Sababu zilizopelekea niache kuvuta Crack

Cocaine inapotengenezwa huko Colombia hufata procedure zote maana ile hupandwa na inakuwa ka unga, Sasa hii inayokuja huku vile expensive huchaganywa Hadi na baadhi ya sumu ka za panya na other dangerous chemicals ili kuongeza ukali, ndo hzo huitwa cracks
Cariha hizo ni story tu kama story zingine.
Mimi ni mwandamizi wa hizi shughuli hakuna Cocaine inayotoka South America kuja Africa kwa sababu ya soko duni.

Cocaine inayokuja Africa asilimia kubwa inatoka uarabuni na baadhi ya nchi zenye vita.
Una mengi ya kujifunza yenye uhalisia
 
Ndio maana nimesisitiza mtu akifikia mbali kwenye maamuzi ya starehe aishie tu kwenye bangi maana hii hata kuna nchi zinaruhusu kuvuta kwa kua ina benefits, Hali kadhalika hapa tu bongo vijana hasa wa kiume 6 kati ya kumi wamewahi kujaribu bangi, ikitumika fresh, Ila unapovuka zaidi ya hapo na kwenda kutumuia crack cocaine, cocaine, heroin, meth, n.k unakuwa unahatarisha afya ya akili.

Anyway nimependa uamuzi wako wa kufungua hii thread, nina uhakika kwa namna moja au nyingine testimony yako itasaidia wengine walioko kwenye uraibu wa madawa.
Very true Sir.
Tatizo linalokuja kujitokeza ukianza cannabis katika kuisaka hapa na pale lazima utajua na unga unakopatikana na hili ndio huwa shimo la wengi.
 
Cariha hizo ni story tu kama story zingine.
Mimi ni mwandamizi wa hizi shughuli hakuna Cocaine inayotoka South America kuja Africa kwa sababu ya soko duni.

Cocaine inayokuja Africa asilimia kubwa inatoka uarabuni na baadhi ya nchi zenye vita.
Una mengi ya kujifunza yenye uhalisia
Bwana nimefatilia a to z kutoka inspotengenezwa Hadi kusafirishwa naona haina jipya hapa, na vile Tanzania haipiti Sana ka kipindi Cha zamani
 
Very true Sir.
Tatizo linalokuja kujitokeza ukianza cannabis katika kuisaka hapa na pale lazima utajua na unga unakopatikana na hili ndio huwa shimo la wengi.
honestly nakumbuka hata sekondari wengi tulikua tunajiuliza sana unajiskiaje ukivuta bangi na wasanii kama wa marekani walitupa hamu ya kuijaribu n ampaka kufikia chuo kikuu naweza sema wengi tumeshajatibu iwe kwa mara moja au kwa kuliunga na wengine hadi leo wanaendelea.

Ila inapokuja ishu ya madawa hii ni stage nyingine kabisa maana hata niliosoma nao sekondari hadi chuo sijaona hata moja aliejatibu hivi vitu, ila nikifanya tathmini kwa watu wote kuanzia niliosoma nao, marafiki na majirani basi nawajua wawili tu kati ya rundo la watu naowajua, Na kiukweli madawa yamewaharibu sana kiakili moja karudishwa kijijini mwengine saizi hajitambui vizuri kila akipita wanamshangaa.

Kwa ufupi vijana wa kitanzania 6 kati ya 10 wamewahi kujaribu kuvuta bangi ila kwa upande wa madawa ni kijana takribani 1 kati ya 50.

Kwa nchi za nje Bangi ndio hufungua geti kwa vijana kuanza kutumia madawa kama cocaine na heroin ila kwa tz naweza kusema silingi bodi ya ulevi imeishia kwenye bangi na pombe ila ni wachache mno wanaovuka hapo na wakianza madawa wengi huishia kuharibika kiafya, kiakili na kiuchumi.
 
Bange au bangi kama unavyoiita ni kifurahishi na tiba.
Mpaka sasa siamini kuwa bange ni mbaya nimeanza kujihusisha nayo grade 7 hadi nilipofika kidato cha pili nilishachanganya sana and i was okay.

