Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Wewe ni Mkinga?Wakinga ni wavumilivu sanaaaa, ila usiombe uvumilivu wake ufike mwisho ndo utajua hujui... yani unaweza ulie hata machozi ya damu atakaza mpaka mwisho... Na kingine hawabembelezagi hata kama wana shida wanaona bora wakomae nazo kuliko kujishusha kuomba... Ila wako vizuri sanaa ni waaminifu na wanajali sana.,kwa wadada wanaotafuta ndoa nawashauri wakikutana na wakinga Wang'ang'anie kwelikweli, wana sifa zote za kiume
Nakushauri siku moja ujaribu na Msukuma halafu uje ulete mrejesho hapa. Bila shaka utawakandia hata hao Wakinga wako ambao ukizubaa tu hawachelewi kukutoa kafara 😁😁😁🏃🏿♂️🏃🏿♂️🏃🏿♂️