Kwa mtazamo wangu wife material inategemeana na mahitaji haswa ya muoaji na ndiye anayepanga vigezo vya mke bora kwake, mke bora kwako hawezi kuwa bora kwa wengine, kwenywe suala la makabila kusema et kabila fulani ndio linawanawake bora kuliko kabila fulani hapo napinga, Kuna wanyiramba waaminifu kabisa, kuna wachaga waaminifu kabisa na wachapa kazi, Kuna wasambaaa waaminifu kabisa kuna wangoni ukimpata unasema nilichelewa wapi, ubora wa mke unategemeana na mazingira na malezi aliyolelewa, hao wahehe na wabena mnaowasifia wanajeuri na viburi vya kwenda na huwa wanakimbilia kwenye uchawi na ulozi(sio wote)
Ambaye bado haujaoa usioe kabila, oa mwanamke unayeona atakufaa kwenye maisha yako, na nyota njema huonekana tangu asubuhi