Sababu za Papa Fransis Kubariki Ndoa za Jinsia Moja

Sababu za Papa Fransis Kubariki Ndoa za Jinsia Moja

Mr Why

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2019
Posts
2,235
Reaction score
4,252
Kanisa la Roma halina agenda yeyote ya ushoga ni maslahi ndiyo yanawatesa

Wanajiuliza je kama hawa mashoga wana hela kwanini tusifanye namna tukazipata

Nisawa na kusema mzinga ule wa nyuki una asali nyingi sana lakini una nyuki

Afadhali tuumwe nyuki lakini tupate ile asali

Kuumwa na nyuki kwao ni kashfa watakazopata kutoka ulimwenguni lakini tayari asali wameshaipata kwahiyo kwao haitawasumbua sana

Kwahiyo kanisa la Roma halibariki ushoga bali linajitahidi kuunganisha waumini wote kuwa kitu kimoja ili wanufaike kwa namna mbalimbali
 
Acha kupotosha, Papa hajabariki ndoa za jinsia moja, ameruhusu kubariki wanaojihusisha sio kubariki mahusiano hayo, kama jinsi majambazi,wezi, mafisadi wanavyokaribishwa kanisani ili waokoke, ndivyo nao wanakaribishwa kanisani.
 
FB_IMG_17029255355708573.jpg
 
Vipi ujambazi nao utetewe? Wizi? Uuwaji? Kwa hiyo nao watengwe na kanisa?
Muuaji au jambazi akienda kanisani anaenda kutubia na sio kupewa baraka aendelee na ujambazi wake. Ila mashoga mnayapa baraka yaendelee na ushoga na mpaka kufikia hatua ya kuwaozesha mashoga kanisani. Hii inaonesha ni jinsi gani ushoga ulivyowatawala. Acheni double standards
 
Amna kitu hapa istoshe kusema papa kazingua kwa namna mojaa tu na wala sio nyingine..

Mimi nasema goodbye my church, imani imenisaliti.

Kwanza kuwazunguamzia tu mashoga na ushoga afu church la kitambo Kama lile ni jau sana

F@ck papa..
 
Hivi mwanaume ukiingiziwa mkuyange kila siku si lazima utakuwa unavuja kinyesi kama mtoto mchanga,mbona kama binadamu tunarudi kuwa masokwe,nimesikitika sana kusikia mpaka yule CEO wa kampuni ya openAI na yeye eti anaingiziwa mkuyange
 
Kanisa la Roma halina agenda yeyote ya ushoga ni maslahi ndiyo yanawatesa

Wanajiuliza je kama hawa mashoga wana hela kwanini tusifanye namna tukazipata

Nisawa na kusema mzinga ule wa nyuki una asali nyingi sana lakini una nyuki

Afadhali tuumwe nyuki lakini tupate ile asali

Kuumwa na nyuki kwao ni kashfa watakazopata kutoka ulimwenguni lakini tayari asali wameshaipata kwahiyo kwao haitawasumbua sana

Kwahiyo kanisa la Roma halibariki ushoga bali linajitahidi kuunganisha waumini wote kuwa kitu kimoja ili wanufaike kwa namna mbalimbali
Pesa wanazo tayari Acha kuwatetea. Wanajua wanacho fanya ni agenda tu kumuandalia yule jamaa mazingira mzuri ya yeye kukubalika na wanadunia
 
Back
Top Bottom