Kingine bange ilinifanya niwe very social, niwe na akili nyingi, sikai kizembe n.k tatizo lilikuja nilipoanza kufanya biashara za hizi vitu hapa ndipo nilijua vingi zaidi.
 
Bwana nimefatilia a to z kutoka inspotengenezwa Hadi kusafirishwa naona haina jipya hapa, na vile Tanzania haipiti Sana ka kipindi Cha zamani
Cariha usiwe mbishi wewe unatizama documentaries dealer yeyote hapiti hizo exposed ways hata kidogo.

Nitakupa mfano wa nyakati niko active, kwanza nilikuwa supplier wa cannabis baadae nikawa nailima na simuuzii dealer yoyote ila naisambaza mwenyewe kupitia connection nilizonazo.

Nikafika mbali baada ya kujua inakopatikana cocaine kwa washkaji wa mtaa ndipo nilipoanza kujihusisha na uingizaji na utumiaji, hivyo najua nini nazungumza.
South American cocaine huwezi kuipata nani ataileta mtu anaweza ku-risk kupeleka Cocaine Peru ila sio Peru to Africa NEVER!
 
Dada kafanye ufatiliaji upya, ila nikwambie tu, ulidanganywa. Hakuna Cocaine inayochanganywa na uchafu huo unaousema ila huwa inachambuliwa kimadaraja. Mfano mdogo tu nikupe ni ile alokuwa akiitumia Manji, kile kitu ni pyua from first class sellers, huwezi ilinganisha na ya ukucha ya Manzese.
 
Nyingi huwa inazunguka kwenye nchi zao na best soko liko US na UK, hii ya huku nyingi ni ya kutoka Pakistan na Afghanistan. Kuna kipindi nilikuwa naifuatilia namna inavyovunwa, utashangaa
 
cariha Nchi kama Ethiopia, Djibouti, DRC, Mali, ni mapito mazuri na safe sana ya drugs kutoka Asia.

Pia kuna njia ya kuficha drugs kwenye shipping containers hapa naomba nifunge domo langu
 
Dada kafanye ufatiliaji upya, ila nikwambie tu, ulidanganywa. Hakuna Cocaine inayochanganywa na uchafu huo unaousema ila huwa inachambuliwa kimadaraja. Mfano mdogo tu nikupe ni ile alokuwa akiitumia Manji, kile kitu ni pyua from first class sellers, huwezi ilinganisha na ya ukucha ya Manzese.
Cariha anapotoshwa na documentaries.
 
Nyingi huwa inazunguka kwenye nchi zao na best soko liko US na UK, hii ya huku nyingi ni ya kutoka Pakistan na Afghanistan. Kuna kipindi nilikuwa naifuatilia namna inavyovunwa, utashangaa
Cocaine na heroin ni rahisi kuzipata kwenye pembe ya Africa tu kwa lower risk zinatokea huko Yemen na Asia kwa ujumla.

Watu wanasafiri hadi Mali kuzifata tu, Cariha kanishangaza kuniambia amefatilia kutoka America, ni rahisi ku-shipp drug from Africa to America na sio America to Africa
 
Cariha anapotoshwa na documentaries.
Kimsingi, ulimwengu Mweusi(dark World) mara zote watu ambso hawajawahi kuuhudumu huwa wanalishwa vitu tofauti na ukweli nao wanashikilia hivyo hivyo. Huu ulimwengu ni maisha mengine tofauti kabisa na ndiko Serikali nyingi zinakopatia Fedha za Kujiendesha na hutokaa uambiwe na mtu usipokuwa mchunguzi
 
Yeah, ila si mbaya ili kuficha vingi wanapaswa kutizama documentaries wafahamu huwa inatengenezwa hivi na vile na kusambazwa na kutumiwa vile.

Ila kiuhalisia kwenye hizi issue nobody do that.
Kuna rafiki yangu kwa sasa yuko Ukraine tuliwahi kukaa pamoja tukitazama documentary moja inayoonesha uuzaji wa madawa na upitishaji wake kwenye borders za nchi mbalimbali tukacheka sana.

