Mkuu kila kitu tunachofanya au kuwaza kina athari katika ulimwengu wa kiroho na Kimwili. Since thought shape reality inabidi ucontrol mawazo na matendo yako ili yasije kukuletea matokeo hasi katika maisha yako.Asante mkuu nimepata vitu vingi, nimewahi kusoma law of attraction kidogo naona vinaendana na ulivyoandika hasa hapo kwenye uponyaji pia kwenye kutoa Sadaka nimeprove yaani it works like a charm kwasababu ndo sehemu pekee Mungu ameruhusu tumjaribu na Mungu huwa anatimiza ahadi zake.
Kwa leo hapana umeeleweka vzuri but I won't hesitate to ask Kama ikitokea since wewe sasahivi ni mwlm wangu hope you'll be there anytimeMkuu kila kitu tunachofanya au kuwaza kina athari katika ulimwengu wa kiroho na Kimwili. Since thought shape reality inabidi ucontrol mawazo na matendo yako ili yasije kukuletea matokeo hasi katika maisha yako.
Questions??
Thank you a lot [emoji120][emoji120]Yes I'm here.. anytime ukitaka kuuliza just hit the Qns. Will gladly answer you
Je, wewe ni mtoto wa kwanza katika familia: Fahamu jinsi Potential yako inavyowindwa ili uharibike
Mate, Habari. Kwenye familia zetu kumekua na nadharia inayosema kua watoto ambao ni wa kwanza kuzaliwa hasa watoto wa kiume kwamba hua hawana Akili, ni mapepe,ni watundu na mara nyingi hua hawana mafanikio mazuri kiuchumi (pesa) na kijamii (familia). Ni kweli, Mara nyingi wazaliwa wa kwanza hua...www.jamiiforums.com
Vazi gani hilo baya nililojipamba nalo??Hakuna laana ya kuzaliwa. Kama ushajua laana ni kitu kibaya, kwanini unajipamba na vazi baya ?
Ni kweli kabisa mkuuLaana huja baada ya mtu au watu kuasi kwa kudhulumu nafsi zao au nafsi za wenzao au kuleta kiburi na uasi kwa Mola muumba.
Yanaweza kutoka kwa mzazi pia.Laana huwa ni matamshi yatokayo kwa mja au Mola na humdhuru yule mwenyewe kukusudiwa.
Sijawahi kusikia mtuu kalaanika kwa kumlaani mtu ikamrudia.. It might be possible I'll do my research.Kadhalika si kila laana humpata toka kwa mtu aliyemkusudia mwenzie, endapo laana hiyo ikitolewa kwa dhulma basi haitomdhuru yule mdhulumiwa bali hurudi kwa yule aliyedhulumu.
Mungu ni mwingi wa rehema na huruma hata akikulaani ukimrudia atakutakasa. Kwa upande mmoja nakubaliana nawe.Maana sahali na nyepesi ya Laani ni mja kutoka nje ya rehma (huruma) za Mola muumba. Ndiyo maana tunaposema Shetani amelaaniwa, basi ametoka katika huruma ya Mola mlezi na makazi yake ni motoni milele.
Kwa ufupi hayo ni machache kuhusu laana.
Ndiyo maana nikasema mja. Kwenye wanaingia binadamu wote.Yanaweza kutoka kwa mzazi pia.
Vazi la kufanya ulaaniwe.Vazi gani hilo baya nililojipamba nalo??
Tunatofautiana mafundisho, ila akili salama na uhalisia uhukumu.Lakini kwwtu Wakristo tumekatazwa kulaani..Tumeagizwa kusamehe na kuwapenda wale waliotuudhi kwa moyo wa dhati. Laana na baraka anatoa Mungu pekee....Sambaza baraka sio utoe Laana.
Laana zasamehewa zipo ila laana ya Shetani aliyoaaniwa ni ya milele.Mungu ni mwingi wa rehema na huruma hata akikulaani ukimrudia atakutakasa. Kwa upande mmoja nakubaliana nawe.
