Sun is Sun
JF-Expert Member
- Mar 13, 2024
- 1,254
- 2,014
God exist.
Uwepo wa VITA ,njaa na maradhi kwa asilimia kubwa ni binadamu mwenyewe ameacha kutumia ufahamu wake vizuri.
1. Mungu anapenda kusifiwa kama Mhaya.
2. Mungu hana huruma (hukumu kwa wasiokuwa na hatia, vita sehemu nyingi za dunia, watu kufa kwa njaa na umaskini).
Kuna sababu nyingi ila leo tuishie hapo.
Kuhusu watoto wanaozaliwa na ulemavu, ajali na matetemeko ya ardhi vyenyewe unavielezeaje mkuu. Sijalenga kukosoa au kupinga uwepo wa mwenyezi, ila ni vitu vinavyonifikirisha tu, ningetamani kujifunzaGod exist.
Uwepo wa VITA ,njaa na maradhi kwa asilimia kubwa ni binadamu mwenyewe ameacha kutumia ufahamu wake vizuri.
Hiyo ni Asili au huitwa natureKuhusu watoto wanaozaliwa na ulemavu, ajali na matetemeko ya ardhi vyenyewe unavielezeaje mkuu. Sijalenga kukosoa au kupinga uwepo wa mwenyezi, ila ni vitu vinavyonifikirisha tu, ningetamani kujifunza
Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye mapenzi yote angekuwapo hata mjadala kuhusu uwepo wake usingewezekana kufanyika.1. Mungu anapenda kusifiwa kama Mhaya.
2. Mungu hana huruma (hukumu kwa wasiokuwa na hatia, vita sehemu nyingi za dunia, watu kufa kwa njaa na umaskini).
Kuna sababu nyingi ila leo tuishie hapo.
HahahaHapo kwenu wamekupatia tu huo ugali umeshiba ndio maana umepata kiburi.
Pumzi unayojivunia hawana uwezo wa kukupa na ikatokea imekata
Hatua ya kwanza ni kupitisha mchango kwa ukoo ili wamfikie fundi furniture tena kwa kuomba punguzo la bei.
Duh aisee we jamaa unapiga Sana spana🤔Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye mapenzi yote angekuwapo hata mjadala kuhusu uwepo wake usingewezekana kufanyika.
Kila mtu angejua yupo kwa namna ambayo mjadala kuhusu kiwepo kwake usingewezekana.
Ukiona kuna swali tu kuhusu uwepo wa Mungu huyo, ujue ni kwa sababu hayupo.
Mungu yupi huyu anasifiwa kama muhaya 😂😂 ila kuna dini zipo lazima wapige kelele ndo wanazungumza na mungu1. Mungu anapenda kusifiwa kama Mhaya.
2. Mungu hana huruma (hukumu kwa wasiokuwa na hatia, vita sehemu nyingi za dunia, watu kufa kwa njaa na umaskini).
Kuna sababu nyingi ila leo tuishie hapo.
Ningeshangaa sana Mkuu, Kukukosa kwenye Uzi kama huu, Btw Mungu HayupoMungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye mapenzi yote angekuwapo hata mjadala kuhusu uwepo wake usingewezekana kufanyika.
Kila mtu angejua yupo kwa namna ambayo mjadala kuhusu kuwepo kwake usingewezekana.