Sababu za Sabaya kukifunga kiwanda cha Daren Fabrics Industries Ltd

Hao vibaka kiongozi wao alikuwa Jiwe.Bila shaka mambo yaliyofanyika yalikuwa na baraka zote za Jiwe.Manake yalifanyika waziwazi!
Sasa ulitegemea zile Pesa anazogawa barabaran kila anakopita alikuwa anazitoa wapi?
 
Hivi ni kwamba serekali ilikuwa haiyoni hayo yote, mpaka kiwanda kinafungwa TRA, TBS, BRELA, Wizara ya viwanda wako wapi?

Kwa haraka haraka Sabaya alikuwa juu ya waziri mkuu he was untouchable
Tukisema Magufuli alikuwa takataka MATAGA wanasema tunamharibia legacy. Alimtoa wapi Sabaya?, Je mfumo wa vetting ulitumika katika kumpata? Na je haya maovu alikuwa hasikii malalamiko toka kwenye vyanzo vyake kama TISS? au alikuwa anamtuma admdhoofishe Mbowe? Hili ninaliaminikwa kuwa Magufuli ndiye aliyeanza uharibifu kwa kubomoa Bilicabnas Club ambayo ilikuwa na mgogoro kati ya Mbowe na NHC.

Lakini mwacheni Mungu aitwe Mungu kwa kuwa UKUU wake umedhihiri kwa huyu DIKTETA kufa kwa COVID 19 licha ya ulinzi aliojiwekea na madaktari waliokuwa wanamuangalia 24/7
 
Hivi ni kwamba serekali ilikuwa haiyoni hayo yote, mpaka kiwanda kinafungwa TRA, TBS, BRELA, Wizara ya viwanda wako wapi?

Kwa haraka haraka Sabaya alikuwa juu ya waziri mkuu he was untouchable
Nadhani ndio maana Mungu akaamua kumpenda mtu fulani, otherwise tungekua na Sabaya kama DC until now
 
Kama tungekuwa na katiba mpya inayozingatia uajibikaji,uhuru wa vyombo vya ulinzi kama vile polisi mahakama huru nk.mlalamikaji angeweza kutoa taarifa kwa ocd na hatua zikachuliwa bila Rais kutoa kibali.Na hii ingewafanya viongozi kuijali Jamhuri na kujali haki za watu waliowachagua kupitia Rais wao.Tanzania tuna bahati moja ambayo mataifa mengine hawana;Umoja na lugha moja.Ila vyombo vyetu vya kuendesha nchi vinapigiwa kelele kuwa haviko huru.Wanataka Igp asiteuliwe bali ajiriwe,pia tume ya uchaguzi iwe huru, Cag ajiriwe.Endapo vyombo hivi vitakuwa huru,wanaamini hakuna mtu atakayekuwa juu ya sheria na uonezi utakoma spontaneously
 
Hii makala inatoka kwa Speshoz mwenyewe?

Sabaya ni mpuuzi ila naona kama wachagga na CDM na ninyi mnapitishia humo humo mambo yenu.

Nandy yupo, Speshoz yupo wanashindwa nini kuongeza mpaka ninyi ndio muonekane mnajua sana.
Mzee usumbue basi ubongo wako japo kidogo,eneo la kiutawala la aliekuwa DC ni uchagani alafu unahoji wachaga kulalamika juu yake, ulitaka walalamike wangoni?
 

Kuna watu akili zao hazipo sawa. Ubabe wa aina hii unalindwaje kwa mfano??
 
Kosa lilifanyika kwenye uteuzi, mtu amefohi hadi ID ya Idara ya Usalama wa Taifa then anapewa uDC? Haya yote aliyoyafanya hayanishangazi maana akili zake nilishazijua kitambo... Sikutegemea weledi wowote kutoka kwake!
Taratibu nyingi zilikiukwa,na ilikuwa ni utashi wa mtu binafsi kufanya atakavyo!:
1.Ushauri,ulipokelewa kwa kutumbuliwa au kutishiwa.
2.Maoni binafsi yenye nia njema,wengi yalifanya kupotezwa,au kudhalilishwa.
3.Upole na busara,ilitafsiriwa kwamba ni udhaifu!
4.Ukatili,kusifia na kujipendekeza,ilitafsiriwa kuwa ndio utendaji hodari.
 
Watu wengi tunamlaumu Sabaya kwamba ni mkora, mtu mbaya sana, jambazi, mbabe na majina mengi mengi yenye kuendana na hayo...

Lakini tumesahau mfumo uliomkuza Sabaya ni mfumo wa chama cha kijani, ambao kwa kiasi kikubwa tabia za Sabaya ndio tabia kuu za chama hicho...

Ndio maana muda wote huo chama cha kijani wala hakijawahi kumwajibisha Sabaya, kwa sababu wangethubutu tu ni kama wangelazimika kuwawajibisha makamanda wao karibu wote...
 
Kwa Kweli mwenda zake alikuwa dictator na mnang'anyi
 
Halafu kuna wagema ulimbo wanampigia debe aachiwe
Nalogoff
 
Hivi ni kwamba serekali ilikuwa haiyoni hayo yote, mpaka kiwanda kinafungwa TRA, TBS, BRELA, Wizara ya viwanda wako wapi?

Kwa haraka haraka Sabaya alikuwa juu ya waziri mkuu he was untouchable
alisema ni mkuu wa wilaya pekee anaempigia mkuu simu anapokea hata saa nane usiku
 
Ukifuatilia vizuri hizi taarifa, ukaongeza na zako

Sabaya hana kosa lelote,

Only time will tell.
 
Halafu wanatokea vilaza mapunguani kumtetea huyo kenge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…