Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

Sababu zipi zinapelekea wanawake wahehe na wabena kusifika kuwa wife material?

Ni washirikina so poa...yupo mmoja ni mke wa uncle...kachangia sanaa kumuondoa na sasa hiv kauza magari aliyoacha..wabena hapana aysee...labda wahehe kidogo

Hata wahehe ni hivyo.

Washirikina na wachawi sana,

Na mioyo yao migumu sana,

Usione kimya kwa nje ndani ni wauaji.

Ogopa mtu ambae yupo tayari kujidhuru yeye nafsi yake sembuse mtu mwingine?
 
Ndiyo kina Haule?, Basi kama ni hao, kuna mmoja hapa kaolewa na harusi Kanisani kwetu ni hata mwaka haujaìsha wameachana.
Kina Haule ni wangoni,

kina Haule Maarufu yupo Professor J
 
Hata wahehe ni hivyo.

Washirikina na wachawi sana,

Na mioyo yao migumu sana,

Usione kimya kwa nje ndani ni wauaji.

Ogopa mtu ambae yupo tayari kujidhuru yeye nafsi yake sembuse mtu mwingine?
Nmeliona hili....yule mwanamke ana roho mbaya sijapata ona....ila sasa anavyojua kuigiza ni mwema na mkarimu huwez kama humjui unaeza sema huyu ni malaika kashushwa
 
Huyo Mjomba wako aliishirikisha akili yake na Mungu au alijiamulia tu kuopoa jiko kimihemuko (hisia/mahaba)?

Kwanini Ke mmoja atumike kigezo kwa Ke wengine wote kuwa ni Washirikina?

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kuoa ni kama betting...alijikuta kaopoa tu...ila wengi wao wapo hivyo hivyo....ni wazur wa kuigiza kuwa ni wema ila ni katili na wauwaji hakuna mfano
 
Ni washirikina so poa...yupo mmoja ni mke wa uncle...kachangia sanaa kumuondoa na sasa hiv kauza magari aliyoacha..wabena hapana aysee...labda wahehe kidogo
Hata wahehe ni hivyo.

Washirikina na wachawi sana,

Na mioyo yao migumu sana,

Usione kimya kwa nje ndani ni wauaji.

Ogopa mtu ambae yupo tayari kujidhuru yeye nafsi yake sembuse mtu mwingine?
Ingependeza usome post nzima, Juu kabisa ya post imeweka wazi sifa ya kabila flani sio kwa kila mtu bali imezoeleka kwa wengi (sio wote), kumcheki moja moja ni sawa na kumkuta mhaya ambae hajaenda shule useme kwamba wahaya hawajaelimika
 
Muhimu: Sifa ya kabila flani huwa haimaanishi ni watu wote bali ni umaarufu wa kuwa na wawakilishi wengi kiasi cha kusifika, hivyo haimaanishi kwamba wanawake wote wahehe / wabena ni wife material,

Naomba tuelewane sifa hizi ni za kwenye maisha ya ndoa, huwezi fananisha uchumba wa sekondari / chuoni na maisha ya ndoa rasmi.
  • Wapo Loyal kwa waume zao​
  • Kudumu kwenye ndoa​
  • wavumilivu kwenye ndoa,​
  • Akina Segito​
  • -hawana tamaa ya mali,​
  • -Kujua kulea watoto​
  • -Kuishi vizuri na ndugu wa mwanaume (labda tatizo liwe upande wa ndugu wa mwanaume)​
  • Wapo loyal ila hakuna kitu wanachukia kama kuwatenda, hakimbilii mahakamani kuomba ndoa ivunjwe bali kwa heshima ya ndoa na kuwajali watoto atakuvumilia muishi wote lakini hapo mapenzi unakuwa ushayaua.​
Hata mimi nimekutana na wanawake wengi mashuleni, mtaani, majirani, n.k. katika wale wabena na wahehe ambao nawajua wameolewa ni nadra sana kusikia ndoa zao zina drama na scandal.

Hata Rais Mwinyi wa Zanzibar nae kavuta huko Iringa japo ni mkristo, kwa wale tunaoangalia habari ni jambo la Kawaida Mwinyi kumsifia hadharani mke wake mara kwa mara katika hotuba.

JE ni utamaduni, familia, malezi au ni sababu zipi zimewafanya wapate title hii ?
Wanawake wa Arusha na Moshi wanapenda sana starehe hata kwenye mabar mengi mijini ndio walio wengi muwe nao makini msije kuoa baamed.
 
sio wanawake tu, hata wanaume ni wavumilivu sana, ila uvumilivu ukiwashinda utaomba poo na huwa hawajibembelezi sanaa. Hii ndio ilifanya Nyerere akawa anawachukua wengi kuwa TISS, zamani tiss wengi walitoka uheheni kwasababu ya roho ngumu ya kutunza siri na uvumilivu. kwa wale wakongwe mnakumbuka zamani ilikuwa obvious, tiss ni uheheni, bima wanyakyusa, TRA wachagga, hao wengine waliobaki walikuwa wasindikizaji tu. hadi leo wahehe wengi sana ni TISS.
 
Kuna ndugu yangu muhehe,ni TISS,.

alafu wahehe wengi , wapo sana majeshini,
 
Back
Top Bottom