Sababu za wanafunzi wa kizazi hiki kufeli masomo ni hizi hapa

Sababu za wanafunzi wa kizazi hiki kufeli masomo ni hizi hapa

Nijazie tu kuna issue ya nyongeza za mishahara
Hili tatizo la mishahara limekuwa kero kubwa sana kwa walimu. Kuna siku Hawa Ghasia alisema eti walimu wanalipwa mishahra kidogo kwa kuwa ni wengi-----kwamba wakilipwa vizuri watamaliza fedha za serikali.
 
Nini kifanyike! Hapo ndio mchezi mzima. Wenye maamuzi ni wanasiasa! Na umesema kuchanganya siasa na elimu! Hapo mpaka tupate viongozi wenye utashi wa kufanya mabadiliko bila mihemko ya kisiasa
Mkuu umeongea ukweli tupu. Hebu fikiria hali kama hii ya kubadili mitaala kabla walimu hawajaandaliwa. Hili ni tatizo kubwa sana.
 
Please mkuu Moderator nakuomba uunganishe uzi huu uliopo hapa chini 👇 👇 👇 👇 na huu uzi uliopo hewani👆👆👆👆
 
Back
Top Bottom