Sababu zinazofanya wanatajirisha wengine wao wanabakia masikini

Labda mimi nashindwa kupata concept yako. Kwamba hawapendi??? Lakini mbona bado anawabariki...mbona anazidi kufanya kila njia ili warudi kwake?
Hawabariki, bali anawakea,katika sifa za Mola muumba ni mlezi wa watu, kadhalika Mfalme wa watu, katika malezi haya amejihukumia kuwalea waja wake wote wema na waovu.

Suala ka kujua baraka za Mola inahitaji elimu na maarifa. Ngoja nikupe mfano wa baraka, ila zingatia baraka za Mola hiwaendea wenye kumtii. Mfano wa baraka unapatikana katika machumo ya halali, wewe unaweza kupata Tsh 10,000/- ya halali ikakidhi haja ila ula ukapata Tsh 100,000/- isikidhi haja na ikatumika katika upuuzi na isikunufaishe kabisa.

Allah hafanyi kila njia, bali anatupa muhula,sababu Mola wetu hanufaiki na chochote katika sisi kumtii wala hana hasara sisi tukimuasi bali manufaa na hasara zipo kwetu.
 
Anaachaje kupenda kiumbe alichokiumba kwa mfano wake na kwa utashi mkubwa??
Kabla sijakujibu swali lako,unaposema "kiumbe alichokiumba kwa mfano wake" unamaanisha nini ?

Pili,kama una watoto au mtoto,watu huwa wanawachukia watoto wao kwa kuwa waovu na wasi sikia. Vipi hili lisiwe kwa Mola muumba ? Allah huwachukia wale ambao hawamtii na wenye kufanya maovu,na anawapenda wanao mtii na kufanya mema.
Je kwanini Mungu alituumba wanadamu??
Jibu rahisi sana,ametuumba ili tumuabudu yeye peke yake wala tusimshirikishe na chochote.
 
Mwanzo 1:27
[27]Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.
Hujajibu swali langu. Nimekuuliza unamaanisha nini ?
pendo wa mzazi na Mungu ni tofauti. Upendo wa Mungu kwa wanadamu haulinganishwi na kitu chochote ndio maana ukimuomba msamaha anasamehe kila kitu..ambapo mzazi wa kawaida hawezi.....Unakubaliana nami??
Lakini ni Mungu gani twamuongelea??
Sifa za Mola ni kamilifu,hili liko wazi. Naongelea kuchukia na Allah anachukia na waovu watachomwa kama hawatatubia.

Nakuka kuendelea hapa nilipoishian
 
ambapo mzazi wa kawaida hawezi.....Unakubaliana nami??
Lakini ni Mungu gani twamuongelea??
Naendelea....kuna sifa za kufanana kimaana kati ya Mola na mwanadamu,ila utofauti ni ukamilifu. Allah ni mkamilifu ila mwanadamu si mkamilifu,kwahiyo sifa za Mola wetu ni kamili. Ila mwanadamu ana huruma na Allah ana huruma. Ndiyo maana mfano nilio utoa umelenga maana.

Mola ninae mkusudia mimi ni yule muumba mbingu na ardhi na vilivyomo,sijui wewe unamuongelea yupi ?
Je Kwanini tumuabudu yeye?? Tusipomuabudu tunakua tumekosa??
Hiyo ni amri na maelekezo aliyo toa.

Kwanini uache lengo la kuumbwa kwako ? Bila shaka ni kosa kubwa mno.

Shukrani.
 
Mungu alimuumba mwanadamu kwa mfano wake...Akamuwekea pumzi yake(roho) ya uhai
Kwamba mwanadamu anafanana na Mungu ? Swali langu linataka ufafanuzi.
Lakini anaweza vipi kumchukia kiumbe alichokiumba wakati yeye ni baba wa huruma na upendo..
Kuwa na huruma ni sifa yake ndiyo maana anawapa rizki mpaka wale wanao mkana,hii haimaanishi hachukii,anawachukia watu waovu.
 
