Sababu zipi wanyama hawa wasifugike licha ya uzuri wao?

donga

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
2,555
Reaction score
5,202
Pichan ni Donkey VSZebra (PUNDA)

1. Donkey amekosa uzuri (mvuto)ambao Zebra kabarikiwa

2. Licha ya kukosa uzuri lakin ndiye miongoni mwa wanyama wanofugwa/wanaoishi na watu at homes

3. Zebra na uzuri (mvuto) wake wote alionao lakini anaishi porini haishi nyumbani na watu kama donkey

4. Watu wanaingia Gharama wanatoka nyumbani wanaenda porini/mbugani kumuangalia tu Zebra na kumuacha huko huko mbugani

5. Hvi kwanini watu wasimchukue Zebra wakaishi nae nyumbani kupunguza gharama za kwenda kumuangalia mbugani?

N:B uzi huu hauna maana nyingine zaidi ya Donkey na zebra


 
Nimejikuta nacheka tu, hata sijui nacheka nini[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Punda hafugwi kwa sababu ya uzuri au ubaya wake, punda hufugwa kwa ajili ya kusaidia kazi ngumu...

Sasa uanze fuga punda milia kisa uzuri wake, na hakuna kitu anakusaidia?

Wanyama wote wafugwao majumbani huwa na faida za kichakula, kibiashara au kikazi...
 
Lakini pundamilia licha ya kuwa haranguing ila tafiti zinaonyesha kadri muda uendavyo huwa anakosa furaha maana anakosa ulinzi akiwa mbugani
 
Bado haujajibu swali kwa kuwa anaweza kazi ngumu tuu ndio maana anafugwa?ni rafiki wa binadamu na aweza kusaidia hizo kazi ngumu wapo wanyama wangapi wanaweza kufanya kazi ngumu ila sio rafiki wa binadamu ndio maana wanabaki huko huko...ingawaje huyu Mzala atakua kwenye ishu ya pisi kali na hizi zetu...
 
Sijaelewa kwanini umeweka 1,2,3 ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…