Basi Nenda
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 20,774
- 47,866
Tanzania ina ardhi kubwa sana hata matajiri wangechukua isingeisha na mpaka leo naandika hapa kila siku serikali yako inaomba watu hasa vijana kuwekeza kwenye ardhiMtu mjinga huwezi mpa uhuru wa kujiamulia kabla hajastaarabika.
Angekosea tuu hapo ,Ardhi ya Nchi hii ingekuwa ya wachache sana
Nyerere alikuwa hajuwi alifanyalo.kaongela ujamaa, ujamaa ni commumism …
Unaweza uonesha huo uhitaji, nakukaribisha kutoa elimuHilo ni jibu sio swali
Hujielewi wewe na ushamba unakusumbua.Unajua ni Ardhi ya ilimradi au? Arable land unajua ni kiasi gani? Hifadhi kiasi gani?Tanzania ina ardhi kubwa sana hata matajiri wangechukua isingeisha na mpaka leo naandika hapa kila siku serikali yako inaomba watu hasa vijana kuwekeza kwenye ardhi
Na kama swala lingekuwa ardhi si angebadilisha sheria ya ardhi peke yake kama mchangiaji mmoja alivosema. Yani ni sawa na kusema boxer imechanika unavua na susruali na shati vyote unabadili
Uhitaji wa nini?Unaweza uonesha huo uhitaji, nakukaribisha kutoa elimu
Ungeandika kwa ustaarabu tungezungumza ila kwakua umekuja na matusi nakuachia hapo. Wenye akili watajua nani kati yetu hajielewiHujielewi wewe na ushamba unakusumbua.Unajua ni Ardhi ya ilimradi au? Arable land unajua ni kiasi gani? Hifadhi kiasi gani?
Utoto sasa unaanza kuletaUhitaji wa nini?
Kwani ujamaa una shida gani?Mbona Uganda ardhi sio ya wachache na hawakuingia kwenye ujamaa??