Uchaguzi 2020 Sababu zinazofanya Magufuli apendwe na Watanzania wengi

Vyeti feki hakugusa vya kwake ikiwa ni pamoja na PhD yake.
 
Sikiliza mkuu Magufuli hawezi kuwa na cheti feki. Yaani mwalimu wa hesabu na chemistry awe na cheti feki acha zako chief. Kwanza Magufuli ana akili nyingi hatari.

Naona unaabudu sanamu, hii ndio inaitwa mahaba niue.
 
Acha uongo wewe labda wewe usipende kuwasemea Wasiokutuma semea familia yako
 
Baki na akili zako hizo hizo ulizokaririshwa.Yako mengi uliyodanganya ila kwavile hakuna uhuru wakusema watu wamekaa kimya tu ila hali ni tofauti sana na unayotudanganya hapa.
 
Baki na akili zako hizo hizo ulizokaririshwa.Yako mengi uliyodanganya ila kwavile hakuna uhuru wakusema watu wamekaa kimya tu ila hali ni tofauti sana na unayotudanganya hapa.
Yaseme hayo yote Mkuu. Labda kama una chuki binafsi tu Rais wa awamu ya sita
 
ALYEKWAMBIA ANAPENDWA NA WATU WENGI NANI?. SEMA ANALAZIMISHA KUPENDWA, ANAWABAKA WANANCHI. Wengi wanaojifanya kumpenda ni kwa sababu ya kujaza matumbo yao tu si kweli kwamba wanampenda. Ni kwa sababu ya njaa tu walio wengi
 
Kwenye familia yenu mumebakwa wangapi hadi saivi?
Wakati mwingine usilazimishe mawazo yako yawe sawa na watu wengine!
Kama wewe humpendi Raisi Magufuri Kuna watu zaidi yako tunampenda na tunatambua mchango mkubwa wa ujenzi wa Taifa letu kwa kipindi Cha miaka mitano.
Ni lazima tuendeleee na Rais Magufuri kwa miaka mitano ijayo.#JPM 5 tenaa.
Kama hutaki kanywe sumu!
 
ALYEKWAMBIA ANAPENDWA NA WATU WENGI NANI?. SEMA ANALAZIMISHA KUPENDWA, ANAWABAKA WANANCHI. Wengi wanaojifanya kumpenda ni kwa sababu ya kujaza matumbo yao tu si kweli kwamba wanampenda. Ni kwa sababu ya njaa tu walio wengi
Magufuli number one ni Rais wa Afrika.
 
Sisi tunaendelea tu kuimba Magufuli number one ni Rais wa Afrika
 
Matangazo mengi,mabango kibao,ya nini Kama anapendwa kiasi hicho?
Jamaa ni mkabila sana,Tabora,Katavi,alienda na mkurugenzi wa reli,Kadogosa kumtumia kupata kura kwa sababu tu ni Msukuma,
Kagera kwa wahaya,katumia jina la Masilingi,ambaye ni muhaya,kurubuni apewe kura.
Ni jitu la ajabu sana.
Kwenye tetemeko kagera,pesa zilizotolewa na wananchi Kama pole kwa wenzao,yeye akazifsnya za serikali na kuzipora.
Mtwara amevuruga kabisa zao la korosho.
Kama anapendwa mbona wapinzani wote wanawekewa vikwazo ili mijitu ya kijani ipite bila kupingwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…