Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli. Kanisa Katoliki lina utajiri mkubwa sana kama Taasisi kuliko taasisi yeyote unayoifahamu duniani.Kanisa la Roma halina agenda yeyote ya ushoga ni maslahi ndiyo yanawatesa
Wanajiuliza je kama hawa mashoga wana hela kwanini tusifanye namna tukazipata
Nisawa na kusema mzinga ule wa nyuki una asali nyingi sana lakini una nyuki
Afadhali tuumwe nyuki lakini tupate ile asali
Kuumwa na nyuki kwao ni kashfa watakazopata kutoka ulimwenguni lakini tayari asali wameshaipata kwahiyo kwao haitawasumbua sana
Kwahiyo kanisa la Roma halibariki ushoga bali linajitahidi kuunganisha waumini wote kuwa kitu kimoja ili wanufaike kwa namna mbalimbali
Mkuu hivi unajua ulichokiandika?Kanisa la Roma halina agenda yeyote ya ushoga ni maslahi ndiyo yanawatesa
Wanajiuliza je kama hawa mashoga wana hela kwanini tusifanye namna tukazipata
Nisawa na kusema mzinga ule wa nyuki una asali nyingi sana lakini una nyuki
Afadhali tuumwe nyuki lakini tupate ile asali
Kuumwa na nyuki kwao ni kashfa watakazopata kutoka ulimwenguni lakini tayari asali wameshaipata kwahiyo kwao haitawasumbua sana
Kwahiyo kanisa la Roma halibariki ushoga bali linajitahidi kuunganisha waumini wote kuwa kitu kimoja ili wanufaike kwa namna mbalimbali
Mleta anajitahidi kupulizia pafyum gari LA takaNaomba ufafanuzi aliyemwelewa hapa ndugu mleta uzi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hao wamelaaniwa wapi? Yesu alikuja kwa ajili ya nani? Nafikiri Hoja ieleweke.Unambariki shoga kisha unamlani mwizi au mla riba!!
Ushoga una u special gani kwani?
Shenzi sana aina ya watu wa mleta uzi safari hii tutawajua tuMleta anajitahidi kupulizia pafyum gari LA taka
Hao wamelaaniwa wapi? Yesu alikuja kwa ajili ya nani? Nafikiri Hoja ieleweke.
Uko sahih nimemsikia Happ baba Methodius kilaine akilifafanua Jambo Hilo kupitia dw ulichosema ni kile kile Cha baab MethodiusAcha kupotosha, Papa hajabariki ndoa za jinsia moja, ameruhusu kubariki wanaojihusisha sio kubariki mahusiano hayo, kama jinsi majambazi,wezi, mafisadi wanavyokaribishwa kanisani ili waokoke, ndivyo nao wanakaribishwa kanisani.
Yeye anaangalia maslahi hana muda na ufirauni wenu kikubwa apate sadaka
siyo kanisa tu. Hakuna mahali mtu anaenda kutoa sadaka, zaka, zawadi, msaada nk anaanza kuulizwa fedha hizi umezipata wapi au umezipataje. Wapokeaji hawana hatiaKwahiyo kanisa linaendeshwa kwa fedha haramu. Okay nimeelewa
Sababu kubwa sii hiyo peke yake fikiri pia kuwa kuna dayosisi ya jimbo katoliki huko USA iliwahi filisika kwa kulipa fidia familia za watoto waliolawitiwa na mapadre.Kanisa la Roma halina agenda yeyote ya ushoga ni maslahi ndiyo yanawatesa
Wanajiuliza je kama hawa mashoga wana hela kwanini tusifanye namna tukazipata
Nisawa na kusema mzinga ule wa nyuki una asali nyingi sana lakini una nyuki
Afadhali tuumwe nyuki lakini tupate ile asali
Kuumwa na nyuki kwao ni kashfa watakazopata kutoka ulimwenguni lakini tayari asali wameshaipata kwahiyo kwao haitawasumbua sana
Kwahiyo kanisa la Roma halibariki ushoga bali linajitahidi kuunganisha waumini wote kuwa kitu kimoja ili wanufaike kwa namna mbalimbali
Utasemaje hawana hatia na tayari washawatambua na wanawakaribisha na kuwapa support.siyo kanisa tu. Hakuna mahali mtu anaenda kutoa sadaka, zaka, zawadi, msaada nk anaanza kuulizwa fedha hizi umezipata wapi au umezipataje. Wapokeaji hawana hatia
Asante sana mkuu kwa reference nzuriSababu kubwa sii hiyo peke yake fikiri pia kuwa kuna dayosisi ya jimbo katoliki huko USA iliwahi filisika kwa kulipa fidia familia za watoto waliolawitiwa na mapadre.
Maana yake ni kwamba muunganiko wa mashoga na wengi wa mapadre ni obvious.
Sasa kama dume amepumuliwa na kasisi aliyejificha kwenye kichaka cha utumishi wa kanisa, kasisi huyo anapata wapi ujasiri wa kukataa kubariki wahanga wa ushoga uliosababishwa na wao?
Jumuia hizi za kitheologia zimeficha wasomi wengi walio wanachama wa freemason na kwa msingi huo ni wanakamati katika vikao vikuu vya maamuzi ndani ya dini hizi kubwa zinye ushawishi katika serikali nyingi duniani.
Haiingii akilini hata kwa zile akili za kawaida kubariki jambo ambalo unaamini linapaswa kutubiwa. Dhamira haiwezi kushtaki nafsi iliyoungwa mkono wa shirika na wakuu kwa baraka zote.
![]()
Makasisi 700 wa Kanisa Katoliki Marekani watuhumiwa kulawiti watoto
Mwanasheria Mkuu wa jimbo la Illinois nchini Marekani amewatuhumu makasisi 700 wa Kanisa Katoliki katika jimbo hilo kwamba wamewalawiti watoto, ikiwa ni id...www.google.com
---https://www.google.com/url?q=https://www.dw.com/sw/watoto-330000...EQFnoECAEQAg&usg=AOvVaw1o4pwhxLDWM1RBlnDZMn-Y
-----https://www.google.com/url?q=https://parstoday.ir/sw/news/world-...EQFnoECAcQAg&usg=AOvVaw1da1PUW6ZH0bKNsAeyylF-
---https://www.google.com/url?q=https://www.dw.com/sw/viongozi-wa-k...EQFnoECAQQAg&usg=AOvVaw2whb0Pa4Qrqqyvj5mByvUq
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuutetea ushoga ni kazi ngumu sana😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
hio ndio ile inaitwa tabuleleeee
unajalibu kujieleza lakini wapi🤣🤣🤣🤣