Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😔 😟sasa hivi Diamond anaposex na Christina Shusho, kuna kitu anakitafuta ili kupaisha label yake ya bishara ya muziki na biashara zake nyingine.
Swali linakuja hapo.Niliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons And How To Deal With Them" Nilijifunza Kuwa Kumbe Mapepo Yamegawanyika Kulingana na Kazi ya Mapepo Husika (Demons Are Categorized According To Task They Perfom)
Kuna Mapepo ya UHARIBIFU (Destructive Demons) Ambayo Kazi yake ni Kufanya Uharibifu Katika Msisha ya Mtu Ambaye Yatamuingia. Na kwa sababu tayari nilikuwa nimeshawahi sikiliza speech za watumishi kadhaa hilo nilikuwa nalifahamu.
Shida yangu kubwa ilikuwa kutaka kufahamu ni njia ipi ambayo mapepo hayo huweza kumuingia mtu (How They are Transmitted). Ndipo nilipofahamu kwamba, kwa kizazi tulichonacho njia kuu ambayo mapepo humuingia mtu ni kupitia NGONO (Sex) na ndio maana Nikayaita "Sexual Transmitted Demons" (Mapepo Yanayoambukizwa Kupitia Ngono)
Ndio maana Hivi Sasa SEX inapatikana KIRAHISI MNO (Sex Has now Become the Cheapest Product). Ni rahisi kabisa mwanaume akamtongoza mwanamke leo na akamla kesho, tena wakati mwingine mwanaume anaweza kutumia gharama kubwa sana ili tu apate sex.
View attachment 2988841
Na sometimes mwanamke mwenyewe anajikuta tu ameshawishika kumpa jamaa na hii inaitwa "KUBLESIANA" (Yaani Kupeana Sex Kirafiki). Lakini pia ukifuatilia kiundani maisha ya vijana wengi sana yameharibika mara baada ya kukutana kimwili na watu fulani.
Wengi walianza kukutana na mikosi, misala, mabalaa na gundu,...wengine walipoteza mvuto, biashara zilikufa, walipata ajali, kushindwa kupiga hatua kimaisha....n.k. Na bahati mbaya sana ni kwamba, watu ambao wana haya mapepo wengi hawajui kama wanayo, ila wanatumikishwa nayo bila wao kujijua.
Haya mapepo yakimuingia mtu kazi yake kubwa ni KUFANYA UHARIBIFU, ndipo unakuta biashara inakufa, anapoteza morali ya kukimbiza ndoto na maono yake, na kila mahusiano atakayoanzisha hayadumu. Kwa mwanamke sometimes anaacha kabisa kutongozwa na kwa mwanaume akitongoza kila mwanamke anamkataa...inakua kama nyota imezima.
Wengine hupoteza vyeo, hupoteza fedha, hufukuzwa kazi na kila dili watakalogusa linabuma....yani maisha yameharibiwa.Unakuta mtu ni kijana mzuri kabisa, ana ndoto kubwa na ameshaanza kuifukuzia ghafla anapotea na kuacha kila kitu....anakuwa haeleweki tena.
Ukitrace back unagundua kuna mahali alichovya. Hivi sasa shetani amewekeza sana kwenye NGONO; mitego yake iko huko. Ndio maana ukiangalia movies zinachochezwa, nyimbo zinazoimbwa kwa sehemu kubwa sana zinahamasisha kudinyana...yoote ni kwa sababu kupitia kudinyana wengi wanaangushwa.
Na ngoja niuseme huu ukweli ambao wengi hawaujui. Sex can be a promotional way or downfalling staircase ....ngono inaweza ikawa njia ya kumuinua mtu au njia ya kumshusha. Najua wengi hawalijui hili, na wengine mtajiuliza "KIVIPI" na nitawapa mifano kadhaa hapa, msipoelewa basi.
Kuna level kila msanii wa kiume akifika atalazimika kuwa katika mahusiano na mwanamke mkubwa kiumri na mwenye USHAWISHI zaidi yake. Mfano, Kuna Level Diamond alifika akawa na Wema, baadae akawa na Zari. Harmonize kuna level alifika akawa na Wolper na baadae akawa na Kajala. Hiyo ni promotional techinique, yaani mbinu ya kumpaisha na kumuinua mtu ambayo inatenda kazi kwa jinsi ya rohoni mno!
Leo hii, Harmonize kuna mwanamke akisex nae tu jamaa anapoteza KILA KITU, akitoa ngoma inabuma na akiweka show watu hawatokei. Yoote yanatokana na "SEX". Amesex na nani, huyo mtu nyota yake ni DHAIFU au IMARA kiasi gani? Ndio maana unaweza kuta kila siku wanachukua watu wa levels zao hata kama sio wazuri.
