Sababu za Sabaya kukifunga kiwanda cha Daren Fabrics Industries Ltd

Kama aliyafanya haya yote huku mamlaka zipo na zinaona na wasichukue hatua yoyote basi ina maana katiba hii tuliyo nayo ni msalaba mzito sana kwetu.
 
Sijui kwa nn sabaya alikua na roho ya kichawi kiasi hicho
 
KIFO CHA MAGUFULI KIMELETA UKOMBOZI WA NCHI YETU.

UNAAMBIWA SABAYA ALIKUWA ANAONGEA MOJA KWA MOJA NA MAGOFOOL KUHUSU HUU UOVU WAKE NA MAGOFOOL ANAMPA KICHWA.
 
Mmoja wa mabaunsa wake akiitwa Malyamungu akisifika kwa utesaji wa kiwango cha kutisha.Ukisikia tumpeleke GOLGOTA nyumba maalumu kwaajili ya mateso basi ujue moja ya viungo vyako uenda vikanyofolewa. eg masikio,vidole au kupigwa misumari kwenye ugoko.

GOLGOTA inafahamika rasmi kama nyumba ya mateso,lakini mambo yaliachwa yaendelee ungefikiri hakuna jambo baya.
 
Hizo transactions za TRA za mteja sabaya alizipataje? na hao mabaunsa ina maana wana ofisi hapo wilayani? mambo ya hovyo sana regime ya mwendazake
 
Uzoefu wa kazi nao unachangia kwa kiasi kikubwa katika seke seke la Sabaya na Jamhuri, Sabaya kupewa madarakamakubwa vile katika umri wa ambao kwa baadhi ya raia wengine bado hawana familia.

Hivyo kufanya maamuzi ili kuridhisha hadhira wakati watu wanaugulia ndani ndani.Tunataka katika mpya itamke wazi umri wa viongozi kuanzia ngazi ya Kijiji/Kitongoji/Kata/Wilaya na Mkoa na Taifa kuwa umri usipungue chini ya miaka 41.

Vinginevyo viongozi wasiokomaa wataendelea kudumaza uhuru wa raia na mali zao kwa kutumia mgongo wa Serikali.
 
wafuasi wa ponsio pilato wanamwita sabaya mzalendo 😁😁😁
 
Huyu sabaya atakuwa anavuta bangi. Hizi siyo akili za kawaida jamani. Lol
 
Sabaya hakuwahi kukifungia kiwanda cha Daren fabrics kama inavyopotoshwa na Malisa Godlisten, hapa chini naambatanisha video yenye ushahidi wa kilichotokea siku ya tukio, ambapo ndugu Speshoz mmiliki wa kiwanda hicho alikubali kosa la kutofuata utaratibu halali wa serikali na kukiri kuufuata upya utaratibu huo.

Rai Yangu, Sabaya akiwa Clouds Tv alikiri uwepo wa Project ya kumchafua inayofadhiliwa na Wahalifu aliowadhibiti kule Hai, Miongoni mwa Vijana wanaolipwa kufanya propaganda ni Malisa, Kumbusho Dawson na Twaha Mwaipaya. Acheni huu mchezo nyie vijana wadogo sana.
Your browser is not able to display this video.
 
Saa hizi kijana mkubwa kawa msosi wa prison fc
 
Hatuko tayari kuona wazalendo wa nchi yetu wakinyanyaswa na wauza madawa ya kulevya.

Tunaanza kampeni rasmi ya kumchangia na kumuwekea wakili Sabaya kwenye kesi yake. Kama msaliti wa nchi mzee wa MIGA aliweza kuchangiwa ,sisi kama watanzania wazalendo hatuwezi kushindwa kumchangia Sabaya ambaye kwa uzalendo wake aliitoa wilaya ya Hai kutoka ya 63 kwenye ulipaji kodi hadi ikawa ya 4 kitaifa. Hatuwezi kuhukumu watu kwa kusikiliza upande mmoja wa wanafiki chadema ambao hawana jema kwa nchi yetu.

Chadema kila kitu wanapinga na kuponda, walipinga ndege, bwawa la umeme, elimu bure, ujenzi wa viwanda kila kitu wao ni kupinga tu, Ndege zilipokamatwa walishangilia.
Ndiyo tuwasikilize? Hapana.

#Justice for SABAYA
#Free SABAYA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…