Sababu zipi wanyama hawa wasifugike licha ya uzuri wao?

Sababu zipi wanyama hawa wasifugike licha ya uzuri wao?

Nature inasema kuna wanyama wafugwao na waporin, kumtoa porin na mkufuga kumtoa kwny system yake ya maisha aliyoumbiwa
Sawa lakini kuna waliojaribu kumfuga pundamilia akatoroka kwa kuvunja banda na kumjeruhi mfugaji pia
 
Ina fikirisha k ukweli au uzuri wake binadamu wanamuonea huruma kumpa kazi ngumu kama punda kihongo 😃😃😃 nasubiria majibu ya kitaalamu.
 
Vijana wa sasa wanapotea kwa kufuga punda milia na kuwaacha punda wa dobi wakirandaranda kwa kigezo cha tako.
 
Back
Top Bottom