Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

Ingependeza usome post nzima, Juu kabisa ya post imeweka wazi sifa ya kabila flani sio kwa kila mtu bali imezoeleka kwa wengi (sio wote), kumcheki moja moja ni sawa na kumkuta mhaya ambae hajaenda shule useme kwamba wahaya hawajaelimika
Aliesema kaskazin usioe Hana tofaut na wewe...sema umeweka ujumuish wakat kiuhalisia ndo kama hivo wengi wao ni washirikina...kwa mbali labda wahehe..
 
sio wanawake tu, hata wanaume ni wavumilivu sana, ila uvumilivu ukiwashinda utaomba poo na huwa hawajibembelezi sanaa. Hii ndio ilifanya Nyerere akawa anawachukua wengi kuwa TISS, zamani tiss wengi walitoka uheheni kwasababu ya roho ngumu ya kutunza siri na uvumilivu. kwa wale wakongwe mnakumbuka zamani ilikuwa obvious, tiss ni uheheni, bima wanyakyusa, TRA wachagga, hao wengine waliobaki walikuwa wasindikizaji tu. hadi leo wahehe wengi sana ni TISS.



Huko TISS waliingizwa na nani ?

Luhanjo?
 
Muhimu: Sifa ya kabila flani huwa haimaanishi ni watu wote bali ni umaarufu wa kuwa na wawakilishi wengi kiasi cha kusifika, hivyo haimaanishi kwamba wanawake wote wahehe / wabena ni wife material,

Naomba tuelewane sifa hizi ni za kwenye maisha ya ndoa, huwezi fananisha uchumba wa sekondari / chuoni na maisha ya ndoa rasmi.
  • Wapo Loyal kwa waume zao​
  • Kudumu kwenye ndoa​
  • wavumilivu kwenye ndoa,​
  • Akina Segito​
  • -hawana tamaa ya mali,​
  • -Kujua kulea watoto​
  • -Kuishi vizuri na ndugu wa mwanaume (labda tatizo liwe upande wa ndugu wa mwanaume)​
  • Wapo loyal ila hakuna kitu wanachukia kama kuwatenda, hakimbilii mahakamani kuomba ndoa ivunjwe bali kwa heshima ya ndoa na kuwajali watoto atakuvumilia muishi wote lakini hapo mapenzi unakuwa ushayaua.​
Hata mimi nimekutana na wanawake wengi mashuleni, mtaani, majirani, n.k. katika wale wabena na wahehe ambao nawajua wameolewa ni nadra sana kusikia ndoa zao zina drama na scandal.

Hata Rais Mwinyi wa Zanzibar nae kavuta huko Iringa japo ni mkristo, kwa wale tunaoangalia habari ni jambo la Kawaida Mwinyi kumsifia hadharani mke wake mara kwa mara katika hotuba.


JE ni utamaduni, familia, malezi au ni sababu zipi zimewafanya wapate title hii ?
Na mi huwa nasikia hivyo na huwezi amini watumishi wengi wa Mungu wa kweli wake zao pia ni kabila hizo 2 ,waliopo nje ya hapo majanga wengi na huduma zimekufa wengine ndo hivyo Tena ...
 
Kikubwa ujitahidi kuwa Mkweli na Royal kwake. Atakupenda sana na atakufanyia kila jambo lkn chonde chond
chondeeee
Mkuu wapo wazuri tatizo wanataka all the time uwe na akili zako timamu 100% ukiwatenda tuuu Utamkuta ndani kajitundika si unajua wao na Kamba shingoni ni sawa na Mmasai na Rungu kiunoni.
Atakupenda sana, atakulelea watoto sana, mzigo atakupa wewe peke ako tuu lkn usilogwe kumtenda. Wale watu hawana kifua cha kuweka stress kabisaaaaa kabla ya kuamua kuwa nao malizana kwanza na ujinga wa kula pembeni Kimasikhara kwanza
Sikuhizi mambo ya kujinyonga hakuna, ile ilikuwa ni spirit kutoka Kwa mkwawa....waombaji wamesimama kwenye zamu Yao ni salama kabisaa
Labda huyo mtu ss ye binafsi ,familia,ukoo wake wawe na hiyo shida...
 
Asili yake ni mmbena...sijajua mama yake ni WA wap
Ok, maana unaweza Kuta mama sio mbena na karithi huko pia....
Though wapo pia ambao sio wazuri,sio kwamba wote ni wazuri!
Ila % kubwa wako vzr sn
 
Aliesema kaskazin usioe Hana tofaut na wewe...sema umeweka ujumuish wakat kiuhalisia ndo kama hivo wengi wao ni washirikina...kwa mbali labda wahehe..
Hapana nawatetea, nimeishi zaidi ya 10 yrs iringa!
Sio kwamba hakuna wahehe wa hivyo lkn sio %kubwa ...
 
Back
Top Bottom