Fundi manyumba
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 3,799
- 8,063
Fuata muongozo mkuuFwala saana wèwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fuata muongozo mkuuFwala saana wèwe
huu uanaume🔥👍Kiazi kweli, yeye huyo mwanamke ni nani kwenye maisha yangu hadi nianze kufikiria ni jinsi gani asiniache kirahisi? Kwanini yeye ndo asifanye hizo jitihada ili nisimuache kirahisi
Mi sijali chochote.
Ukiwa mwenyewe halima anakutoa kamasi wallah🤣🤣huu uanaume🔥👍
Awapi mkuu kwanza juz nimetoka kutoa hints zangu kwa mtoto mkalii na amekubali mwanzo alitaka kuleta ma uji uji, na akitaka kwenda ni aendee🔥.Ukiwa mwenyewe halima anakutoa kamasi wallah🤣🤣
Sasa huyo unamuwahi kummaliza kwa hizo trick just within a week inatosha kumfanya asafe we ukae ki kifalmeAwapi mkuu kwanza juz nimetoka kutoa hints zangu kwa mtoto mkalii na amekubali mwanzo alitaka kuleta ma uji uji, na akitaka kwenda ni aendee🔥.
Ndio japo si wote.Aisee kweli?
MIMI kuna Manzi mmoja wa Mkoa X alinipendea hivyo tu yaan kipindi hicho ujana Ila nilipokuja kugeuka na kua Jesus Boy Manzi akaingia mitini hataki ustaarabu huo anataka mtu shabishabi Muhuni Muhuni dakika 10 Sifuri 0 mpaka leo sijui ana hali gani huko alipoNdio japo si wote.
Najiuliza kimoyo moyo huyu pesa anatafta sangapiMambo vip,
Nataka niende straight kwa point,
Iko hivi nimekua na changamoto ya kutokuachwa kirahisi na mademu zangu kiasi ambacho washkaji wananiulizaga ni mbinu gani natumia mpaka huaga siachiki kirahisi na wanaokua wapenzi wangu hata kama wakijua natoka na wnawake wengine??
Kwanza nataka mtoe akili yakwamba mi nna mkwanja laah... yaani kwajinsi nilivo na maisha magumu kwa ndani (kwa nje huwezi dhania)
Na pia ni bahili mbaya mnoo hasa wa kuhonga otherwise tuspend tukiwa pamoja
Iko hivi, namna nnavoishi nao ni kama hivi;
1. Misimamo... onesha msimamo wa kipi unataka na kipi hutaki, na simamia
2. Experience.. hawa dada zetu wanataka mwanaume mwenye uzoefu wa mambo mengi ya maisha hasa mahusiano. Mpe mifano ya mahusiano mbalimbali ilivofanikiwa na kufa.
3. Onyesha kujali hata pasipo uwezo... onyesha kua ulitamani kumfanyia kitu flani alipopatwa na tatizo ukakwamishwa na pesa, muda (kuchelewa), umbali, jamii nk
4. Toa maana ya kila zawadi...
hii hata ukimpelekea pipi mweleze inamaana gani katika maisha yako na yake.
5. Toa Uhuru...
mpe uhuru wa kufunua hisia zake na kuzikubali.. hapa atakwambia aina ya sex position azipendazo, amefika au hajafika kileleni na mambo mengine mengi.
5. Utani na kutaniana...
kifupi kua mwaaume sio ukauzu na kukoroma koroma tuu.
6. Usikae kinyonge..
lazima ajue akizingua fasta ukosi chombo ingine yaan amsha amsha ziwe nyingi sio kila mara kumlilia na kumsifia ooh malaika sijui wewe kwako sijiwezi sijui ng'ang'a nyingi kana kwamba wewe (mwanaume) umeumbwa kwa ajili yake wakati yeye (mwanamke) ndo aliumbwa kwa ajili yetu... kifupi wanawake hawapendi weak men.
7. Usiwe na Huruma naye wala ustaarabu kwenye Sex... narudia tena hapa usimuonee huruma hata kama unamheshimu sijui unasali nae au anaonekana mtu wa dini saana... aiseeh do hardly, roughly and scream horror kuonesha una enjoy na kujua kazi ya uanaume wako.
🙄 Angalizo ukifanya hivi watakuroga na kukutia nuksi... mi mwenzunu sikuhiizi sipati hela maana kila demu anantolea chozi et kwann nimumuacha..
Fanya kwa demu uko na future nae au wife..
Nani huyo???Najiuliza kimoyo moyo huyu pesa anatafta sangapi
Najiuliza huyu mtoa uzi mambo yote hayo yote amfanyie manzi tu sasa shughuli za uzalishaji mali nafanya sangapiNani huyo???
Tatizo la afya ya akili ni kubwa saana... sasa kwa akili yako yakuvalia chupi umeona ivo vitu vinahitaji masaa mengi??Najiuliza huyu mtoa uzi mambo yote hayo yote amfanyie manzi tu sasa shughuli za uzalishaji mali nafanya sangapi
Yani sijui uliwaza nn 😂Huu ni mtego Sir 😂😂😂
Wanaume wote sisi ukitoa wewe ndo uko tofauti. Samahani.Alokuambia wanaume wote tunafanana na nan??
Namaanisha mfumo wako wewe unaweza usinifae mimi, na mfumo wangu unaweza usikufae wewe.Wallah mi nawapelekea mfumo mmoja coz kile na jua madem wanapenda vitu vinavyofanana sema wengine wanakua wasiri tuu
Uko sahihi kikubwa usiburuzwe tuuNamaanisha mfumo wako wewe unaweza usinifae mimi, na mfumo wangu unaweza usikufae wewe.
Ova
Uliza wenzako ka watakukubaliaWanaume wote sisi ukitoa wewe ndo uko tofauti. Samahani.