Ahsante kunirekebishaNdiyo maana nikasema mja. Kwenye wanaingia binadamu wote.
Ni lipi??Vazi la kufanya ulaaniwe.
Imani yangu hairuhsu kulaani..laana ni hukumu nasi wanadamu haturuhusiw kuhukumu.Tunatofautiana mafundisho, ila akili salama na uhalisia uhukumu.
Kulaani si jambo zuri, ila hukatazwi kulaani pale unapo stahiki kulaani.
Usiwapenda wanaokuudhi na kukuchukiza ukawapenda wanaofanya yakupendazayo utapata swawabu gani??? Je Mungu anawapenda wale tu wanaomuabudu??Kadhalika kusamehe kupo,ila kamwe siwezi kumpenda mtu muovu na siwezi kumpenda mtu anayewatukana Vipenzi vyangu (Mola wangu, Mtume wetu, maswahaba zake,waje wema na anaeitukana Dini yangu kwa dhulma na uadui )
No. Sisi tunaaswa kutakiana mema..tunaombeana Baraka. Ila baraka zatoka kwa mola.Baraka anatoa Mola muumba, ila Mola wetu amejaalia pia waja wake watoe laana na anazikubali laana zile za haki.
Ndio. Laana ya shetani ilikua yasameheka ila baada ya Yesu kufa usiku wa leo ndio ilikua mwisho wa Msamaha kwake.Laana zasamehewa zipo ila laana ya Shetani aliyoaaniwa ni ya milele.
Sidebate hovyo, katika kudebate kunakukosolewa na nitakubaliana nawe pale inapopaswaUsipange ku debate na mimi, sababu kuna uwezekano mkubwa sana ukawa unakosea mno, na ukakataa kukosolewa. Kadhalika kudebate hovyo si katika tabia njema.
Laana si hukumu, ni kama aina ya maombi ambayo Mola huyakubali kwa yule anayestahiki hilo.Imani yangu hairuhsu kulaani..laana ni hukumu nasi wanadamu haturuhusiw kuhukumu.
Tunaaswa kutakiana mema tu
Ni lipi??
Mola anawapenda wale wanaofanya mema na kumtii yeye. Kuna tofauti kati ya upendo na kuwalea waja, Moa wetu alishajihukumia yeye ya kuwa anawalea waja wake wote waovu na wema na anawapa rizki na muhula. Lakini anawapenda waja wake wanao mtii.Usiwapenda wanaokuudhi na kukuchukiza ukawapenda wanaofanya yakupendazayo utapata swawabu gani??? Je Mungu anawapenda wale tu wanaomuabudu??
Kama hivyo ndivyo, basi rekebisha ulichokiandika hapo juu.No. Sisi tunaaswa kutakiana mema..tunaombeana Baraka. Ila baraka zatoka kwa mola.
Kuna uhusiano gani kati ya msamaha wa Shetani na kifo cha Yesu ? Naomba ushahidi wa kimaandiko juu ya hiki ulichokiandika.Ndio. Laana ya shetani ilikua yasameheka ila baada ya Yesu kufa usiku wa leo ndio ilikua mwisho wa Msamaha kwake.
Kahyr, tuendelee.Sidebate hovyo, katika kudebate kunakukosolewa na nitakubaliana nawe pale inapopaswa
amina.Ahsante sana kiongozi kwa baraka zako.. Zikurudie wewe na kumbariki aliyekuzaa.
Thanks mate ✌️
Mafundisho yangu yananikataza kulaani bali kutoa baraka tu. Kazi hiyo ni ya Muumba sio yanguLaana si hukumu, ni kama aina ya maombi ambayo Mola huyakubali kwa yule anayestahiki hilo.
Niihakiki vipi?? Uhalisia wa akili salimika ni upi?? Akili salimika ni nini??Suala la kutakiana mema ni lingine, lakini na la kulaani liko.
Kwa maana nyingine Imani yako unatakiwa uihakiki. Sababu inapingana na uhalisia na akili iliyo salimika.