Ndio, kwa mujibu wa kitabu changu kitakatifu ninachokiamini.
Kitabu chako ni kipi ? Utakatifu wa kitabu unatokana na nini ?
Mungu anasema chuki yake ikiwa juu yako huwezi salimika. Kuna matukio yameelezwa Kwenye Bible juu ya chuki ya Mungu kwa watu wabaya na hawakusalimika.
Kusalimika unakupimaje na kutosalimika kadhalika unakupimaje ?
.Eg..Pharaoh.
So Kama Mungu akikuchukia huwezi ishi, maana hasira yake ni kali.
Farao alikufuru na si kila anayechukiwa na Mola amekufuru.

Na Mola wetu hukumu zake za zama hizi si kama za zama zile. Zama zile alikuwa hacheleweshi adhabu huja kwa ujumla ils zama hizi ni kinyume kidogo. Kwahiyo kumjua Mola na sheria zake kunataka maarifa na huendana na zama pamoja na mahitaji ya zama husika.
Mungu wetu ni baba wa huruma sio baba wa hasira. Hawachukii waovu bali huwapenda ndio maana anawabembeleza wamrudie
Mola ana sifa zake na amejalia katika kila kitu uwili uwili,yaani chema na kiovu,uhai na kifo,na katika sifa zake Allah ana ghadhabu (Hasira) na hawapendi watu waovu.
 
Biblia Takatifu, utakatifu wake unatokana na maneno yaliyomo ndani yake ambayo ni
Unaweza kunithibitishia ya kuwa ni maneno ya Mungu kweli ? Biblia ni kazi ya mwanadamu au Mungu ?

Biblia ni kitabu cha Mtume gani ?
Wengi hasira ya Mungu ilipowawkia walikufa.
Usicjanganye kati ya hasira na adhabu. Hiyo ni adhabu.
Ndio.. maana hata wewe hua unakufuru directly au indirectly. Ila bado upo
Una uhakika kama mimi nakufuru ? Nithibitishie.

Ukweli ni kwamba mimi huwa nakosea ila sikufuru. Kukufuru ni kosa ila siyo kila kosa ni kukufuru.
Nakataa..Mungu anahasira ila anawapenda watu waovu
Siyo kweli.
 
I would like to conversate with you about something,Are you comfortable mate??
Alright.

It could be very kind of you if you may drop unnecessary english usage.

Just bring it on in Kiswahili.

Ndiyo...
 
Ok.. Appreciated japo nawe umejibu kwa kimalikia.
Mose ni nini na mose ni nani...?
Oh oh, udadisi huu unanipa mtihani kidogo...

Mose ni kifupi cha jina langu -- Moses.

... Jitafakari kama ni muhimu ama sivyo kutaka kujua ya mimi kama mtu.

Sishauri lakini utake 'kunifahamu'...

Dadisi vitendo vyangu humu labda -- michango na matundiko.
 
Sometimes I think knowledge is my Curse[emoji848]
Nilikua mahali nawaza Kuhusu hiyo phrase ya Convincing the body. Then all this stuff/information popped up on my head.. Ndivyo navyopataga ideas.

Nafarijika kusikia umejifunza vitu toka kwangu
Imekaaa poaaa sana kiukweli nimejifunza zaidi piaa Law of Nature ni balaaaa sana binadamu tumepewa nguvu za ajabu sana sana lakin wengi wetu tumeshindwa kuzing'amua na kuzitumia hizo power wachache sana wanajua this secret.

Be Blessed Uzi umetuliaaa
 
Kusema ukweli huwa Mara nyingi napenda kusoma Uzi zako na huwa zinanifunza Mambo mengi Sana, ambayo sidhani Kama unaweza kuyapata kiurahisi. Hasa Hasa kwa sisi ambayo Ni wavivu Sana wa kujitafutia maarifa mengi Sana. Sina cha kukulipa zaidi ya kukuombea kwa Mungu afya tele na mafanikio katika Kila unaloliwaza na kulitenda
 
Hapo kwenye njano mkuu unaweza kuongeza nyama kidogo? ninahitaji kujifunza
 
😍😍

Nice
 
Hapa ukiangalia hata dini ya Buddha wanadai kuwa clinging or attachment to things,ideas, opinions, people,future, yesterday, materials, expectations, n.k ndo inayoleta sufferings katika maisha yetu.
Ndo Mana Eckhart Tolle katika kitabu chake Cha Power of now anadai kuwa concentrate kwa kile unachokifanya muda huo huo.
Leo ni zawadi ndo Mana inaitwa present Jana imepita na kesho bado haijafika bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…