Sababu za wanawake kugawa tendo ovyo hizi hapa; wanaume chukua tahadhari

Mimi To yeye nielimishe wengine kuhusu pesa au?😂😂😂🤣🤣🤣🙌
Kuhusu kucheza Kwa kiasi hivyo vikoba pamoja na kuanza kuwekeza kupitia miradi midogomidogo hata kama ya kufuga Kuku wa Mayai/Nyama kupitia kipato wakipatacho mwisho wa Mwaka baada ya kuvunja Vikoba vyao

Shida ya wengi, kipato chote mkipata mnaishia kununua luxuries tu 🙌
 
Grahams akili tunatofautiana sana japo hivo vikoba mie huwa sichezi kabisa aisee
 
Hata tukiweka kando hivyo vitabu umevitaja, kulala na Kila mtu au mtu yeyote sio vizuri.

Kuna low of temperature " heat gain equals heat lost" inamaana kwenye nyota tukikutana na WA chini, yake itapanda Yako inashuka. Mkiwa wote wa chini, au wote wa juu haina madhara? Kwamba watu watafute wenye nyota Kali pekee?

Kwako tpaul
 
Kuna uo
Niliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons, And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na Kazi ya Mapepo Husika (Demons Are Categorized According To Task They Perfom)

Kuna Mapepo ya UHARIBIFU (Destructive Demons) Ambayo Kazi yake ni Kufanya Uharibifu Katika Msisha ya Mtu Ambaye Yatamuingia. Na kwa sababu tayari nilikuwa nimeshawahi sikiliza speech za watumishi kadhaa hilo nilikuwa nalijua kwa sehemu.

Shida yangu kubwa ilikuwa kutaka kufahamu ni njia ipi ambayo mapepo hayo huweza kumuingia mtu (How They are Transmitted). Ndipo nilipofahamu kwamba, kwa kizazi tulichonacho njia kuu ambayo mapepo humuingia mtu ni kupitia NGONO (Sex) na ndio maana Nikayaita "Sexual Transmitted Demons" (Mapepo Yanayoambukizwa Kupitia Ngono)

Ndio maana Hivi Sasa SEX inapatikana KIRAHISI MNO (Sex Has now Become the Cheapest Product). Ni rahisi kabisa mwanaume akamtongoza mwanamke leo na akamla kesho, tena wakati mwingine mwanaume anaweza kutumia gharama kubwa sana ili tu apate sex.

Na sometimes mwanamke mwenyewe anajikuta tu ameshawishika kumpa jamaa na hii inaitwa "KUBLESIANA" (Yaani Kupeana Sex Kirafiki). Lakini pia ukifuatilia kiundani maisha ya vijana wengi sana yameharibika mara baada ya kukutana kimwili na watu fulani.

Wengi walianza kukutana na mikosi, misala, mabalaa na gundu,...wengine walipoteza mvuto, biashara zilikufa, walipata ajali, kushindwa kupiga hatua kimaisha....n.k. Na bahati mbaya sana ni kwamba, watu ambao wana haya mapepo wengi hawajui kama wanayo, ila wanatumikishwa nayo bila wao kujijua.

Haya mapepo yakimuingia mtu kazi yake kubwa ni KUFANYA UHARIBIFU, ndipo unakuta biashara inakufa, anapoteza morali ya kukimbiza ndoto na maono yake, na kila mahusiano atakayoanzisha hayadumu. Kwa mwanamke sometimes anaacha kabisa kutongozwa na kwa mwanaume akitongoza kila mwanamke anamkataa...inakua kama nyota imezima.

Wengine hupoteza vyeo, hupoteza fedha, hufukuzwa kazi na kila dili watakalogusa linabuma....yani maisha yameharibiwa.Unakuta mtu ni kijana mzuri kabisa, ana ndoto kubwa na ameshaanza kuifukuzia ghafla anapotea na kuacha kila kitu....anakuwa haeleweki tena.

Ukitrace back unagundua kuna mahali alichovya. Hivi sasa shetani amewekeza sana kwenye NGONO; mitego yake iko huko. Ndio maana ukiangalia movies zinachochezwa, nyimbo zinazoimbwa kwa sehemu kubwa sana zinahamasisha kudinyana...yoote ni kwa sababu kupitia kudinyana wengi wanaangushwa.