Hata wanawake wengi wapo tayari wavue chupi kwa mtu ambaye ni mashuhuri katika eneo fulani wakiamini kuna kitu kitafanyika kwa jinsi ya rohoni. Ndio maana ukaibuka msemo unasema "Utajiri hauambukizwi kupitia ngono, wadada fanyeni kazi" Hiyo ilikuwa baada ya wadada wengi kuwabless watu mashuhuri.
Ila, ukweli usiopingika ni kwamba mtu ambaye ni wa kawaida, akisex na mtu mashuhuri kuna kitu kinaongezeka kwa huyo mtu wa kawaida. Lakini pia, mtu wa kawaida, akisex na mtu mashuhuri kuna kitu kinapungua kwa huyo mtu mashuhuri. Kwa mfano, sasa hivi Diamond anaposex na Christina Shusho, kuna kitu anakitafuta ili kupaisha label yake ya bishara ya muziki na biashara zake nyingine.
Conclusively, naomba wanaume tuwe makini na aina ya wanawake tunaosex nao. Ufanyie kazi ushauri wangu mtakuja kunishukuru baadaye.
Nawasilisha.
Vipiheeeeee
Juu kaanza vizuri Chini kamalizia vibaya kwamba Juu sex Ina hasara Ila Chini anasema sex Ina faida, in short faida IPO na hasara IPO issue unasex na nani kwa wakati gani na kwanini, hicho ndio hajakielezea vizuri kikaeleweka, amegusia masuala ya nyota na mvuto na mafanikio baada ya kusex na mtu fulani, alipokosea ni kuhusisha ukubwa wa umri na ukubwa wa umaarufu Ila all in all kuna ukweli kiasi na pia hakuna ukweli kiasiSasa mbona contradiction! Umesema mtu wa kawaida akisex na mtu maarufu anapanda juu lakini mtu maarufu akisex na mtu wa kawaida anaporomoka umaarufu; na umeshauri wanaume wasisex na watu wa kawaida sasa huoni hapo kama kila mtu akitaka asex tu na aliyemzidi maana yake sex haitafanyika kwa sababu yule unayemwona wewe yuko juu yako kwa umaarufu na yeye atakuona wewe uko chini yake kiumaarufu hivyo atakukataa.
Mashairi ya Chekachekaalfa lela ulela
UNAMSUMBUAumeharibu ulipoanza mifano tu ya maisha ya watu
Ushasema njia ya kumuinua lakini umesema pia njia ya kumshusha sasa hapo unajikoroga, maana lengo lako ni kuonyesha jinsi gani Demons wanaweza wakayaharibu Maisha ya mtu kupitia sex lakini hapo hapo unasema pia hao hao Demons wanaweza wakamnyanyua mtu kimaisha HUONI unaenda kinyume na lengo lako la kutuambia kwamba sex ni njia inayotukiwa na Demons kuharibu Maisha ya mtu? Kwa hio hapo hapo unasema pia sex ni njia moja wapo ya kumuinua mtu basi watu wasuuze rungu TU mpaka watakapo mpata mtu ambae wakisex nae wanatoboa mambo yao yananyooka ndio wanastick nae mazima ili wabakie walipo hapo juuSex can be a promotional way or downfalling staircase ....ngono inaweza ikawa njia ya kumuinua mtu au njia ya kumshusha.
Huku Chini mboni unasema sex inamuinua mtu HUONI km unakoroga Mambo bwashe?Haya mapepo yakimuingia mtu kazi yake kubwa ni KUFANYA UHARIBIFU,
Unamaanisha huu uzi ni kwa ajili ya wanaume TU na SIO wanawake? Maana yake Demons ni wanawake TU na SIO wanaume? Maana yake wanawake hata wakisex vipi na wanaume hawapati tatizo lolote hawashuki wala hawapandi kimaisha? Uliowaelezea Chini hapo ni wanaume Ila Je! Vipi kwa upande wa wanawake mboni haujawagusia hata mmoja? Maana yake ni kwamba wanawake hawapolei Demons kutoka kwa wanaume ila wanaume TU ndio wanaopokea demon's kutoka kwa wanawake?Conclusively, naomba wanaume tuwe makini na aina ya wanawake tunaosex nao.
Hao wanafanya hayo kuongeza uzao tu...Iv jogoo anapo sex na mtetea fulani na yeye anapata nini?