Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanyama ni hayawani mkuu. Suala la mapepo haliwahusu. Kwanza mbwa hagawi papuchi kama starehe bali anagawa kwa ajili ya kuzalishwa tu. Sisi binadamu ndio shida tumegeuza papuchi kuwa chombo cha starehe wakati ni chombo cha uzazi.Wanyama nao wanapenda sana sex. Sio ajabu mbwa kugawa mbususu kwa vidume vingi
Je ni mapepo?
True, kwa sasa mambo ya kuzama na mbwembwe nyingi ni hatari kwa afya. Tumepangwa sana, unazama kumbe kuna mwamba katupia jana usiku.Labda nirogwe, kwa hali ilivyo kwa sasa mbwembwe nyingine za kunogesha tendo ni hatari sana kwa afya.
Kweli kabisa mkuu. Tunalamba sana shahawa za wanaume wengine na kupelekea kupokea mapepo mara mbili.True, kwa sasa mambo ya kuzama na mbwembwe nyingi ni hatari kwa afya. Tumepangwa sana, unazama kumbe kuna mwamba katupia jana usiku.
Hahaha.....eti labda urogweLabda nirogwe, kwa hali ilivyo kwa sasa mbwembwe nyingine za kunogesha tendo ni hatari sana kwa afya.
Unajitoa kwa kuwaona waombezi akina Mwamposa wakuombee mapepo yatoke mkuu.
Ikawaje baada ya hapo?Kuna kaukweli fulani, niliwahi sex na dada mmoja, asubuhi yake nikapata deal ya pesa a haraka sana. Nikaja kukutana nae tena nikapata deal tena chap ya pesa za haraka. NIkastuka mbona kama kuna kitu basi nikaweka ntego, siku niliposex nae tena sikumaliza masaa 48 nikapata deal ya pesa tena deal simpo pesa mlima. Ikaenda hivyo mpaka nikaona huyu nioe kabisa uchumi ameukali. Shida ndio ilipoanzia baada ya kutangaza nia binti akafunguka ukweli wake, akasema yeye huwa anajiuza kama nataka kumuoa yupo tayari kuacha ila amenijuza ili nisjije nikaskia kwa watu baada ya kumuoa kuwa nimeoa dada poa. Ilinikata sana ukizingatia nilikuwa nakula peku halafu sikuwahi mtilia shaka kabisa na mienendo yake ya maisha.
Umeandika vyema, ila ushauri wako ni kama nguvu za giza. Kwamba masuala ya Mungu weka kando. Pili ulitaka kutuhabarisha kwa hao jamaa wanashirikiNiliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na Kazi ya Mapepo Husika (Demons Are Categorized According To Task They Perfom)
Kuna Mapepo ya UHARIBIFU (Destructive Demons) Ambayo Kazi yake ni Kufanya Uharibifu Katika Msisha ya Mtu Ambaye Yatamuingia. Na kwa sababu tayari nilikuwa nimeshawahi sikiliza speech za watumishi kadhaa hilo nilikuwa nalifahamu.
Shida yangu kubwa ilikuwa kutaka kufahamu ni njia ipi ambayo mapepo hayo huweza kumuingia mtu (How They are Transmitted). Ndipo nilipofahamu kwamba, kwa kizazi tulichonacho njia kuu ambayo mapepo humuingia mtu ni kupitia NGONO (Sex) na ndio maana Nikayaita "Sexual Transmitted Demons" (Mapepo Yanayoambukizwa Kupitia Ngono). Ndio maana Hivi Sasa SEX inapatikana KIRAHISI MNO (Sex Has now Become the Cheapest Product). Ni rahisi kabisa mwanaume akamtongoza mwanamke leo na akamla kesho, tena wakati mwingine mwanaume anaweza kutumia gharama kubwa sana ili tu apate sex.
View attachment 2988841
Na sometimes mwanamke mwenyewe anajikuta tu ameshawishika kumpa jamaa na hii inaitwa "KUBLESIANA" (Yaani Kupeana Sex Kirafiki). Lakini pia ukifuatilia kiundani maisha ya vijana wengi sana yameharibika mara baada ya kukutana kimwili na watu fulani.
Wengi walianza kukutana na mikosi, misala, mabalaa na gundu,...wengine walipoteza mvuto, biashara zilikufa, walipata ajali, kushindwa kupiga hatua kimaisha....n.k. Na bahati mbaya sana ni kwamba, watu ambao wana haya mapepo wengi hawajui kama wanayo, ila wanatumikishwa nayo bila wao kujijua.
