Sikuhizi mambo ya kujinyonga hakuna, ile ilikuwa ni spirit kutoka Kwa mkwawa....waombaji wamesimama kwenye zamu Yao ni salama kabisaa
Labda huyo mtu ss ye binafsi ,familia,ukoo wake wawe na hiyo shida...
Wanawake Wahehe ni wavumilivu kweli ninaye shemeji yangu mmoja mme wake aliyumba kiuchumi tukasema anaondoka zake lkn duuuhhh. Kuna wanawake wana akili na uvumilivu lkn yule shemeji yangu wa KIHEHE binti wa IPALAMWA Mungu akuweke sana kwa kumjali ndugu yetu. Wahehe wooote Ahsanteni kwa zawadi ile ya MAMA CONSOLATHA