Sababu zipi wanyama hawa wasifugike licha ya uzuri wao?

Sababu zipi wanyama hawa wasifugike licha ya uzuri wao?

Nilisomaga novel (The Golden Ass (Metamorphoses)) kuhusu mtu alipewa curse akageuzwa punda, kitabu kilikuwa ni adventure yake akiwa punda akimtafuta wa kumrudisha kuwa binadamu.

Toka nisome hicho kitabu nawaona punda kama binadamu ame stuck humo nawaonaga huku wanabebeshwa madumu ya maji wanachapwa fimbo nawaonea huruma kweli
 
Nilisomaga novel nimesahau jina lake kuhusu mtu alipewa curse akageuzwa punda, kitabu kilikuwa ni adventure yake akiwa punda akimtafuta wa kumrudisha kuwa binadamu.

Toka nisome hicho kitabu nawaona punda kama binadamu nawaonaga huku wanabebeshwa madumu ya maji wanachapwa fimbo nawaonea huruma kweli
🤣🤣🤣punda jau sana hawana mvuto kabisa
 
Kwa kutazama kiporini ipo hivi.

Huyo Pundamilia ni mnyama ambaye katika psyche yake hana mpangilio wa kiutawala, hii namaanisha pundamilia hana kiongozi anayemheshimi, au tunaweza sema hajui juu ya kitu tunasema familia, tofauti na punda ambaye punda mdogo anajua yupi ni mama yake na yupi ni baba yake, hivyo ana mipaka.

Hata hivyo huyo Pundamilia ukiachana kuwa na mahipsi mapana ni mnyama korofi kweli kweli hupiga mateke, hungata pale tu unapotaka kuwa kiongozi wake.
 
😁😁sasa kwanini kutokana na mapungufu yote bado watu wanaenda kumuangalia porini
 
Hao pundamilia wakishafika age ya 35 huwa wanahaha utawaonea huruma.
Ni katika umri huo ndio utawasikia wanataka kuolewa na bwana yeyote awe pundamilia mwenzao umri wowote sawa, punda sawa ilimradi anapumua tu.
 
Manunu,mbwa wa wema sepetu ana faida gani? Mbwa anaenda Hadi disco na Coco Beach kula mihogo?

Yule ni pet...

Hata hivyo nikiwa naishi China, vijibwa vya namna hiyo vipo vingi sana na wamiliki wake ni wadada...

Kulikuwa na uvumi kuwa vidude hivyo vina kazi maalumu ya kuwaridhisha wadada kwa kulamba chumvini...
 
Back
Top Bottom