Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cariha hizo ni story tu kama story zingine.Cocaine inapotengenezwa huko Colombia hufata procedure zote maana ile hupandwa na inakuwa ka unga, Sasa hii inayokuja huku vile expensive huchaganywa Hadi na baadhi ya sumu ka za panya na other dangerous chemicals ili kuongeza ukali, ndo hzo huitwa cracks
Very true Sir.Ndio maana nimesisitiza mtu akifikia mbali kwenye maamuzi ya starehe aishie tu kwenye bangi maana hii hata kuna nchi zinaruhusu kuvuta kwa kua ina benefits, Hali kadhalika hapa tu bongo vijana hasa wa kiume 6 kati ya kumi wamewahi kujaribu bangi, ikitumika fresh, Ila unapovuka zaidi ya hapo na kwenda kutumuia crack cocaine, cocaine, heroin, meth, n.k unakuwa unahatarisha afya ya akili.
Anyway nimependa uamuzi wako wa kufungua hii thread, nina uhakika kwa namna moja au nyingine testimony yako itasaidia wengine walioko kwenye uraibu wa madawa.
Bwana nimefatilia a to z kutoka inspotengenezwa Hadi kusafirishwa naona haina jipya hapa, na vile Tanzania haipiti Sana ka kipindi Cha zamaniCariha hizo ni story tu kama story zingine.
Mimi ni mwandamizi wa hizi shughuli hakuna Cocaine inayotoka South America kuja Africa kwa sababu ya soko duni.
Cocaine inayokuja Africa asilimia kubwa inatoka uarabuni na baadhi ya nchi zenye vita.
Una mengi ya kujifunza yenye uhalisia
honestly nakumbuka hata sekondari wengi tulikua tunajiuliza sana unajiskiaje ukivuta bangi na wasanii kama wa marekani walitupa hamu ya kuijaribu n ampaka kufikia chuo kikuu naweza sema wengi tumeshajatibu iwe kwa mara moja au kwa kuliunga na wengine hadi leo wanaendelea.Very true Sir.
Tatizo linalokuja kujitokeza ukianza cannabis katika kuisaka hapa na pale lazima utajua na unga unakopatikana na hili ndio huwa shimo la wengi.
Bange au bangi kama unavyoiita ni kifurahishi na tiba.honestly nakumbuka hata sekondari wengi tulikua tunajiuliza sana unajiskiaje ukivuta bangi na wasanii kama wa marekani walitupa hamu ya kuijaribu n ampaka kufikia chuo kikuu naweza sema wengi tumeshajatibu iwe kwa mara moja au kwa kuliunga na wengine hadi leo wanaendelea.
Ila inapokuja ishu ya madawa hii ni stage nyingine kabisa maana hata niliosoma nao sekondari hadi chuo sijaona hata moja aliejatibu hivi vitu, ila nikifanya tathmini kwa watu wote kuanzia niliosoma nao, marafiki na majirani basi nawajua wawili tu kati ya rundo la watu naowajua, Na kiukweli madawa yamewaharibu sana kiakili moja karudishwa kijijini mwengine saizi hajitambui vizuri kila akipita wanamshangaa.
Kwa ufupi vijana wa kitanzania 6 kati ya 10 wamewahi kujaribu kuvuta bangi ila kwa upande wa madawa ni kijana takribani 1 kati ya 50.
Kwa nchi za nje Bangi ndio hufungua geti kwa vijana kuanza kutumia madawa kama cocaine na heroin ila kwa tz naweza kusema silingi bodi ya ulevi imeishia kwenye bangi na pombe ila ni wachache mno wanaovuka hapo na wakianza madawa wengi huishia kuharibika kiafya, kiakili na kiuchumi.
Cariha usiwe mbishi wewe unatizama documentaries dealer yeyote hapiti hizo exposed ways hata kidogo.Bwana nimefatilia a to z kutoka inspotengenezwa Hadi kusafirishwa naona haina jipya hapa, na vile Tanzania haipiti Sana ka kipindi Cha zamani
Dada kafanye ufatiliaji upya, ila nikwambie tu, ulidanganywa. Hakuna Cocaine inayochanganywa na uchafu huo unaousema ila huwa inachambuliwa kimadaraja. Mfano mdogo tu nikupe ni ile alokuwa akiitumia Manji, kile kitu ni pyua from first class sellers, huwezi ilinganisha na ya ukucha ya Manzese.Bwana nimefatilia a to z kutoka inspotengenezwa Hadi kusafirishwa naona haina jipya hapa, na vile Tanzania haipiti Sana ka kipindi Cha zamani
Nyingi huwa inazunguka kwenye nchi zao na best soko liko US na UK, hii ya huku nyingi ni ya kutoka Pakistan na Afghanistan. Kuna kipindi nilikuwa naifuatilia namna inavyovunwa, utashangaaCariha usiwe mbishi wewe unatizama documentaries dealer yeyote hapiti hizo exposed ways hata kidogo.