Haya mapepo yakimuingia mtu kazi yake kubwa ni KUFANYA UHARIBIFU, ndipo unakuta biashara inakufa, anapoteza morali ya kukimbiza ndoto na maono yake, na kila mahusiano atakayoanzisha hayadumu. Kwa mwanamke sometimes anaacha kabisa kutongozwa na kwa mwanaume akitongoza kila mwanamke anamkataa...inakua kama nyota imezima.
Wengine hupoteza vyeo, hupoteza fedha, hufukuzwa kazi na kila dili watakalogusa linabuma....yani maisha yameharibiwa.Unakuta mtu ni kijana mzuri kabisa, ana ndoto kubwa na ameshaanza kuifukuzia ghafla anapotea na kuacha kila kitu....anakuwa haeleweki tena.
Ukitrace back unagundua kuna mahali alichovya. Hivi sasa shetani amewekeza sana kwenye NGONO; mitego yake iko huko. Ndio maana ukiangalia movies zinachochezwa, nyimbo zinazoimbwa kwa sehemu kubwa sana zinahamasisha kudinyana...yoote ni kwa sababu kupitia kudinyana wengi wanaangushwa.
Na ngoja niuseme huu ukweli ambao wengi hawaujui. Sex can be a promotional way or downfalling staircase ....ngono inaweza ikawa njia ya kumuinua mtu au njia ya kumshusha. Najua wengi hawalijui hili, na wengine mtajiuliza "KIVIPI" na nitawapa mifano kadhaa hapa, msipoelewa basi.
Kuna level kila msanii wa kiume akifika atalazimika kuwa katika mahusiano na mwanamke mkubwa kiumri na mwenye USHAWISHI zaidi yake. Mfano, Kuna Level Diamond alifika akawa na Wema, baadae akawa na Zari. Harmonize kuna level alifika akawa na Wolper na baadae akawa na Kajala. Hiyo ni promotional techinique, yaani mbinu ya kumpaisha na kumuinua mtu ambayo inatenda kazi kwa jinsi ya rohoni mno!
Leo hii, Harmonize kuna mwanamke akisex nae tu jamaa anapoteza KILA KITU, akitoa ngoma inabuma na akiweka show watu hawatokei. Yoote yanatokana na "SEX". Amesex na nani, huyo mtu nyota yake ni DHAIFU au IMARA kiasi gani? Ndio maana unaweza kuta kila siku wanachukua watu wa levels zao hata kama sio wazuri.
Hata wanawake wengi wapo tayari wavue chupi kwa mtu ambaye ni mashuhuri katika eneo fulani wakiamini kuna kitu kitafanyika kwa jinsi ya rohoni. Ndio maana ukaibuka msemo unasema "Utajiri hauambukizwi kupitia ngono, wadada fanyeni kazi" Hiyo ilikuwa baada ya wadada wengi kuwabless watu mashuhuri.
Ila, ukweli usiopingika ni kwamba mtu ambaye ni wa kawaida, akisex na mtu mashuhuri kuna kitu kinaongezeka kwa huyo mtu wa kawaida. Lakini pia, mtu wa kawaida, akisex na mtu mashuhuri kuna kitu kinapungua kwa huyo mtu mashuhuri.
Kwa mfano, sasa hivi Diamond anaposex na Christina Shusho, kuna kitu anakitafuta ili kupaisha label yake ya bishara ya muziki na biashara zake nyingine.
Conclusively, naomba wanaume tuwe makini na aina ya wanawake tunaosex nao. Ufanyie kazi ushauri wangu mtakuja kunishukuru baadaye.
Nawasilisha.
Ooooh my God, sikujua mkuuShusho ndio goma jipya la Mond wewe upo nchi gani mkuu? Hilo lipo wazi kwa kila mtu.
Hujajibu swaliMapepo ni roho (spirits) huwezi kuyaona kwa macho ila utayaona kupitia mikosi na kuanguka kwako.
Bora tuachane kuliko kwenda uvinza, kwenye hilo acha niwe mshamba tu. Kuna jamaa nilimuona mdomo haufai kwa madonda umebabuka na inasemekana chanzo ni uvinza 😷Hahaha.....eti labda urogwe
Bila kwenda Uvinza unadhani utaendelea kuwa naye?
Ila Vijana mna mambo mengi sana bora sisi tumezeeka 🤗
MhhNiliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na Kazi ya Mapepo Husika (Demons Are Categorized According To Task They Perfom)