Sir crack ni kama gongo tu inatengenezwa majumbani, unafahamu upatikanaji wa cocaine ni mgumu na ghali kidogo.Mkuu upo Tanzania au, maana sijawai kuona hivi vitu huku zaidi ya bange na heroine.
Watu hutofautiana haimaanishi waliojaribu kuacha wote walishindwa, wapo walioweza pia, ni vema tumpe moyo asirudi nyuma asonge mbele, kuachana na hivyo vitu ni vita kubwa sana.
cocaine, crack, meth na heroine zina tofauti gani kwenye bei hapa tzTofauti ya meth na cocaine kwa Tanzania ni meth anaweza kutengeneza yeyote legally cause nobody can suspect you easily ila inaweza kukuharakisha milembe zaidi.
Ila cocaine inatengeneza mazombi naomba niishie hapa kiongozi.😊
Yeah ni wengi sana, tatizo ni usimamizi wengi wanatamani kabisa kutoka mchezoni ila ndio nani atamshika mkono?
Kuna mengi yanachangia vijana kujiingiza kwenye mambo yasiyofaa, ila msingi huanzia chini kabisa.sijafahamu tu vijana wenzangu hua mnatafuta nini mpaka mnatumia hivo vitu, aisee kiukweli mimi napenda kua real, sidhani kama nitaweza kutumia kitu cha ziada ili niwe kwenye hali flani. Tujitahidi kua real us.
Ni kweli kabisaYeah ni wengi sana, tatizo ni usimamizi wengi wanatamani kabisa kutoka mchezoni ila ndio nani atamshika mkono?
Haya katoka hana A wala B at least kina sie tumeenda shule akiangalia kushoto mtaa haumtaki kulia anasonywa nyuma anatukanwa mbele ananyoonyeshewa vidole huyu lazima arudie tu.
Meth huipati kokote na hata anayejua kuitengeneza huwezi mjua cause hii ni vidonge tupu.cocaine, crack, meth na heroine zina tofauti gani kwenye bei hapa tz
kwa hio bei zao zipoje mkuu, nataka niome utofauti qa bei maana huko marekani naskia gram moja tu ya cocaine hadi laki na nusu.Meth huipati kokote na hata anayejua kuitengeneza huwezi mjua cause hii ni vidonge tupu.
Cocaine ni ghali na si rahisi kuipata ukishaipata hii crack umeipata pia.
Heroin (kwa sasa siwezi kujua) ila kwa kipindi changu hii ndio ilikuwa jamvi la wageni.
Hivi crak ndio methamphetamine au. Na je, hii crak ndio inatengenezwa mitaani kwa kuchanganya lithium na ammonium fertilizer?Tofauti ya meth na cocaine kwa Tanzania ni meth anaweza kutengeneza yeyote legally cause nobody can suspect you easily ila inaweza kukuharakisha milembe zaidi.
Ila cocaine inatengeneza mazombi naomba niishie hapa kiongozi.😊
Kiongozi ninyi ndio mnafanya wale wa mitaani waendelee kuwa huko maana huwezi kumsaidia hata kidogo.sijafahamu tu vijana wenzangu hua mnatafuta nini mpaka mnatumia hivo vitu, aisee kiukweli mimi napenda kua real, sidhani kama nitaweza kutumia kitu cha ziada ili niwe kwenye hali flani. Tujitahidi kua real us.
Ah we kumbe na huku ipo?
Kiongozi siwezi kukutajia bei kwa sababu kila supplier ana bei yake kulingana na aliko itoa.kwa hio bei zao zipoje mkuu, nataka niome utofauti qa bei maana huko marekani naskia gram moja tu ya cocaine hadi laki na nusu.
Na je cocaine za huku tz zina purity (ubora)?, maana kitu kinaweza kikaingia nchini kina purity 90% ila mapusha wanaongezea unga mwengine ili iwe nyingi hivyo ubora unapungua hadi 50% huko
Crack na Meth ni drugs sawa in terms of namna zinavyotumiwa na nguvu zilizonazo.Hivi crak ndio methamphetamine au. Na je, hii crak ndio inatengenezwa mitaani kwa kuchanganya lithium na ammonium fertilizer?
Brother sijui kama umenielewa, ninachomaanisha vijana tujitahidi kua furaha, amani, nguvu and et cetera, ile ya kwako mwenyewe na wala sio kutumia vitu kama hivyo,sasa unachomaanisha siwezi kumsaidia mtu kabisa ni kipi?Kiongozi ninyi ndio mnafanya wale wa mitaani waendelee kuwa huko maana huwezi kumsaidia hata kidogo.
Binafsi sijawahi kuwa teja nilikuwa navuta huku natumia kama kitega uchumi kidogo maana nina ajira rasmi, hivyo sijawahi kuwa kiokote wala kumuomba pesa yeyote.
Ugumu unakuja pale utajificha hadi lini? Utakuwa na watu walewale miaka nenda rudi hadi lini? utafanya kitu cha maana lini?
Tukifikaga hapa sasa ndio tunaamua kwa dhati kujitoa but without support huwezi toka kabisa.
Bangi siamini moja kwa moja kama inaleta ukichaa ila ni laana inayotokana na kuvuta bangi. kuna ukoo ukivuta tu bangi lazima uwe kichaa wa milembe na huponi, wengine ni wazazi kuwapa laana ya moja kwa moja watoto wao kwa kauli kama usivute bangi na wakavuta lazima wapate shida. ni mtazamo wangu tu. Nimeona watu wazima kiumri wakivuta, manjagu,watu na nyadhifa zao n.k wakivuta na wako poa tu.Mirembe pia wamejaa vijana kibao kwasababu ya hiyo dawa yako ya bangi.
Ni kweli lakini huna ushahidi wa moja kwa moja..wanga pia wenye roho mbaya Kama wewe 'huroga' vijana kupitia bangi hiyohiyo na kusingizia bangi imemuwehusha.Mirembe pia wamejaa vijana kibao kwasababu ya hiyo dawa yako ya bangi.