Na ngoja niuseme huu ukweli ambao wengi hawaujui. Sex can be a promotional way or downfalling staircase ....ngono inaweza ikawa njia ya kumuinua mtu au njia ya kumshusha. Najua wengi hawalijui hili, na wengine mtajiuliza "KIVIPI" na nitawapa mifano kadhaa hapa, msipoelewa basi.

Kuna level kila msanii wa kiume akifika atalazimika kuwa katika mahusiano na mwanamke mkubwa kiumri na mwenye USHAWISHI zaidi yake. Mfano, Kuna Level Diamond alifika akawa na Wema, baadae akawa na Zari. Harmonize kuna level alifika akawa na Wolper na baadae akawa na Kajala. Hiyo ni promotional techinique, yaani mbinu ya kumpaisha na kumuinua mtu ambayo inatenda kazi kwa jinsi ya rohoni mno!

Leo hii, Harmonize kuna mwanamke akisex nae tu jamaa anapoteza KILA KITU, akitoa ngoma inabuma na akiweka show watu hawatokei. Yoote yanatokana na "SEX". Amesex na nani, huyo mtu nyota yake ni DHAIFU au IMARA kiasi gani? Ndio maana unaweza kuta kila siku wanachukua watu wa levels zao hata kama sio wazuri.

Hata wanawake wengi wapo tayari wavue chupi kwa mtu ambaye ni mashuhuri katika eneo fulani wakiamini kuna kitu kitafanyika kwa jinsi ya rohoni. Ndio maana ukaibuka msemo unasema "Utajiri hauambukizwi kupitia ngono, wadada fanyeni kazi" Hiyo ilikuwa baada ya wadada wengi kuwabless watu mashuhuri.

Ila, ukweli usiopingika ni kwamba mtu ambaye ni wa kawaida, akisex na mtu mashuhuri kuna kitu kinaongezeka kwa huyo mtu wa kawaida. Lakini pia, mtu wa kawaida, akisex na mtu mashuhuri kuna kitu kinapungua kwa huyo mtu mashuhuri. Kwa mfano, sasa hivi Diamond anaposex na Christina Shusho, kuna kitu anakitafuta ili kupaisha label yake ya bishara ya muziki na biashara zake nyingine.

Conclusively, naomba wanaume tuwe makini na aina ya wanawake tunaosex nao. Ufanyie kazi ushauri wangu mtakuja kunishukuru baadaye.

Nawasilisha.
Kuna uongo mwingi tu hapa umeongea hasa kwa hao wasanii
 
Kwa mfano, sasa hivi Diamond anaposex na Christina Shusho, kuna kitu anakitafuta ili kupaisha label yake ya bishara ya muziki na biashara zake nyingine.

Nawasilisha.
😂 Duh ina maana Nassib anakula haya makombo sasa hivi? Sema Nassib anaipenda sana hii Dunia kuna kile kipindi Bibi Kidude amekufa aliingia kuiba matilio ya ile maiti ili kuongeza ingredients kwenye Sanaa yake 😁
 
Kuna kaukweli fulani, niliwahi sex na dada mmoja, asubuhi yake nikapata deal ya pesa a haraka sana. Nikaja kukutana nae tena nikapata deal tena chap ya pesa za haraka. NIkastuka mbona kama kuna kitu basi nikaweka ntego, siku niliposex nae tena sikumaliza masaa 48 nikapata deal ya pesa tena deal simpo pesa mlima. Ikaenda hivyo mpaka nikaona huyu nioe kabisa uchumi ameukali. Shida ndio ilipoanzia baada ya kutangaza nia binti akafunguka ukweli wake, akasema yeye huwa anajiuza kama nataka kumuoa yupo tayari kuacha ila amenijuza ili nisjije nikaskia kwa watu baada ya kumuoa kuwa nimeoa dada poa. Ilinikata sana ukizingatia nilikuwa nakula peku halafu sikuwahi mtilia shaka kabisa na mienendo yake ya maisha.
 
Back
Top Bottom