattern, malengo yetu siyo kumfunga simba, tunataka time ya kushiriki na kufanya vizuri kwenye michuano ya vilabu Afrika.
Uchebe: Simba ili ifanikiwe inahitaji iachane na un educated and liars, lage : Mashabiki wa simba ni mbumbumbu,
Kibadeni akiwa kocha wa mtibwa: Kuna klabu kubwa(simba)inanunua mechi baada ya ulimboka mwakingwe kumpelekea fedha shahani kado kipa wa mtibwa ili Simba ishinde.
Aliye wani kuwa kocha wasimba mzambia Patrick fili : tulihonga mechi ili kuchukua ubingwa bila kufungwa.
Iddi pazi (father) akiwa kipa wa prisner:ilibidi nikubali kufungisha ili Simba isishuke daraja.
Ramadhani kabwili: Simba walitaka nifanye makosa nipewe kadi ya njano dhidi ya JKT Tanzania ili nisicheze mechi dhidi yao.
Simba kwa kushilikiana na Fat :alishawahi kuibadilisha kadinyekundu aliyopewa husen Marsha isomeke kapewa Bakari iddi licha ya Bakari kulalamikia aliambiwa atulie si a napata posho.
Acha upopoma wewe mikia fc.1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo
2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo
3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma Mwambusi hana mbinu za Kumsaidia
4. Zlatko hamtaki Kiungo Haruna Niyonzima akisema haendani na Kasi yake ila Uongozi unamlazimisha aendelee Kumpanga
5. Zlatko mara kwa mara amekuwa akiisifia Klabu ya Simba na kuutaka Uongozi uige Jinsi Simba SC inavyowajali Wachezaji wake
6. Zlatko amekataa Yanga SC kucheza Mechi za Kirafiki katikati ya Wiki huku Ligi ikiendelea kwa Kudai huo ni Ushamba wa Karne
7. Zlatko bila Uwoga kawaambia Viongozi kuwa atakachoweza kufanya akicheza na Simba Oktoba 18 ni Kupunguza tu Magoli ila Watafungwa
Kuna wale Watu wenye sijui 'Viblogu' na 'Vitovuti' vyenu mpaka na baadhi ya Vyombo vya Habari huwa mna tabia ya 'Kukopi' haya 'Mabandiko' yangu hapa na 'Kuyaweka' huko mkijifanya ni yenu na mmeyatafuta nyie. Chonde chonde leo 'mkiikopi' hii tafadhali tajeni 'Source' wenu kuwa ni GENTAMYCINE na Mtandao huu huu wa JamiiForums.
hivi hawa Vyura FC wapo position gani kwenye msimamo wa ligi?1. Zlatko amewakataa baadhi ya Wachezaji ambao Yanga SC imewaleta kwa Mbwembwe nchini na kudai hawana Uwezo
2. Zlatko amekataa Klabu ya Yanga Kuendekeza sana Ushirikina katika Mechi zake na kusema kuwa hakuzoea Upumbavu huo
3. Zlatko ameomba atafute Kocha Msaidizi kwakuwa ameona Kocha Juma Mwambusi hana mbinu za Kumsaidia
4. Zlatko hamtaki Kiungo Haruna Niyonzima akisema haendani na Kasi yake ila Uongozi unamlazimisha aendelee Kumpanga
5. Zlatko mara kwa mara amekuwa akiisifia Klabu ya Simba na kuutaka Uongozi uige Jinsi Simba SC inavyowajali Wachezaji wake
6. Zlatko amekataa Yanga SC kucheza Mechi za Kirafiki katikati ya Wiki huku Ligi ikiendelea kwa Kudai huo ni Ushamba wa Karne
7. Zlatko bila Uwoga kawaambia Viongozi kuwa atakachoweza kufanya akicheza na Simba Oktoba 18 ni Kupunguza tu Magoli ila Watafungwa
Kuna wale Watu wenye sijui 'Viblogu' na 'Vitovuti' vyenu mpaka na baadhi ya Vyombo vya Habari huwa mna tabia ya 'Kukopi' haya 'Mabandiko' yangu hapa na 'Kuyaweka' huko mkijifanya ni yenu na mmeyatafuta nyie. Chonde chonde leo 'mkiikopi' hii tafadhali tajeni 'Source' wenu kuwa ni GENTAMYCINE na Mtandao huu huu wa JamiiForums.
Unafikiri pattern inapatikana ndani ya mwezi? Kwanza sio kaliba ya Yanga kucheza soka la chini lenye pasi nyingi..!Wachezaji ni average players kama walivyo wa Simba, ndio maana hatujapoteza game na timu zinazotukaziaga tushazipiga karibia zote. Shida ni tunataka tuone timu inacheza mpira wa kufundishwa ulio na pattern, malengo yetu siyo kumfunga simba, tunataka time ya kushiriki na kufanya vizuri kwenye michuano ya vilabu Afrika.