Kwa sababu zile si njia halisi zinazotumika na wala haiuzwi vile, zile ni old ways sanaa, mfano kuwa na connection na maaskari n.k smart dealers don't do this anymore.
So si mbaya kufahamu machache kati ya mengi
 
Nani amekwambia...?
Huwezi kuuza pure cocaine kwasababu haileti mzuka poa kama iliyochanganywa na other stimulants kama dawa za usingizi.

Njoo mwananyamala huku kuanzia mwananyamala gengeni mpaka kisiwani nikuonyeshe pure cocaine zinavyouzwa.

#YNWA
Pure cocaine yenye purity inaypzidi 90% inapelekwa marekani na ulaya mkuu zinakonunulika fasta, huku Bongo hadi mzigo umemfikia mteja basi usganchanganywa sana na ama unga ya glucose, Mbaya zaidi hata vifaa vya kupimia ubora hamna
 
Hongera sana mkuu Kwa hatua uliyojaribu kupiga
Mkuu ningependa kukwambia urejea wa madawa ya kulevya au wanavyoita wenyewe(RELAPSE) ni mchakato ambao mtumiaji wa madawa au mraibu anayepata nafuu ameutengeneza kuanzia siku ya kwanza alipotaka kuachana na matumizi ya dawa za kulevya na mchakato huo unaeza kua hivi÷
✓kwa kusema sitatumia kileweshi
hichi ila nitatumia hiki..Kama mleta
mada alivyosema anafanya matumizi
ya bangi na kusahau kuwa bangi ni
stimulating drug

~KWA NINI HILI NI TATIZO
Ni tatizo kwa sababu waraibu wote ni
wapataji nafuu na hakuna aliyepona
kwa lugha nyingine tunasema ni
RECOVERY ADDICTED....
Kumaanisha kwamba ugonjwa bhado
uko ndani na wanaishi kwa nafuu Sasa
Ugonjwa ulioko ndani yao huwa
unafanya seaching ya kwamba what is
stimu of my choice kwa hiyo at the
end unaeza toka kwenye bhange na
kurudi kwenye crack sababu ndiyo
choice yako cha kufahamu ni kwa
kwamba ugonjwa unatafuta na ni mjanja, pia subira....

√kingine ni kuendelea kufanya mambo
uliyokuwa unafanya kipindi ukiwa
mtumiaji wa crack hii inaeza sababisha
Urejeaji wa matumizi
 
Sorry naomba kufahamu...Kama ulikua unasahau...vp Sasa hv unakumbuka kwambanulikua unasahau
 
Bange au bangi kama unavyoiita ni kifurahishi na tiba.
Mpaka sasa siamini kuwa bange ni mbaya nimeanza kujihusisha nayo grade 7 hadi nilipofika kidato cha pili nilishachanganya sana and i was okay.

Kingine bange ilinifanya niwe very social, niwe na akili nyingi, sikai kizembe n.k tatizo lilikuja nilipoanza kufanya biashara za hizi vitu hapa ndipo nilijua vingi zaidi.

Mhh..Kuna mtu anavuta hayo madude toka sdt 4! Anajitenga na watu ..anaongea alone ...maongez take ukimsikiliza anakuwa Kama anajidefend. Anaongea as if Kama anampania mtu amuadabishe ..kwenye suala la akili anadai yy Hana akili Ila bang umemfanya afikie hiyo level ..anafanya PhD nw ..
Ila msibani hajimix...anajitenga Sasa huyu hajafika ukichaa kweli jamani? Kwa siku anavuta hata 6tyms
 
Nyingi huwa inazunguka kwenye nchi zao na best soko liko US na UK, hii ya huku nyingi ni ya kutoka Pakistan na Afghanistan. Kuna kipindi nilikuwa naifuatilia namna inavyovunwa, utashangaa
Lakini Pakistan na Afghanistan inajulikana kwa heroin, wana ardhi inayohimili kilimo cha coke?
l
 
Back
Top Bottom