Sababu zilizopelekea niache kuvuta Crack

Huyo mnaija ndo kamharibu gigy money vibaya sikuhizi hayuko sawa ana hitaji tiba
Halafu hawa wanaija hawawajui tu ni matapeli kishenzi wa mapenz kuna mama mmoja huku kamuacha mume wake kisa mnaija na huyo mama anapesa ndefu tu
 
Bangi inaweza kuwa na positive effects kwa baadhi ya watu ila shida inakuja hapa: Ukishaizoea, unapata shida kubwa sana unaposafiri au kuwa sehemu ambayo huwezi kuipata kwa wakati ule. Kwa mfano unaweza kusafiri kwenda nchi za nje, sasa mpaka uje uzoee mazingira na kujua vijiwe wa kuipata unakuwa umeshapata shida sana. Na nchi nyingine bei yake ni ghali. Pia unakuwa unaishi kama panya kwani muda wowote unaweza kukamatwa.
 

kitu ambacho hukijui, ipo hivi wala 'weed' karibia wote duniani wanatambuana na hasa wakiangaliana machoni, na ndiyo maana huwa hawapati shida wanapokuwa ugenini, mvuta bange akimwangalia mvuta bangi mwenzake machoni wanajuana yaani kuna namna ya telepathic communication between wala jani, hivyo kama wewe upo kwenye chama la wana hata huende macca au vatican yaani utapata huduma ya mmea tuu kutegemeana na 'mfuko' wako na mambo yanakwenda……………..
 
Nashangaa watu wanaoizungumzia vibaya cannabis , huu mmea una faida nyingi kuliko hasara, natamani watu wangejua ukweli wa hili jambo.








Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Hata kwa miandiko tu 😅 huwa wanajuana, mkuu kwanini unataka kuuacha mmea (rafiki wa kweli), ni mabinti zako tu au kuna sababu nyingine nyuma????







Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Hata kwa miandiko tu 😅 huwa wanajuana, mkuu kwanini unataka kuuacha mmea (rafiki wa kweli), ni mabinti zako tu au kuna sababu nyingine nyuma????







Let's meet at the top, cheers 🥂
kwenye maisha ya kibinadamu inafika sehem inabidi ukubali 'kutundika' daruga 'for the safe of others' na hasa familia, mabinti zangu bado ni wadogo & very cute, sijui ni kutokana na malezi ya mama yao, sipendi kuwatesa kisaikolojia kwa namna yoyote na sipendi wapitei mapito niliyo yapitia, maisha yangu nime hustle kweli kweli kwenye kuitafuta shillingi, vile vile kwa sasa umri wangu unasogea sogea…...
 
Wisely! Kongole kwako mkuu.🤝🏽, ngoja sisi tuendelee kukitumikia chama.







Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Wisely! Kongole kwako mkuu.🤝🏽, ngoja sisi tuendelee kukitumikia chama.







Let's meet at the top, cheers 🥂
binafsi huwa naami hivi, kwa kijana/mwanaume ambaye hajatumia 'kijiti' kwa kweli kuna kitu maishani mwake amepungukiwa, sidhani akina obama, bush, putin, haile selaise, kenyata junior & senior, kagame etc kama walikosea kuuchagua mmea maishani mwao, mengine yanabakia chini ya kapeti………………..
 
Kuna watu hawawezi kukuelewa hapa chief, 😅






Let's meet at the top, cheers 🥂
 
Nakubalina na wewe. Hata kujua vijiwe vyake ni rahisi. Ila kuna hili mtu anaweza kuwa kwenye dharura ambayo anakosa nafasi ya kutafuta na kuitumia, japo kwa muda. Na sehemu nyingine kama Ulaya unakuta bei yake iko juu kiasi ambacho kama hujakaa vzr mfukoni unapata tabu sana.
 
Yani nipoteze muda wangu kufuatilia wavuta bangi, we endelea kuvuta kwa raha zako.
 
Kuiga IGA hasa ukiwa na company wanakushawishi usipokuwa unachaganya na zako lazima ile kwako
Nawengi sana ukiangalia utakuta crew yake yote wapo hivo hivo, ila nafikiri kingine ni mindset ya mtu tu, kuna watu wana crew kama hivo lakini unamkuta sio mtumiaji.
 
Mkuu uamuzi unaotaka kuuchukua hakika Malipo yake yatakuwa mazuri sana, mana binti kujua mshua mwanachama inamuumiza sana ivo umeamua kwa ajili yao na hakika hio ndio fatherhood
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…