Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Usiku mbali hivyo mkuu, anaweza toka kutupiwa siku hiyohiyo na akakuletea. Zama zimebadilika usipotaka kukubali uhalisia wa mambo utakufanya ukubaliane na hilo. Uaminifu ni mdogo mno.True, kwa sasa mambo ya kuzama na mbwembwe nyingi ni hatari kwa afya. Tumepangwa sana, unazama kumbe kuna mwamba katupia jana usiku.