Kelsea
JF-Expert Member
- Dec 21, 2020
- 14,564
- 34,341
[emoji2][emoji2][emoji2] PamboMkuu siyo kweli kusema kwamba wanyama wote wanaofugwa home Wana faida na kumfanya pundamilia Hana faida yoyote.
Manunu,mbwa wa wema sepetu ana faida gani? Mbwa anaenda Hadi disco na Coco Beach kula mihogo?
Sent using Jamii Forums mobile app