Nitakupa mfano wa nyakati niko active, kwanza nilikuwa supplier wa cannabis baadae nikawa nailima na simuuzii dealer yoyote ila naisambaza mwenyewe kupitia connection nilizonazo.
Nikafika mbali baada ya kujua inakopatikana cocaine kwa washkaji wa mtaa ndipo nilipoanza kujihusisha na uingizaji na utumiaji, hivyo najua nini nazungumza.
South American cocaine huwezi kuipata nani ataileta mtu anaweza ku-risk kupeleka Cocaine Peru ila sio Peru to Africa NEVER!
Cariha anapotoshwa na documentaries.Dada kafanye ufatiliaji upya, ila nikwambie tu, ulidanganywa. Hakuna Cocaine inayochanganywa na uchafu huo unaousema ila huwa inachambuliwa kimadaraja. Mfano mdogo tu nikupe ni ile alokuwa akiitumia Manji, kile kitu ni pyua from first class sellers, huwezi ilinganisha na ya ukucha ya Manzese.
Cocaine na heroin ni rahisi kuzipata kwenye pembe ya Africa tu kwa lower risk zinatokea huko Yemen na Asia kwa ujumla.Nyingi huwa inazunguka kwenye nchi zao na best soko liko US na UK, hii ya huku nyingi ni ya kutoka Pakistan na Afghanistan. Kuna kipindi nilikuwa naifuatilia namna inavyovunwa, utashangaa
Kimsingi, ulimwengu Mweusi(dark World) mara zote watu ambso hawajawahi kuuhudumu huwa wanalishwa vitu tofauti na ukweli nao wanashikilia hivyo hivyo. Huu ulimwengu ni maisha mengine tofauti kabisa na ndiko Serikali nyingi zinakopatia Fedha za Kujiendesha na hutokaa uambiwe na mtu usipokuwa mchunguziCariha anapotoshwa na documentaries.
Yeah, ila si mbaya ili kuficha vingi wanapaswa kutizama documentaries wafahamu huwa inatengenezwa hivi na vile na kusambazwa na kutumiwa vile.Kimsingi, ulimwengu Mweusi(dark World) mara zote watu ambso hawajawahi kuuhudumu huwa wanalishwa vitu tofauti na ukweli nao wanashikilia hivyo hivyo. Huu ulimwengu ni maisha mengine tofauti kabisa na ndiko Serikali nyingi zinakopatia Fedha za Kujiendesha na hutokaa uambiwe na mtu usipokuwa mchunguzi
Pure cocaine yenye purity inaypzidi 90% inapelekwa marekani na ulaya mkuu zinakonunulika fasta, huku Bongo hadi mzigo umemfikia mteja basi usganchanganywa sana na ama unga ya glucose, Mbaya zaidi hata vifaa vya kupimia ubora hamnaNani amekwambia...?
Huwezi kuuza pure cocaine kwasababu haileti mzuka poa kama iliyochanganywa na other stimulants kama dawa za usingizi.
Njoo mwananyamala huku kuanzia mwananyamala gengeni mpaka kisiwani nikuonyeshe pure cocaine zinavyouzwa.
#YNWA
Bange au bangi kama unavyoiita ni kifurahishi na tiba.
Mpaka sasa siamini kuwa bange ni mbaya nimeanza kujihusisha nayo grade 7 hadi nilipofika kidato cha pili nilishachanganya sana and i was okay.
Kingine bange ilinifanya niwe very social, niwe na akili nyingi, sikai kizembe n.k tatizo lilikuja nilipoanza kufanya biashara za hizi vitu hapa ndipo nilijua vingi zaidi.
Lakini Pakistan na Afghanistan inajulikana kwa heroin, wana ardhi inayohimili kilimo cha coke?Nyingi huwa inazunguka kwenye nchi zao na best soko liko US na UK, hii ya huku nyingi ni ya kutoka Pakistan na Afghanistan. Kuna kipindi nilikuwa naifuatilia namna inavyovunwa, utashangaa