Sababu zinazofanya nisiamini uwepo wa Mungu ni hizi

Watu mnakosea kuwaza nakuandika!, hamjui mnachoandika!.
God exist.

Uwepo wa VITA ,njaa na maradhi kwa asilimia kubwa ni binadamu mwenyewe ameacha kutumia ufahamu wake vizuri.
1. Mungu anapenda kusifiwa kama Mhaya.

2. Mungu hana huruma (hukumu kwa wasiokuwa na hatia, vita sehemu nyingi za dunia, watu kufa kwa njaa na umaskini).

Kuna sababu nyingi ila leo tuishie hapo.
 
Hapo kwenu wamekupatia tu huo ugali umeshiba ndio maana umepata kiburi.

Pumzi unayojivunia hawana uwezo wa kukupa na ikatokea imekata

Hatua ya kwanza ni kupitisha mchango kwa ukoo ili wamfikie fundi furniture tena kwa kuomba punguzo la bei.
 
Mungu wa bibilia hapendi Amani, anapenda vita watu wauwane. Hata kwenye kitabu chake bibilia amekiri kwamba hapendi amani.

Matthew ( Mathayo) 10:34
imeandika

"Msidhani ya kuwa nalikuja kuleta amani duniani; la! Sikuja kuleta amani, bali upanga."
 
Kuhusu watoto wanaozaliwa na ulemavu, ajali na matetemeko ya ardhi vyenyewe unavielezeaje mkuu. Sijalenga kukosoa au kupinga uwepo wa mwenyezi, ila ni vitu vinavyonifikirisha tu, ningetamani kujifunza
Hiyo ni Asili au huitwa nature
 
1. Mungu anapenda kusifiwa kama Mhaya.

2. Mungu hana huruma (hukumu kwa wasiokuwa na hatia, vita sehemu nyingi za dunia, watu kufa kwa njaa na umaskini).

Kuna sababu nyingi ila leo tuishie hapo.
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye mapenzi yote angekuwapo hata mjadala kuhusu uwepo wake usingewezekana kufanyika.

Kila mtu angejua yupo kwa namna ambayo mjadala kuhusu kuwepo kwake usingewezekana.

Ukiona kuna swali tu kuhusu uwepo wa Mungu huyo, ujue ni kwa sababu hayupo.
 
Hapo kwenu wamekupatia tu huo ugali umeshiba ndio maana umepata kiburi.

Pumzi unayojivunia hawana uwezo wa kukupa na ikatokea imekata

Hatua ya kwanza ni kupitisha mchango kwa ukoo ili wamfikie fundi furniture tena kwa kuomba punguzo la bei.
Hahaha
 
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye mapenzi yote angekuwapo hata mjadala kuhusu uwepo wake usingewezekana kufanyika.

Kila mtu angejua yupo kwa namna ambayo mjadala kuhusu kiwepo kwake usingewezekana.

Ukiona kuna swali tu kuhusu uwepo wa Mungu huyo, ujue ni kwa sababu hayupo.
Duh aisee we jamaa unapiga Sana spana🤔
 
1. Mungu anapenda kusifiwa kama Mhaya.

2. Mungu hana huruma (hukumu kwa wasiokuwa na hatia, vita sehemu nyingi za dunia, watu kufa kwa njaa na umaskini).

Kuna sababu nyingi ila leo tuishie hapo.
Mungu yupi huyu anasifiwa kama muhaya 😂😂 ila kuna dini zipo lazima wapige kelele ndo wanazungumza na mungu
 
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye mapenzi yote angekuwapo hata mjadala kuhusu uwepo wake usingewezekana kufanyika.

Kila mtu angejua yupo kwa namna ambayo mjadala kuhusu kuwepo kwake usingewezekana.

Ukiona kuna swali tu kuhusu uwepo wa Mungu huyo, ujue ni kwa sababu hayupo.
Ningeshangaa sana Mkuu, Kukukosa kwenye Uzi kama huu, Btw Mungu Hayupo
 
1. Mungu anapenda kusifiwa kama Mhaya.

2. Mungu hana huruma (hukumu kwa wasiokuwa na hatia, vita sehemu nyingi za dunia, watu kufa kwa njaa na umaskini).

Kuna sababu nyingi ila leo tuishie hapo.

kumjua Mungu vizuri inakuwa rahisi kwa mtu aliyepitia Elimu ya chekechea/msingi ya masuala ya dini ambayo ni (kipaimara/madrasa nk) tofauti na hapo Utaishia kupata habari za Mungu nusu nusu au kupitia mtaani na kukuchanganya kabisa..
Pengine utafute Muda ukutane na Mchungaji wako au Sheikh wako atakuelewesha...kujadili hapa ni sawa na mtoto kusoma masomo ya sekondari wakati hajasoma msingi...

Kimsingi, Mungu yupo na ndiye mwenye mamlaka yote. Mungu alimuumba Binadam kama kiongozi na kumpa utashi wa kutenda kwa akili yake na hayo matendo yake ndio atahukumiwa nayo siku za mwisho.
Kwa kifupi hapa Duniani tupo kwenye Chumba cha mtihani....
 
Kumtoa mwanae wa pekee kama wanavyofanya binadamu. Kwangu mimi Mungu yupo ila sio huyu wa Israel.
 
Back
Top Bottom