Sababu zipi wanyama hawa wasifugike licha ya uzuri wao?

Nature inasema kuna wanyama wafugwao na waporin, kumtoa porin na mkufuga kumtoa kwny system yake ya maisha aliyoumbiwa
Sawa lakini kuna waliojaribu kumfuga pundamilia akatoroka kwa kuvunja banda na kumjeruhi mfugaji pia
 
Ina fikirisha k ukweli au uzuri wake binadamu wanamuonea huruma kumpa kazi ngumu kama punda kihongo πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ nasubiria majibu ya kitaalamu.
 
Wote ni punda na wana uhusiano ki asilia ila mmoja ni bora zaidi akiwa nyumbani na huyu mwingine licha ya uzuri na mvuto wake yatupasa tu abaki porini aendelee kuliwa na simba, fisi mamba nk
🀣🀣🀣🀣
 
Vijana wa sasa wanapotea kwa kufuga punda milia na kuwaacha punda wa dobi wakirandaranda kwa kigezo cha tako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…