Maybe I didn't noticed it. Sorry for bothering youHili swali nimeshalijibu, lakini nashangaa kwanini unalirudia tena.
Ni kweli kabisaMola anawapenda wale wanaofanya mema na kumtii yeye.
Mungu anawapenda wanadamu wote waovu kwa wema.. ndio maana mtu mwovu akirudi kundini mbingu na malaiki wanashangilia. Huwezi kulea kiyu usichokipenda. Mungu anatupenda wote na anatuasa tupendane wote bila kujali mtu fulani ni mwovu au sio mwovu maana kazi hiyo ni ya Muumba pekeeKuna tofauti kati ya upendo na kuwalea waja, Moa wetu alishajihukumia yeye ya kuwa anawalea waja wake wote waovu na wema na anawapa rizki na muhula. Lakini anawapenda waja wake wanao mtii.
Huwezi kumtendea mema mtu anayetebda kinyume na Allah wako??Mimi nawapenda waja wema na kuwapenda wao ni katika wema. Siwapendi wale wanaofanya yanayonipendeza mimi, kwani yapo yanayonipendeza lakini si katika mazuri.
Tunafundishwa kua baada ya Yesu kufa msalabani wokovu ulipatikana na ndio kilikua kikomo cha mwisho kwa shetani kutubu. Alipewa nafasi nyingi lakini kwa kiburi chake hakufanya hivoKama hivyo ndivyo, basi rekebisha ulichokiandika hapo juu.
Kuna uhusiano gani kati ya msamaha wa Shetani na kifo cha Yesu ? Naomba ushahidi wa kimaandiko juu ya hiki ulichokiandika.
Hapana hakufa leo..ila leo tunaadhimisha kifo na ufufuko wake.Je kweli Yesu amekufa leo ?
Kahyr, tuendelee.
Naomba unionyeshe ukweli wa hiki ulichokiandika.Mafundisho yangu yananikataza kulaani bali kutoa baraka tu. Kazi hiyo ni ya Muumba sio yangu
Kujua ukweki juu ya imani yako. Akili iliyo salama iko kinyume na ukichokoandika.Niihakiki vipi?? Uhalisia wa akili salimika ni upi?? Akili salimika ni nini??
Hii si kweli. Unalo andiko lolote linasema ya kuaa Mola anatupenda wote ...?Mungu anawapenda wanadamu wote waovu kwa wema.. ndio maana mtu mwovu akirudi kundini mbingu na malaiki wanashangilia. Huwezi kulea kiyu usichokipenda. Mungu anatupenda wote na anatuasa tupendane wote bila kujali mtu fulani ni mwovu au sio mwovu maana kazi hiyo ni ya Muumba pekee
Naweza kumtendea Ila siwezi kumpenda.Huwezi kumtendea mema mtu anayetebda kinyume na Allah wako??
Tito 3:2Hii si kweli. Unalo andiko lolote linasema ya kuaa Mola anatupenda wote ...?
Luka 6:31-35Naweza kumtendea Ila siwezi kumpenda.
Nimekuomba andiko linalo onyesha ya kuwa Mola anatupenda wote mpaka watu waovu.Tito 3:2
[2]wasimtukane mtu ye yote, wasiwe wagomvi, wawe wema, wakionyesha upole wote kwa watu wote.
Mathayo 5:43-46Nimekuomba andiko linalo onyesha ya kuwa Mola anatupenda wote mpaka watu waovu.
Haya si mapenzi bali hili nilikigusia huko awali ya kuwa Allah anawalea wote wema na waovu, haya ni malezi ila hawapendi waja waovu.maana yeye huwaangazia jua lake waovu na wema, huwanyeshea mvua wenye haki na wasio haki.
Labda mimi nashindwa kupata concept yako. Kwamba hawapendi??? Lakini mbona bado anawabariki...mbona anazidi kufanya kila njia ili warudi kwake?Haya si mapenzi bali hili nilikigusia huko awali ya kuwa Allah anawalea wote wema na waovu, haya ni malezi ila hawapendi waja waovu.