MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
Tunafuga wake, michepuko, na tujikute tu tunaanza kufuga mapunda milia na simba, kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni ugomvi sasa nani kawatajaCc maslay Queen na single mazaz wote,wasimbe wote na wale mabinti above 25 ambao hahamjaolewa
Mada inahusianaje sasa na hao kwani tumewataja?Tunafuga wake, michepuko, na tujikute tu tunaanza kufuga mapunda milia na simba, kweli?
Mkuu siyo kweli kusema kwamba wanyama wote wanaofugwa home Wana faida na kumfanya pundamilia Hana faida yoyote.Punda hafugwi kwa sababu ya uzuri au ubaya wake, punda hufugwa kwa ajili ya kusaidia kazi ngumu...
Sasa uanze fuga punda milia kisa uzuri wake, na hakuna kitu anakusaidia?
Wanyama wote wafugwao majumbani huwa na faida za kichakula, kibiashara au kikazi...
Ana mpa kampan na kuna Muda anacheza naeMkuu siyo kweli kusema kwamba wanyama wote wanaofugwa home Wana faida na kumfanya pundamilia Hana faida yoyote.
Manunu,mbwa wa wema sepetu ana faida gani? Mbwa anaenda Hadi disco na Coco Beach kula mihogo?
Mbugani ni kuzuri .....sana pundamilia wanavutia lakini swali langu kwanini punda ndie hufugwa? Tunamfuga punda lakini tunaenda kutoa pesa kumuona pundamiliaNinachojua huu uzi hausiani na wanyama kabisaa😂
Sasa hiyo ndiyo faida ya kumfanya pundamilia asifugike? Kwani na yeye hawezi kutoa kampani?Ana mpa kampan na kuna Muda anacheza nae
Hapa point ni comparison pundamilia ni mrembo ila hafugwi ....but punda sio mzuri kwanini anafungwa lakini watu wanamuacha punda kwenda kumuona pundamiliaWewe jamaa ushindwi kusema Samaki tuwahamishie nnchi kavu ili watu wasiangaike kwenda Baharini kuwa wavua
Mbugani ni kuzuri .....sana pundamilia wanavutia lakini swali langu kwanini punda ndie hufugwa? Tunamfuga punda lakini tunaenda kutoa pesa kumuona pundami
Basi fuga pundamilia alaf uje uende nae club kama manunuSasa hiyo ndiyo faida ya kumfanya pundamilia asifugike? Kwani na yeye hawezi kutoa kampani?
Jibu ni nature, sizaan kama hapo utanielewaHapa point ni comparison pundamilia ni mrembo ila hafugwi ....but punda sio mzuri kwanini anafungwa lakini watu wanamuacha punda kwenda kumuona pundamilia
Hapana sio kweli tafiti zangu pundamilia ni mrembo kwa nje ila ndani sio wazuri sana hiii ndio inamfanya punda amzidi kete pundamiliaAlafu nasikia eti mbususu ya punda milia inafanana kabisa na ya binadamu. Na Ukiwa na roho ndogo ukawa mwenye uchu 😋 unaweza kubaka huyu mnyama. Ni kweli au stori tu wajuzi?
Kwanini nature wakati hana madhara km carnivorous wengine......au ni mzembe hana faida km pundaJibu ni nature, sizaan kama hapo utanielewa
Nature inasema kuna wanyama wafugwao na waporin, kumtoa porin na mkufuga kumtoa kwny system yake ya maisha aliyoumbiwaHapa point ni comparison pundamilia ni mrembo ila hafugwi ....but punda sio mzuri kwanini anafungwa lakini watu wanamuacha punda kwenda kumuona pundamilia