🤔🤔Kumbee!?
Una experienc nao kabixa mkuu ..yaan kuigiza tu wako vzur..alikuwa anajifanya ni mwema wakt tupo mpk Karbia nmuulizd uncle swal la kishenz kwamba huyu malaika ulimtolea wapi?....ila dogo langu lilokuwa linajiandaa kwenda chuo likamtembelea...kukaa tu week Moja ndo akabainisha kuwa ile nyumban haina wema wwte ila ni kama tu jehanamu...kwanza alianza kumtokea usiku kama mzimu....dogo akishtuka anamwambia ukimwambia yeyote ulichokiona hutoishi...siku iliyofuata tu dogo ikqbid akimbie tu mapema maana hali ilikuwa c poa kwny ile nyumban..uncle kumbe nae alikuwa anapelekeshwa ila akiwa na sisi utaona wanafurahi pamojaNa huo ndio ukweli mkuu!!
Hawana kelele lakini wanna calculated movement!!
Leta ndugu zako nyumbani ndio utawajua,lakini ukiwa unaishi nae ni mkimya na atakusapoti KWA KILA kitu SASA jichanganye leta mama mkwe au ndugu ndio utamjua atasema HADI siri za ndani KWA majirani !!
Halafu ushirikina ndio usiseme japo wanajifanya wakristo tena wa vipaimara na komnio!!!
Hao wabena hapana mkuu niliona hiyo !!