Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

Kwa mtazamo wangu wife material inategemeana na mahitaji haswa ya muoaji na ndiye anayepanga vigezo vya mke bora kwake, mke bora kwako hawezi kuwa bora kwa wengine, kwenywe suala la makabila kusema et kabila fulani ndio linawanawake bora kuliko kabila fulani hapo napinga, Kuna wanyiramba waaminifu kabisa, kuna wachaga waaminifu kabisa na wachapa kazi, Kuna wasambaaa waaminifu kabisa kuna wangoni ukimpata unasema nilichelewa wapi, ubora wa mke unategemeana na mazingira na malezi aliyolelewa, hao wahehe na wabena mnaowasifia wanajeuri na viburi vya kwenda na huwa wanakimbilia kwenye uchawi na ulozi(sio wote)

Ambaye bado haujaoa usioe kabila, oa mwanamke unayeona atakufaa kwenye maisha yako, na nyota njema huonekana tangu asubuhi
 
Wanawake wote wameumbwa na Mungu na wote wameletwa kwa ajili yetu, kila mwanamke ana Adamu wake, hakuna mwanamke ameletwa kwa ajili ya Adamu wote
 
Wanawake Wahehe ni wavumilivu kweli ninaye shemeji yangu mmoja mme wake aliyumba kiuchumi tukasema anaondoka zake lkn duuuhhh. Kuna wanawake wana akili na uvumilivu lkn yule shemeji yangu wa KIHEHE binti wa IPALAMWA Mungu akuweke sana kwa kumjali ndugu yetu. Wahehe wooote Ahsanteni kwa zawadi ile ya MAMA CONSOLATHA
Hongera zake "mama Kozolaata"!😂
 
Mwandishi ulisahau kusema Wabena, wahehe na WAKINGA…
Wakinga ni wavumilivu sanaaaa, ila usiombe uvumilivu wake ufike mwisho ndo utajua hujui... yani unaweza ulie hata machozi ya damu atakaza mpaka mwisho... Na kingine hawabembelezagi hata kama wana shida wanaona bora wakomae nazo kuliko kujishusha kuomba... Ila wako vizuri sanaa ni waaminifu na wanajali sana.,kwa wadada wanaotafuta ndoa nawashauri wakikutana na wakinga Wang'ang'anie kwelikweli, wana sifa zote za kiume
 
Mboni umesema kwa wadada tu inamaana upande wa Pili ndio vile?
 
Back
Top Bottom