Sababu zinazopelekea wanawake wengi kutokupata wapenzi

Mambo yao waachie wenyewe, yasikuumize kichwa...
 
Mnakatisha tamaa sana wakuu , kila mada kuhusu wanawake ni upande wa mabaya tu iv ni kwel kwamba hawa watu hawana mazuri?
Watu wamejaa sumu. Kuna jamaa alifungua uzi siku anamsifia mkewe watu wakaja ooh ngoja mkae miaka hata 10 ndio uje umsifie yaani watu wamejaa sumu hatari. Wamechagua kuangalia mabaya tu hayo mazuri ni muda gani wataona? Hakuna.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii sumu ni mbaya mno ina badili mindset kuna watu wanafanya kile wanachokisikia sna .
 
Hii style huwa ina faida sana katika mapenzi na hata maisha ya ndoa.
 
Afu nashangaa kwanini wanawake hawalalamiki kama sisi[emoji23]
 
Huo mstari wa mwisho[emoji23][emoji23]
 
KWANINI VIJANA WA MIKOANI HAWALALAMIKI KAMA SISI VIJANA WA DARATHALAM?
AU WAO BADO WANA KAUSHAMBA KAMAPENZI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…