Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Alifuata mkumbo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shida iko hapo..Aliiga Wachina akisahau China hawana mchezo, ni kunyonga tu! Tz ukiiba sehemu A unahamishiwa sehemu B.
Alikua na roho ya usawa tangu tabora school,alikuta viranja wanakunywa chai ya maziwa wakati wengine wanakunywa ya rangi,alipokua kiranja mkuu akaamuru aidha wanafunzi wote wanywe maziwa au rangi,alipokutana na wachina ndo akaupenda ujamaa,Ila pia mfumo wa ujamaa humfanya kiongozi kuwa Mungu mtu na kutukuzwa sanaWakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa nchi ya vyama vingi na uchumi wa soko huria kabla Nyerere hajabadilisha mfumo ni kutupeleka kwenye chama kimoja na ujamaa mwaka 1965 na 1967.
Ni hoja zipi Mwl Nyerere alizitumia alipofanya hayo mabadiliko makubwa hivyo ambayo yalitegemewa kuwa na hatimaye yamekuwa na matokeo mengi mchanganyiko kwa taifa hili?
Mtu mwenyewe anaandika na kujadili historia kwa msingi wa dini yake.. Yuko compromised sana.Kwa kifupi humu kuna jukwaa la historia, tenga muda kidogo tembelea uko ndio maskani ya Mzee Mohamed.
Hivi tulikuwa na communism au socialism?kaongela ujamaa, ujamaa ni commumism …
AaaaWakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa nchi ya vyama vingi na uchumi wa soko huria kabla Nyerere hajabadilisha mfumo ni kutupeleka kwenye chama kimoja na ujamaa mwaka 1965 na 1967.
Ni hoja zipi Mwl Nyerere alizitumia alipofanya hayo mabadiliko makubwa hivyo ambayo yalitegemewa kuwa na hatimaye yamekuwa na matokeo mengi mchanganyiko kwa taifa hili?
Sababu ni moja tu, UDIKTETA na Nyerere was a dictator, period!Wakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa nchi ya vyama vingi na uchumi wa soko huria kabla Nyerere hajabadilisha mfumo ni kutupeleka kwenye chama kimoja na ujamaa mwaka 1965 na 1967.
Ni hoja zipi Mwl Nyerere alizitumia alipofanya hayo mabadiliko makubwa hivyo ambayo yalitegemewa kuwa na hatimaye yamekuwa na matokeo mengi mchanganyiko kwa taifa hili?
KamwulizeWakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa nchi ya vyama vingi na uchumi wa soko huria kabla Nyerere hajabadilisha mfumo ni kutupeleka kwenye chama kimoja na ujamaa mwaka 1965 na 1967.
Ni hoja zipi Mwl Nyerere alizitumia alipofanya hayo mabadiliko makubwa hivyo ambayo yalitegemewa kuwa na hatimaye yamekuwa na matokeo mengi mchanganyiko kwa taifa hili?
Juche Ideology in North KoreaAlikua na roho ya usawa tangu tabora school,alikuta viranja wanakunywa chai ya maziwa wakati wengine wanakunywa ya rangi,alipokua kiranja mkuu akaamuru aidha wanafunzi wote wanywe maziwa au rangi,alipokutana na wachina ndo akaupenda ujamaa,Ila pia mfumo wa ujamaa humfanya kiongozi kuwa Mungu mtu na kutukuzwa sana
Wakati tunapata uhuru nchi yetu ilikuwa nchi ya vyama vingi na uchumi wa soko huria kabla Nyerere hajabadilisha mfumo ni kutupeleka kwenye chama kimoja na ujamaa mwaka 1965 na 1967.
Ni hoja zipi Mwl Nyerere alizitumia alipofanya hayo mabadiliko makubwa hivyo ambayo yalitegemewa kuwa na hatimaye yamekuwa na matokeo mengi mchanganyiko kwa taifa hili?
Kuna watu wengi waliofaidika na mfumo aliouweka Nyerere bado wanamsema vibaya Nyerere kwa kutoelewa mambo tu.Wakina Nyerere wamekua maisha yao yote wakipambana dhidi ya unyonyaji wa wakoloni.
Ipo wazi kwamba mwalimu alikuwa na uelewa mpana wa mifumo mbalimbali ya kiutawala na uliokuwa unafit zaidi kwa mazingira ya wakati huo ni ujamaa.
Kuna watu wengi waliofaidika na mfumo aliouweka Nyerere bado wanamsema vibaya Nyerere kwa kutoelewa mambo tu.
Granted, Nyerere kuna mambo alikosea, siko hapa kusema hakuna alichokosea. Wanasema hindshight is 20-20. Ukiyaangalia mambo yaliyopita unaona vizuri sana. Lakini, kuna mambo fulani aliona mbali sana.
Juzi nilikuwa naangalia documentary moja inaitwa "The Grab", inaongelea jinsi mataifa na makampuni makubwa yanavyokwenda kuchukua ardhi na natural resources kwenye mataifa madogo, mambo ya landgrabbing na water wars.
Kuna sehemu walionesha wananchi wa Zambia wametolewa katika ardhi yao, wamenyang'anywa na "wawekezaji". Wameishia kuishi chini ya miti na kwenye mahema. Mwanamke mmoja anasema jambo hilo lilipelekea mume wake na mtoto wake mchanga kufariki.
Ikawa bahati kuna Mzambia mmoja mwanasheria alisoma sheria Georgetown University, chuo maarufu cha US (aliposoma Mo Dewji, ambapo watu maarufu wenye connnections duniani wanasoma) aliichukua kesi yao na kuipigania mpaka wakashinda kupata ardhi yao tena.
Katika Tanzania ya Nyerere, na kwa kiasi fulani mpaka sasa, sheria za ardhi ambazo zimefanya serikali kuwa mmiliki wa ardhi na wengine wote kuwa wapangaji tu, zimezuia sana land grabbing hii. Nyerere alifanikiwa kuweka misingi ya kulinda maliasiki za Watanzania zisichukuliwe na watu wa nje. Kwa kiasi fulani hii ilichelewesha maendeleo. Nakumbuka miaka ya mwisho ya 1980s na ya mwanzo ya 1990s tulikuwa tunalaumu kwa nini Nyerere hakutaka kuchimba madini yetu tutumie fedha hizo kuendeleza uchumi? Tulivyokuja kujua matatizo ya madini, kuanzia pollution mpaka serikali kuchujua asilimia ndogo sanabya mapato, tulikuja kumuelewa Nyerere vizuri.
Sisemi kwamba Nyerere hakukosea, ila watu wengi wanaomlaumu sana inaonekana hata hawaelewi dynamics za kisiasa na kiuchumi zilizokuwapo enzi za uongozi wake.
Link ya "The Grab" iko hapa chini.
View: https://youtu.be/dws3Rfn_ePo?si=l7NO2DJvqyK96Z0A