Na badoHii ni club kubwa, tunataka kuanza kufunga 6 na kuendelea, timu haichezi kwa pattern nzuri, umaliziaji ni tatizo sana.
Wakat anachukyliwa haya hayakujulkna? Hapo ndipo UNYANI ulipoRekodi ya kocha inajieleza, mule hakuna kocha. Tunahitaji kocha mwenye mbinu nzuri za ushindi
Mbumbumbu VS Minyani? Yule coach ALIWAPATIARage alimaliza kazi. Mbumbumbu fc
Nonsense.Uchebe: Simba ili ifanikiwe inahitaji iachane na un educated and liars, lage : Mashabiki wa simba ni mbumbumbu,
Kibadeni akiwa kocha wa mtibwa: Kuna klabu kubwa(simba)inanunua mechi baada ya ulimboka mwakingwe kumpelekea fedha shahani kado kipa wa mtibwa ili Simba ishinde.
Aliye wani kuwa kocha wasimba mzambia Patrick fili : tulihonga mechi ili kuchukua ubingwa bila kufungwa.
Iddi pazi (father) akiwa kipa wa prisner:ilibidi nikubali kufungisha ili Simba isishuke daraja.
Ramadhani kabwili: Simba walitaka nifanye makosa nipewe kadi ya njano dhidi ya JKT Tanzania ili nisicheze mechi dhidi yao.
Simba kwa kushilikiana na Fat :alishawahi kuibadilisha kadinyekundu aliyopewa husen Marsha isomeke kapewa Bakari iddi licha ya Bakari kulalamikia aliambiwa atulie si a napata posho.
Nyani daima hawezi kuwa na AKILIUchebe: Simba ili ifanikiwe inahitaji iachane na un educated and liars, lage : Mashabiki wa simba ni mbumbumbu,
Kibadeni akiwa kocha wa mtibwa: Kuna klabu kubwa(simba)inanunua mechi baada ya ulimboka mwakingwe kumpelekea fedha shahani kado kipa wa mtibwa ili Simba ishinde.
Aliye wani kuwa kocha wasimba mzambia Patrick fili : tulihonga mechi ili kuchukua ubingwa bila kufungwa.
Iddi pazi (father) akiwa kipa wa prisner:ilibidi nikubali kufungisha ili Simba isishuke daraja.
Ramadhani kabwili: Simba walitaka nifanye makosa nipewe kadi ya njano dhidi ya JKT Tanzania ili nisicheze mechi dhidi yao.
Simba kwa kushilikiana na Fat :alishawahi kuibadilisha kadinyekundu aliyopewa husen Marsha isomeke kapewa Bakari iddi licha ya Bakari kulalamikia aliambiwa atulie si a napata posho.
Kila mwaka ndio zenu. Toka zama za Zahra. Always Minyani ni minyan tuWachezaji ni average players kama walivyo wa Simba, ndio maana hatujapoteza game na timu zinazotukaziaga tushazipiga karibia zote. Shida ni tunataka tuone timu inacheza mpira wa kufundishwa ulio na pattern, malengo yetu siyo kumfunga simba, tunataka time ya kushiriki na kufanya vizuri kwenye michuano ya vilabu Afrika.
"Mashabiki ya Yanga ni Uneducated hayajui chochote kuhusu Mpira, Yanapiga makelele tu kama Manyani na Kubweka kama Mambwa".Acha upopoma wewe mikia fc.
Sawa kabisa msomi, lakini elewa kuwa Mwenyekiti ana PhD original, jinyonge."Mashabiki ya Yanga ni Uneducated hayajui chochote kuhusu Mpira, Yanapiga makelele tu kama Manyani na Kubweka kama Mambwa".
Mtu mweusi kushangilia neno hilo ni ujuha ws hali ya juu. Hili ni tudi la kibaguzi kwa WATU WEUSI, kwa sababu ya umbumbumbu wako unadhani wametukanwa wanayanga tu. Hivyo kabisaMbumbumbu VS Minyani? Yule coach ALIWAPATIA
The most uneducated ni mambumbumbu yamikiani hayajui watu weupe huwaitanani kuwa nyani. Very uneducated"Mashabiki ya Yanga ni Uneducated hayajui chochote kuhusu Mpira, Yanapiga makelele tu kama Manyani na Kubweka kama Mambwa".
Sio tu minyani pia aliwaita mi mbwa. Kaz yenu kubwekabweka tuMtu mweusi kushangilia neno hilo ni ujuha ws hali ya juu. Hili ni tudi la kibaguzi kwa WATU WEUSI, kwa sababu ya umbumbumbu wako unadhani wametukanwa wanayanga tu. Hivyo kabisa