Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hapana labda nirudishwe nyuma mpaka mwaka 1990's nikajaribu huko vinginevyo siwezi.Jaribu one faida yake mkuu; acha uwoga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana labda nirudishwe nyuma mpaka mwaka 1990's nikajaribu huko vinginevyo siwezi.Jaribu one faida yake mkuu; acha uwoga.
Hujawahi ona upepo mkuu au haupo serious kila mtu humu ndani anakuona upepo uliza wife hapo homeUpepo unauona kwa macho? Una rangi gani mkuu?
Mkuu wewe hujawahi ona upepo muulize mkuu yeyote humu mbona tunauona kila siku 😂Sawa mkuu macho yako yanatisha; kama una macho ya kuona upepo, basi hata majini na mapepo unaweza kuyaona kwa macho.
Mkuu umenigusa mahali fulani spiritually.Kila kitu kina faida na hasara zake.
Navyoamini Mwanadamu kaumbwa na firewall yake..(anti-virus) sasa inategemea ww firewall yako inanguvu kias gani..
Hayo mapepo pia yanaangalia pa kuingia.. sio yanakurupuka tu.
Ni kwel sex inaweza affect maisha yako, ishu ni kwamba ni Positive or Negative way..
Mara nyingi inakuw Negative but, ikiwa imeleta kitu Positive huwez tambua.. utasema ni Maombi etc ila ikiwa Negative unarudisha akili kuwa ni sex ndio imeleta mkosi.
Tuna safari ndefu ya kung'amua kipi ni kipi.
Mkuu umemaliza kila kitu, siongezi neno.Hakuna kinachotokea Duniani kwa bahati tu kuna nguvu ilitumika kuiumba au kuivuta hali tunayoiona leo. Kila kitu kina sababu na matokeo na haya tunayoyaona ni matokeo.
Mtu ndiye anayetoa nishati inayovuta matokeo kwake au kwa wengine. Pepo au mapepo ni roho ambazo hufanya kazi katika mawanda ya kiroho ingawa matokeo "manifestation" ni katika ulimwengu wa kifizikali.
Pepo ni nishati " negative energy" na nishati hiyo haimuingii mtu kama mtu huyo hajaivuta. Ni sisi wenyewe ndiyo tunaovuta mapepo ndani yetu na siyo mapepo yanatuvuta. Tunaweza kufunga au kufungua mipango ya nishati na kuchagua nishati chanya au hasi.
Unaweza ukastuka lakini ndivyo ilivyo "mambo huwa ni yaleyale ila yanaweza kujitokeza katika udhihirisho tofauti na utofauti huo ndiyo unaotuchanganya wanadamu na kuona kuwa kuna utofauti. Umalaya na Kinyume chake ni kitu kilekile tu ila kinavyojitokeza ndiyo tunaona utofauti.
Kila kitu kina uwili unaokinzana ila ni kamilishani "everything is dual/ bipolarity" utofauti tunaouona ni muendelezo wa kitu kile kile "continuum of the same thing". Ubaya ni wema uliojitokeza katika mawanda hasi, Weusi ni weupe uliojitokeza katika mawanda hasi, Uchafu ni Usafi uliojitokeza katika mawanda hasi, Ujinga ni uelewa au maarifa yaliyojitokeza katika mawanda hasi.
Shetani pia ni uungu uliojitokeza katika mawanda hasi ndiyo maana anaitwa ni mungu wa Dunia hii. Kwa maana hiyo Kila kitu ni kilekile katika mawanda tofauti.
Tujiulize kwa kina swali hili hivi no yupi wa mwenye mamlaka zaidi kati ya mwenye nyumba na ufunguo wa kufunga na kufungua au yule anayeingia? Tunaweza tukajikuta tunakemea tu mapepo kumbe na sisi wenyewe tunapaswa kujikemea na kuamka.
Mh inamaana Christina kaishaachana na mwamposa kahamia Kwa diamond mh hapo siamini Hadi da mange asemeShusho ndio goma jipya la Mond wewe upo nchi gani mkuu? Hilo lipo wazi kwa kila mtu.
Fungua uzi tuelimike mkuuWalionifuata pm na wengine waliokuja live mpaka ofisini na pale waliponiona mtaani nikipita wengine waliniona migahawani walikuja mbio wakitaka niwasaidie wasaini direct kwa Lucifer ili awanyooshee njia zao..
Lakini nilipowajibu hawatoweza sijui waliwaza nini??
Ila kiukweli ni wachache sana wenye uwezo wa kutoboa kupitia njia za Lucifer..
Japo wengi huwa hawaamini kabisa..
Ila ngono imewafanya wengi wamepingana na maagizo ya Lucifer wakafa na wengine wakapata hasara zisizoelezeka maishani.
Acheni ngono enyi kizazi cha upumbavu..
Mtaishia kuwa ordinary people tu wenye vipesa kiduchu vya kuendeshea maisha yenu ambavyo navyo havitachukua round vitaisha..
Nimeyashuhudia haya kwa njia ngumu na sasa nimejifunza sana..
Mkitaka uzi nitafungua kwaajili ya ushuhuda tu na elimu zaidi..
Lete huo uzi mkuu; tunausubiri kwa hamu kubwaWalionifuata pm na wengine waliokuja live mpaka ofisini na pale waliponiona mtaani nikipita wengine waliniona migahawani walikuja mbio wakitaka niwasaidie wasaini direct kwa Lucifer ili awanyooshee njia zao..
Lakini nilipowajibu hawatoweza sijui waliwaza nini??
Ila kiukweli ni wachache sana wenye uwezo wa kutoboa kupitia njia za Lucifer..
Japo wengi huwa hawaamini kabisa..
Ila ngono imewafanya wengi wamepingana na maagizo ya Lucifer wakafa na wengine wakapata hasara zisizoelezeka maishani.
Acheni ngono enyi kizazi cha upumbavu..
Mtaishia kuwa ordinary people tu wenye vipesa kiduchu vya kuendeshea maisha yenu ambavyo navyo havitachukua round vitaisha..
Nimeyashuhudia haya kwa njia ngumu na sasa nimejifunza sana..
Mkitaka uzi nitafungua kwaajili ya ushuhuda tu na elimu zaidi..