Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Cloning is real! Illuminati agenda ili waiweke dunia kwenye himaya yao kama wanavyotaka.
Nilishawahi kusoma tovuti fulani nyeti sana kupitia dark-web kwamba watu wengi tunaowaona mashuhuri leo hii kwamba sio wale halisia. Nilichoka! Na kuna ushahidi lukuki wa ku-prove kwamba sio wao bali wanawateka kwa kutumia akili kubwa sana na kuwahoji kwa muda mrefu sana! Kuwapa onyo na wengineo huwa wanawaulia mbali wakiona hili ni jipu!...tunaowaona leo hii na kushangazwa na matendo na michango yao katika jamii sio wao halisia bali ni "Cloning"... jiulize mtu alikuwa anapinga katakata kitu fulani, mara ghafla abadilike na kuwa kinara kutetea. Watu wachache waliofanyiwa Cloning ni Huyo Pope Francis, Joe biden, Barack Obama, huyo Pope Francis, Mandela, Angel Markel, Bill Gates, Eminem na wengine tele!
Kuna usiri mkubwa hata kwenye kifo cha 2pac... inasemekana alikimbia hayo madudu
Wajinga watatiririka kubisha